• Love
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·57 Ansichten
  • Love
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·67 Ansichten
  • #cktvtanzania
    #cktvtanzania
    Love
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·120 Ansichten
  • Love
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·66 Ansichten

  • Historia ilianzishwa na waasisi wa mataifa yetu na sisi tuko hapa kuendeleza

    Tukutane kwenye Simba App leo saa 2:00 usiku. Utafurahi #WenyeNchi NguvuMoja
    Historia ilianzishwa na waasisi wa mataifa yetu na sisi tuko hapa kuendeleza 🇹🇿🇿🇦 Tukutane kwenye Simba App leo saa 2:00 usiku. Utafurahi 👋 #WenyeNchi NguvuMoja
    Like
    1
    · 1 Kommentare ·0 Anteile ·243 Ansichten ·26

  • PREMATCH

    AB5DC

    Megapari CODE

    Kama huna account basi tumia link hii kujisajiri.

    https://megapari.com/mobile?bf=316735463d9e4_6633637653 #kubet
    PREMATCH✅ AB5DC✅ Megapari CODE ✅ Kama huna account basi tumia link hii kujisajiri. https://megapari.com/mobile?bf=316735463d9e4_6633637653 #kubet
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·881 Ansichten
  • Resting
    Resting
    0 Kommentare ·0 Anteile ·281 Ansichten
  • OFFICIAL: Fadlu Davids ndiye kocha Mkuu Simba
    .
    Klabu ya Simba imethibitisha kufikia makubaliano ya kumuajiri Fadlu Davids raia wa Afrika Kusini mwenye umri wa miaka 43 kuwa Kocha wao Mkuu kwa mkataba wa miaka miwili.
    .
    Kabla ya kujiunga na Simba msimu uliopita Fadlu alikuwa kocha Msaidizi wa mabingwa wa soka nchini Morocco Raja Club Athletic maarufu Raja Casablanca.
    🚨 OFFICIAL: Fadlu Davids ndiye kocha Mkuu Simba . Klabu ya Simba imethibitisha kufikia makubaliano ya kumuajiri Fadlu Davids raia wa Afrika Kusini mwenye umri wa miaka 43 kuwa Kocha wao Mkuu kwa mkataba wa miaka miwili. . Kabla ya kujiunga na Simba msimu uliopita Fadlu alikuwa kocha Msaidizi wa mabingwa wa soka nchini Morocco Raja Club Athletic maarufu Raja Casablanca.
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·234 Ansichten
  • MFUMO WA KOCHA MPYA SIMBA . Fadlu ni kocha wa kisasa anayependelea zaidi kutumia mfumo wa mabeki wanne, viungo wakabaji wawili, viungo washambuliaji watatu na straika mmoja yaani 4-2-3-1 mfumo ambao kwa Simba umetumika na makocha wawili waliopita mfululizo yaani Robertinho na Benchikha. . Kocha huyo ambaye aliwahi kuwa straika wa Vasco Da Gama, Avendale Athletico, Silver Stars, Maritzburg United zote za Afrika Kusini kabla ya kustaafu soka rasmi 2012, ametua Simba akitokea Raja Casablanca ya Morocco alikokuwa kocha msaidizi tangu mwaka jana chini ya Mjerumani Josef Zinnbauer aliyemaliza ligi kwa kutwaa ubingwa bila kupoteza mechi sambamba na Kombe la Mfalme.
    🚨 MFUMO WA KOCHA MPYA SIMBA . Fadlu ni kocha wa kisasa anayependelea zaidi kutumia mfumo wa mabeki wanne, viungo wakabaji wawili, viungo washambuliaji watatu na straika mmoja yaani 4-2-3-1 mfumo ambao kwa Simba umetumika na makocha wawili waliopita mfululizo yaani Robertinho na Benchikha. . Kocha huyo ambaye aliwahi kuwa straika wa Vasco Da Gama, Avendale Athletico, Silver Stars, Maritzburg United zote za Afrika Kusini kabla ya kustaafu soka rasmi 2012, ametua Simba akitokea Raja Casablanca ya Morocco alikokuwa kocha msaidizi tangu mwaka jana chini ya Mjerumani Josef Zinnbauer aliyemaliza ligi kwa kutwaa ubingwa bila kupoteza mechi sambamba na Kombe la Mfalme.
    Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·97 Ansichten
  • Like
    1
    · 0 Kommentare ·0 Anteile ·76 Ansichten ·16