DEAL DONE: Klabu Bora namba 5 kwa Ubora Afrika, Simba SC imethibitisha kuinasa saini ya mlinzi wa kati Karaboue Chamou raia wa Ivory Coast 馃嚚馃嚠 kutoka klabu ya Racing Club d’ Abidjan kwa mkataba wa miaka miwili.
.
Karaboue ana urefu wa futi 6.2 na yuko vizuri kwenye kucheza mipira ya juu kuzuia na kuanzisha mashambulizi.
馃毃 DEAL DONE: Klabu Bora namba 5 kwa Ubora Afrika, Simba SC imethibitisha kuinasa saini ya mlinzi wa kati Karaboue Chamou raia wa Ivory Coast 馃嚚馃嚠 kutoka klabu ya Racing Club d’ Abidjan kwa mkataba wa miaka miwili.
.
Karaboue ana urefu wa futi 6.2 na yuko vizuri kwenye kucheza mipira ya juu kuzuia na kuanzisha mashambulizi.