ยท76 Views
-
-
#BREAKING: Athari za moja kwa moja huko Nahariya, kaskazini mwa Israel kufuatia msururu wa roketi zilizorushwa na Hezbollah kutoka Lebanon..
https://www.facebook.com/100065398263779/videos/915805180021945/?app=fbl
#BREAKING: Athari za moja kwa moja huko Nahariya, kaskazini mwa Israel kufuatia msururu wa roketi zilizorushwa na Hezbollah kutoka Lebanon.. https://www.facebook.com/100065398263779/videos/915805180021945/?app=fblยท310 Views -
#BREAKING: Mapigano nchini Pakistan yamesababisha vifo vya afisa mmoja, makumi ya wengine kujeruhiwa Angalau afisa mmoja wa polisi aliuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa katika mapigano kati ya vikosi vya usalama na wafuasi wa Waziri Mkuu wa zamani Imran Khan karibu na Islamabad siku ya Jumatatu. Vurugu hizo zilizuka huku kukiwa na kizuizi cha usalama na kufuata mwito wa Khan wa maandamano.
https://www.facebook.com/100065398263779/posts/pfbid0vhhiBod6r6T9g7PwYsBxrZf5P6fBq2PV7kJMdZBRbeoByP1kKstM724h5vMcbE8bl/?app=fbl
#BREAKING: Mapigano nchini Pakistan yamesababisha vifo vya afisa mmoja, makumi ya wengine kujeruhiwa Angalau afisa mmoja wa polisi aliuawa na wengine zaidi ya 100 kujeruhiwa katika mapigano kati ya vikosi vya usalama na wafuasi wa Waziri Mkuu wa zamani Imran Khan karibu na Islamabad siku ya Jumatatu. Vurugu hizo zilizuka huku kukiwa na kizuizi cha usalama na kufuata mwito wa Khan wa maandamano. https://www.facebook.com/100065398263779/posts/pfbid0vhhiBod6r6T9g7PwYsBxrZf5P6fBq2PV7kJMdZBRbeoByP1kKstM724h5vMcbE8bl/?app=fblยท261 Views -
_|| ๐ ๐๐ฆ๐๐๐๐๐๐ ๐ช๐ ๐ฌ๐๐ก๐๐ ๐ช๐๐ข๐ ๐๐ช๐ ๐๐จ๐๐๐จ๐๐จ๐ ๐ง๐๐๐๐๐๐ฅ๐.
Uongozi wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki watakaojitokeza uwanja wa Benjamin Mkapa leo katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal kutofanya vurugu ili kuepuka adhabu ya Shirikisho la soka barani Afrika (CAF)
Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema mashabiki hawapaswi kuwasha fataki, moto au kufanya vurugu za aina yoyote
“Niwaombe mashabiki wote mtakaokuja uwanjani, tuendeleze utamaduni wetu wa amani na utulivu, tushangilie timu yetu kistaarabu bila ya vurugu wala kuwasha moto na kupiga fataki’’
“Baadhi ya timu zimefungiwa kuingiza mashabiki katika mechi zao kutokana na matukio ya aina hiyo. Hivyo tunapaswa kuepuka vurugu za aina yoyote ili tuhakikishe mechi zetu zote tutakazocheza nyumbani mashabiki wanaruhusiwa," alisema Kamwe
MC Alger ya Algeria ni miongoni mwa klabu ambazo zimefungiwa kuingiza mashabiki katika mechi zao kutokana na matukio ya vurugu
Baada ya mchezo dhidi ya Al Hilal, mchezo utakaofuata Yanga itachuana na MC Alger huko Algeria Disemba 07 na kutokana na kifungo hicho cha MC Alger, hakutakuwa na mashabiki.
#Mknewsswahili๐จ_|| ๐ ๐๐ฆ๐๐๐๐๐๐ ๐ช๐ ๐ฌ๐๐ก๐๐ ๐ช๐๐ข๐ ๐๐ช๐ ๐๐จ๐๐๐จ๐๐จ๐ ๐ง๐๐๐๐๐๐ฅ๐. Uongozi wa klabu ya Yanga umewataka mashabiki watakaojitokeza uwanja wa Benjamin Mkapa leo katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Al Hilal kutofanya vurugu ili kuepuka adhabu ya Shirikisho la soka barani Afrika (CAF) Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Yanga Ali Kamwe amesema mashabiki hawapaswi kuwasha fataki, moto au kufanya vurugu za aina yoyote “Niwaombe mashabiki wote mtakaokuja uwanjani, tuendeleze utamaduni wetu wa amani na utulivu, tushangilie timu yetu kistaarabu bila ya vurugu wala kuwasha moto na kupiga fataki’’ “Baadhi ya timu zimefungiwa kuingiza mashabiki katika mechi zao kutokana na matukio ya aina hiyo. Hivyo tunapaswa kuepuka vurugu za aina yoyote ili tuhakikishe mechi zetu zote tutakazocheza nyumbani mashabiki wanaruhusiwa," alisema Kamwe MC Alger ya Algeria ni miongoni mwa klabu ambazo zimefungiwa kuingiza mashabiki katika mechi zao kutokana na matukio ya vurugu Baada ya mchezo dhidi ya Al Hilal, mchezo utakaofuata Yanga itachuana na MC Alger huko Algeria Disemba 07 na kutokana na kifungo hicho cha MC Alger, hakutakuwa na mashabiki. #Mknewsswahiliยท227 Views -
_|| ๐๐จ๐๐ ๐ง๐๐ ๐ : CAF Champions League
PYRAMIDS SC 5๏ธโฃโ๏ธ1๏ธโฃ SAGRADA ESPERANCA
โฝ๏ธ 17" Adel
โฝ๏ธ 50" Hamdi
โฝ๏ธ 74" Adel
โฝ๏ธ 77" Mayele
โฝ๏ธ 89" El Sayed
-------------------------------------
โฝ๏ธ 90+2" Cachi
#Mknewsswahili๐จ_|| ๐๐จ๐๐ ๐ง๐๐ ๐ : CAF Champions League PYRAMIDS SC ๐ช๐ฌ 5๏ธโฃโ๏ธ1๏ธโฃ SAGRADA ESPERANCA ๐ฆ๐ด โฝ๏ธ 17" Adel โฝ๏ธ 50" Hamdi โฝ๏ธ 74" Adel โฝ๏ธ 77" Mayele โฝ๏ธ 89" El Sayed ------------------------------------- โฝ๏ธ 90+2" Cachi #Mknewsswahiliยท131 Views -
"Tulifanya research yetu jinsi ya kuishinda , tulijua wamekuwa na matatizo ya kufunga magoli chakufanya ni kuwa muundo mzuri wa ulinzi , baada ya hapo ni kutumia nafasi zile ambazo wanaacha pembeni , Yanga huwa wapo wazi sana pembeni".
- Florent Ibengé, Kocha wa Al Hilal via Mpenja TV.
#sokaupdate"Tulifanya research yetu jinsi ya kuishinda , tulijua wamekuwa na matatizo ya kufunga magoli chakufanya ni kuwa muundo mzuri wa ulinzi , baada ya hapo ni kutumia nafasi zile ambazo wanaacha pembeni , Yanga huwa wapo wazi sana pembeni". - Florent Ibengé, Kocha wa Al Hilal via Mpenja TV. #sokaupdate1 Comments ยท218 Views
More Stories