• 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 : 𝐑𝐚𝐬𝐦𝐮𝐬 𝐇𝐨𝐣𝐥𝐮𝐧𝐝 𝐭𝐨 𝐒𝐒𝐂 𝐍𝐚𝐩𝐨𝐥𝐢

    BREAKING SSC Napoli imefikia makubaliano kamili na Man United kumsajili Rasmus Højlund kwa mkopo wa €6m na chaguo la kumsajili kwa ada ya €44m.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 : 𝐑𝐚𝐬𝐦𝐮𝐬 𝐇𝐨𝐣𝐥𝐮𝐧𝐝 𝐭𝐨 𝐒𝐒𝐂 𝐍𝐚𝐩𝐨𝐥𝐢 🚨BREAKING SSC Napoli imefikia makubaliano kamili na Man United kumsajili Rasmus Højlund kwa mkopo wa €6m na chaguo la kumsajili kwa ada ya €44m. 🇩🇰 Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·220 Views
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 : 𝐍𝐢𝐜𝐨𝐥𝐚𝐬 𝐉𝐚𝐜𝐤𝐬𝐨𝐧 𝐭𝐨 𝐁𝐚𝐲𝐞𝐫𝐧 𝐌𝐮𝐧𝐢𝐜𝐡

    BREAKING Bayern imefikia makubaliano kamili na Chelsea kumsajili Nicolas Jackson kwa mkopo wenye thamani ya €15m na chaguo la kumsajili kwa €80m

    Source Fabrizio Romano


    #SportsElite
    🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 : 𝐍𝐢𝐜𝐨𝐥𝐚𝐬 𝐉𝐚𝐜𝐤𝐬𝐨𝐧 𝐭𝐨 𝐁𝐚𝐲𝐞𝐫𝐧 𝐌𝐮𝐧𝐢𝐜𝐡 🚨BREAKING Bayern imefikia makubaliano kamili na Chelsea kumsajili Nicolas Jackson kwa mkopo wenye thamani ya €15m na chaguo la kumsajili kwa €80m🇸🇳 Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·269 Views
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 : 𝐅𝐚𝐜𝐮𝐝𝐨 𝐁𝐮𝐨𝐧𝐚𝐧𝐨𝐭𝐭𝐞 𝐭𝐨 𝐂𝐡𝐞𝐥𝐬𝐞𝐚

    BREAKING Chelsea imefika makubaliano kamili na Brighton kumsajili Facundo Buonanotte kwa mkopo..!

    Source Fabrizio Romano


    #SportsElite
    🇦🇷🚨𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 : 𝐅𝐚𝐜𝐮𝐝𝐨 𝐁𝐮𝐨𝐧𝐚𝐧𝐨𝐭𝐭𝐞 𝐭𝐨 𝐂𝐡𝐞𝐥𝐬𝐞𝐚 🚨 BREAKING Chelsea imefika makubaliano kamili na Brighton kumsajili Facundo Buonanotte kwa mkopo..! Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·230 Views
  • BREAKING Arsenal wako karibu sana kukamilisha Usajili wa Beki wa Bayer Leverkusen Piero Hincape kwa mkopo makubaliano yako karibu kufikiwa.

    Here we Go hivi karibuni.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🚨 BREAKING Arsenal wako karibu sana kukamilisha Usajili wa Beki wa Bayer Leverkusen Piero Hincape kwa mkopo makubaliano yako karibu kufikiwa.🔴 🇨🇴 Here we Go hivi karibuni. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·211 Views
  • BREAKING Chelsea imeongeza Jina la Kiungo wa Crystal Palace Adam Wharton kwenye orodha yao ya wachezaji itakaowasajili kabla ya Dirisha Kufungwa.

    Source Ben Jacobs

    #SportsElite
    🚨💰BREAKING Chelsea imeongeza Jina la Kiungo wa Crystal Palace Adam Wharton kwenye orodha yao ya wachezaji itakaowasajili kabla ya Dirisha Kufungwa. Source Ben Jacobs #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·206 Views
  • BREAKING: Jean-Philippe Mateta amekuwa mchezaji wa kwanza wa Crystal Palace kufunga goli kwenye mashindano ya Ulaya.


    Crystal Palace imeshinda round ya kwanza dhidi ya Fredrikstad na itacheza round ya pili Alhamisi, Agosti 28 huko Norway, mchezo mmoja mbali na kupata nafasi ya kucheza UEFA Conference 2025-26 .

    Source enock kobina Essie

    #SportsElite
    🚨 BREAKING: Jean-Philippe Mateta amekuwa mchezaji wa kwanza wa Crystal Palace kufunga goli kwenye mashindano ya Ulaya. 🦅✨ Crystal Palace imeshinda round ya kwanza dhidi ya Fredrikstad na itacheza round ya pili Alhamisi, Agosti 28 huko Norway, mchezo mmoja mbali na kupata nafasi ya kucheza UEFA Conference 2025-26 . Source enock kobina Essie #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·225 Views
  • BREAKING: Mmiliki wa West Ham David Sullivan atampa Graham Potter michezo mingine miwili ya kutetea kibarua chake kwenye kilabu.

    🏟 Michezo hiyo miwili ni dhid ya Wolves (away)
    🏟 Na dhid ya Nottm Forest (away)

    (Source : Graeme Bailey)

    #SportsElite
    🚨 BREAKING: Mmiliki wa West Ham David Sullivan atampa Graham Potter michezo mingine miwili ya kutetea kibarua chake kwenye kilabu. 🏟 Michezo hiyo miwili ni dhid ya Wolves (away) 🏟 Na dhid ya Nottm Forest (away) (Source : Graeme Bailey) #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·165 Views
  • BREAKING: Mazungumzo sasa yapo keenye hatua za juu kati ya Man United na Napoli kwa mkataba wa mkopo na ada ya mkopo yenye thamani ya € 5m pamoja na chaguo la € 45m kununua.

    Napoli wako tayari kulipa mshahara mzima wa Rasmus Højlund.

    Napoli inaamini kushiriki kwao Ligi ya Mabingwa kunaweza kumshawishi Højlund kujiunga nao.

    Source the athletic

    #SportsElite
    🚨 BREAKING: Mazungumzo sasa yapo keenye hatua za juu kati ya Man United na Napoli kwa mkataba wa mkopo na ada ya mkopo yenye thamani ya € 5m pamoja na chaguo la € 45m kununua. Napoli wako tayari kulipa mshahara mzima wa Rasmus Højlund. Napoli inaamini kushiriki kwao Ligi ya Mabingwa kunaweza kumshawishi Højlund kujiunga nao. Source the athletic #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·190 Views
  • BREAKING ️Rodrygo Goes amekuwa akiambiwa acheze kama winga wa kushoto na leo Xabi Alonso ameamua kumpa nafasi hiyo.

    #SportsElite
    🚨BREAKING ️Rodrygo Goes amekuwa akiambiwa acheze kama winga wa kushoto na leo Xabi Alonso ameamua kumpa nafasi hiyo. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·142 Views
  • BREAKING - Kocha wa Chelsea Enzo Maresca leo amethibitisha kuwa Chelsea itahakikisha Wanasajili mshambuliaji mmoja kabla ya dirisha halijafungwa.

    Source The Touchline
    🚨 BREAKING - Kocha wa Chelsea Enzo Maresca leo amethibitisha kuwa Chelsea itahakikisha Wanasajili mshambuliaji mmoja kabla ya dirisha halijafungwa. Source The Touchline
    0 Comments ·0 Shares ·303 Views
  • BREAKING - Eberechi Eze atafanyiwa Vipimo vya Afya kesho Ijumaa baada ya kucheza mchezo wa mwisho leo wa Crystal Palace dhidi ya Fredrikstand..

    Kesho Ijumaa Eze atafanyiwa Vipimo kama mchezaji mpya wa Arsenal kwa ada ya £68m na mkataba 2030.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🚨 BREAKING - Eberechi Eze atafanyiwa Vipimo vya Afya kesho Ijumaa baada ya kucheza mchezo wa mwisho leo wa Crystal Palace dhidi ya Fredrikstand.. Kesho Ijumaa Eze atafanyiwa Vipimo kama mchezaji mpya wa Arsenal kwa ada ya £68m na mkataba 2030. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·303 Views
  • BREAKING

    Brentford wamekataa ofa ya Newcastle £35million pamoja na nyongeza ya £5million kwa mshambuliaji wao Yoane Wissa raia wa DRC Congo.

    Licha ya Wissa kushinikiza kuondoka klabuni hapo lakini Brentford kwa upande wao wamekataa ofa hiyo nyingine ya Newcastle.

    Brentford pia hawajaweka wazi bei sahihi ambayo wanahitaji ili kumuachia mshambuliaji huyo.

    Mkataba uheshimiwe

    Source {David Ornstein}.

    #SportsElite
    🚨 BREAKING Brentford wamekataa ofa ya Newcastle £35million pamoja na nyongeza ya £5million kwa mshambuliaji wao Yoane Wissa raia wa DRC Congo. Licha ya Wissa kushinikiza kuondoka klabuni hapo lakini Brentford kwa upande wao wamekataa ofa hiyo nyingine ya Newcastle. Brentford pia hawajaweka wazi bei sahihi ambayo wanahitaji ili kumuachia mshambuliaji huyo. Mkataba uheshimiwe😅 Source {David Ornstein}. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·205 Views
  • | BREAKING: Barcelona wanahaha kuhakikisha kuwa Joan Garcia na Marcus Rashford wamesajiliwa kwa wakati kabla ya mechi yao ya ufunguzi wa La Liga dhidi ya Mallorca !

    #SportsElite
    🚨🚨 | BREAKING: Barcelona wanahaha kuhakikisha kuwa Joan Garcia na Marcus Rashford wamesajiliwa kwa wakati kabla ya mechi yao ya ufunguzi wa La Liga dhidi ya Mallorca ! 🔥 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·296 Views
  • #BREAKING

    Klabu imelazimika kuweka rehani vitu vyao vya thamani vyenye thamani ya £7m Ili waweza kufanikisha Mchakato wa kuwasajili wachezaji wao wapya waliosajiliwa katika dirisha hili la usajili.

    Mpaka kufikia Sasa hakuna mchezaji yoyote mpya wa FC Barcelona ambae ataruhusiwa kucheza mashindano yoyote msimu ujao, kwasababu jina lake halitambuliki na Laliga.

    Wachezaji ambao Laliga haiwatambui mpaka Sasa ni:

    - Marcus Rashford
    - Joan García
    - Roony Bardghi
    - Gerard Martín
    - Wojciech Szczęsny.

    Wachezaji wote hawa hawatoshiriki Mchezo wowote wakiwa na FC Barcelona mpaka klabu hiyo ikamilishe taratibu zote za kuwasajili kwenye mifumo ya Laliga,na Laliga wanahitaji Sheria zifuatwe tu,hawahitaji mazungumzo Wala busara.

    Source: [ The AthleticFC ]

    #SportsElite
    #BREAKING 🔴 Klabu imelazimika kuweka rehani vitu vyao vya thamani vyenye thamani ya £7m Ili waweza kufanikisha Mchakato wa kuwasajili wachezaji wao wapya waliosajiliwa katika dirisha hili la usajili. Mpaka kufikia Sasa hakuna mchezaji yoyote mpya wa FC Barcelona ambae ataruhusiwa kucheza mashindano yoyote msimu ujao, kwasababu jina lake halitambuliki na Laliga. Wachezaji ambao Laliga haiwatambui mpaka Sasa ni: - Marcus Rashford - Joan García - Roony Bardghi - Gerard Martín - Wojciech Szczęsny. Wachezaji wote hawa hawatoshiriki Mchezo wowote wakiwa na FC Barcelona mpaka klabu hiyo ikamilishe taratibu zote za kuwasajili kwenye mifumo ya Laliga,na Laliga wanahitaji Sheria zifuatwe tu,hawahitaji mazungumzo Wala busara. Source: [ The AthleticFC ] #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·388 Views
  • BREAKING: West Ham imekamilisha usajili wa Callum Wilson kwa mkataba wa mwaka 1

    #SportsElite
    🚨🚨BREAKING: West Ham imekamilisha usajili wa Callum Wilson kwa mkataba wa mwaka 1 🚨 #SportsElite
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·354 Views
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 𝐉𝐚𝐫𝐫𝐞𝐥 𝐇𝐚𝐭𝐨 𝐭𝐨 𝐂𝐡𝐞𝐥𝐬𝐞𝐚 .

    BREAKING - Chelsea imefika makubaliano kamili na Ajax kumsajili beki Jorrel Hato kwa ada ya €40

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🚨𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 𝐉𝐚𝐫𝐫𝐞𝐥 𝐇𝐚𝐭𝐨 𝐭𝐨 𝐂𝐡𝐞𝐥𝐬𝐞𝐚 . 🇳🇱 🔵 ✍️ BREAKING - Chelsea imefika makubaliano kamili na Ajax kumsajili beki Jorrel Hato kwa ada ya €40🔐 Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·369 Views
  • BREAKING 》Crystal Palace imewafahakisha Arsenal kuwa Wanatakiwa Walipe kiasi cha £35m kwa Eberechi Eze mapema alafu zingine watalipa taratibu.

    Fahamu kifungu cha Eberechi Eze kuuzwa ni £67.5m.

    Source Goal Side

    #SportsElite
    🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🚨BREAKING 》Crystal Palace imewafahakisha Arsenal kuwa Wanatakiwa Walipe kiasi cha £35m kwa Eberechi Eze mapema alafu zingine watalipa taratibu. Fahamu kifungu cha Eberechi Eze kuuzwa ni £67.5m. Source Goal Side #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·486 Views
  • BREAKING: Pierre Emerick-Aubameyang amerejea tena Marseille kama mchezaji huru baada ya mkataba wake kutamatika Al Qadisah

    #SportsElite
    🚨🚨BREAKING: Pierre Emerick-Aubameyang amerejea tena Marseille kama mchezaji huru baada ya mkataba wake kutamatika Al Qadisah 📝✅ #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·315 Views
  • BREAKING: Nottingham Forest
    imekamilisha usajili wa Dan Ndoye kutoka Bologna kwa kiasi cha £34m

    #SportsElite
    🚨🚨BREAKING: Nottingham Forest imekamilisha usajili wa Dan Ndoye kutoka Bologna kwa kiasi cha £34m ✅🌳 #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·257 Views
  • BREAKING

    Baada ya kufanya biashara ya faida kwa mauzo ya mshambuliaji Gyokeres aliyetimkia Arsenal, klabu ya Sporting Lisbon imefanikiwa kunasa saini ya mbadala wake.

    Sporting Lisbon imekamilisha usajili wa mshambuliaji Luis Javier Suarez(27) kutokea Almeria ya Spain kwa dau la €22M.

    Akiwa na Almeria msimu uliopita Suarez alihusika kwenye magoli 35 akifunga 27 na kutoa pasi 8 za magoli kwenye michezo 41 ya La Liga 2.

    #SportsElite
    🚨 BREAKING Baada ya kufanya biashara ya faida kwa mauzo ya mshambuliaji Gyokeres aliyetimkia Arsenal, klabu ya Sporting Lisbon imefanikiwa kunasa saini ya mbadala wake. Sporting Lisbon imekamilisha usajili wa mshambuliaji Luis Javier Suarez(27) kutokea Almeria ya Spain kwa dau la €22M. Akiwa na Almeria msimu uliopita Suarez alihusika kwenye magoli 35 akifunga 27 na kutoa pasi 8 za magoli kwenye michezo 41 ya La Liga 2. #SportsElite
    0 Comments ·0 Shares ·426 Views
More Results