"Johari acha pombe Yesu anakuhitaji"- Irene Uwoya, Mwigizaji wa filamu Tanzania na Mchungaji.
"Sasa Irene ***** yangu ndio nini kunitangaza hadharani kuwa mimi nakunywa pombe hilo kanisa la kutoa siri za waumini litakuwa kanisa kweli?. Nimesikia lakini ntajitahidi kuacha maana hata mimi nampenda Yesu"- Johari, Mwigizaji wa filamu Tanzania.

"Sasa Irene shoga yangu ndio nini kunitangaza hadharani kuwa mimi nakunywa pombe😠hilo kanisa la kutoa siri za waumini litakuwa kanisa kweli?ðŸ˜. Nimesikia lakini ntajitahidi kuacha maana hata mimi nampenda Yesu"- Johari, Mwigizaji wa filamu Tanzania.