"Johari acha pombe Yesu anakuhitaji"- Irene Uwoya, Mwigizaji wa filamu Tanzania na Mchungaji.

"Sasa Irene ***** yangu ndio nini kunitangaza hadharani kuwa mimi nakunywa pombe hilo kanisa la kutoa siri za waumini litakuwa kanisa kweli?. Nimesikia lakini ntajitahidi kuacha maana hata mimi nampenda Yesu"- Johari, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
"Johari acha pombe Yesu anakuhitaji"- Irene Uwoya, Mwigizaji wa filamu Tanzania na Mchungaji. "Sasa Irene shoga yangu ndio nini kunitangaza hadharani kuwa mimi nakunywa pombe😭 hilo kanisa la kutoa siri za waumini litakuwa kanisa kweli?😭. Nimesikia lakini ntajitahidi kuacha maana hata mimi nampenda Yesu"- Johari, Mwigizaji wa filamu Tanzania.
Like
1
· 1 Commentarios ·0 Acciones ·73 Views