"Johari acha pombe Yesu anakuhitaji"- Irene Uwoya, Mwigizaji wa filamu Tanzania na Mchungaji.
"Sasa Irene ***** yangu ndio nini kunitangaza hadharani kuwa mimi nakunywa pombe hilo kanisa la kutoa siri za waumini litakuwa kanisa kweli?. Nimesikia lakini ntajitahidi kuacha maana hata mimi nampenda Yesu"- Johari, Mwigizaji wa filamu Tanzania.

"Sasa Irene shoga yangu ndio nini kunitangaza hadharani kuwa mimi nakunywa pombeđ hilo kanisa la kutoa siri za waumini litakuwa kanisa kweli?đ. Nimesikia lakini ntajitahidi kuacha maana hata mimi nampenda Yesu"- Johari, Mwigizaji wa filamu Tanzania.