"SIMBA SC YAPEWA THANK YOU NA CHAMA …

Simba SC kimsingi waliapaswa KUMUAGA Chama kama walivyofanya kwa Bernard Morrison kabla Chama hajawapiga ‘TALAKA’ yake. Walipoachwa wangeachika na kumshukuru Mwamba wa Lusaka na kumtakia maisha mema huko aendako" - Jemedari Said, Mchambuzi

"SIMBA SC YAPEWA THANK YOU NA CHAMA …😂😂😂 Simba SC kimsingi waliapaswa KUMUAGA Chama kama walivyofanya kwa Bernard Morrison kabla Chama hajawapiga ‘TALAKA’ yake. Walipoachwa wangeachika na kumshukuru Mwamba wa Lusaka na kumtakia maisha mema huko aendako" - Jemedari Said, Mchambuzi ✍️
Like
1
· 0 Kommentare ·0 Anteile ·198 Ansichten