"SIMBA SC YAPEWA THANK YOU NA CHAMA …

Simba SC kimsingi waliapaswa KUMUAGA Chama kama walivyofanya kwa Bernard Morrison kabla Chama hajawapiga ‘TALAKA’ yake. Walipoachwa wangeachika na kumshukuru Mwamba wa Lusaka na kumtakia maisha mema huko aendako" - Jemedari Said, Mchambuzi

"SIMBA SC YAPEWA THANK YOU NA CHAMA …πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Simba SC kimsingi waliapaswa KUMUAGA Chama kama walivyofanya kwa Bernard Morrison kabla Chama hajawapiga ‘TALAKA’ yake. Walipoachwa wangeachika na kumshukuru Mwamba wa Lusaka na kumtakia maisha mema huko aendako" - Jemedari Said, Mchambuzi ✍️
Like
1
Β· 0 Reacties Β·0 aandelen Β·198 Views