Ebwana mie mtu wa zamani jamani ndio maana napenda kuwaletea vitu vya kitambo
Achana na Boyka Scott Adkins,kitu inaitwa Talons of the eagle bonge moja ya movie bora za mapigano Hollywood kipindi hiko sio mbali sana kwenye 1995 hivi humu ndani unawapata wakali kama Jalal Merhi,Billy Blanks,Mathias Hues,James Hong baba kama unapenda mateke ya kuruka kamtazame mwamba Billy Blanks tafuta hiyo ukumbuke enzi.TALONS OF THE EAGLE

1 Comments
·150 Views