Ludege  LTZ
Ludege  LTZ

@Ludege_Tz

Call me
#Silencer boy once again
91 Posts
22 Photos
0 Videos
Male
28/08/2004
Recent Updates
  • @City Fan forever
    @City Fan forever
    Like
    Love
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·79 Views
  • Like
    3
    · 0 Comments ·0 Shares ·230 Views
  • Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·223 Views
  • Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·230 Views
  • Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·241 Views
  • Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·223 Views
  • Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·228 Views
  • Like
    2
    · 0 Comments ·0 Shares ·229 Views
  • Today 's movie Hot #kunguru by mbosso
    Like
    Love
    2
    · 1 Comments ·0 Shares ·221 Views
  • Horror movie Hot #movietime
    Like
    2
    · 1 Comments ·0 Shares ·225 Views
  • THE IRON CLAW. 2023. Sports / Drama. IMDB 7.6..An incredible movie and an extremely striking true story. The movie is shot really masterfully and every scene looks great. Everyone in the cast, without exception, plays so well in the movie that it is impossible not to cry at the end of the movie.
    Like
    2
    · 1 Comments ·0 Shares ·225 Views
  • The Hobbit ni spinoff kutoka katika zile movie za lord of the rings zilizo toka mwaka 2001 hadi 2003 ina sehemu tatu zimetoka kuanzia mwaka 2012 Hadi 2014 ili kusahisha na kujibu baadhi ya maswali tuliyokuwa tukijiuliza kwenye movie za lord of the rings

    The Hobbits zinahusu kingdom mbalimbali ikiwemo kingdom of elves, normal human , kingdom of orcs na kingdom of dwalves(mbilikimo) ila imejikita sana juu ya historia ya kingdom of dwalves namna tawala Yao iliyovamiwa,kuharibiwa na Kuwa chini ya dragon na namna walivyoungana baada ya miaka mingi kwaajili ya kurudi kuchukua tawala Yao yenye utajiri mkubwa wa dhahabu wakiongozwa na Thorin oakenshield

    Ina kingdom na wahusika wengi kwahiyo zinataka utulivu unapozitazama kama game of thrones

    Miongoni mwa hao dwalves yumo starling wa movie Bilbo baggins nae alichaguliwa kuwa miongoni mwa askari watakao ambatana kwenda katika kingdom Yao ya zaman waliyoporwa,utamu wa hizi movie ni kwenye hiyo safari visanga na misukonsuko waliyokumbana navyo njian kuelekea katika kingdom yao

    kwahiyo humu tutaonyeshwa namna Bilbo Baggins alivyoipata Ile Pete ya miujiza kabla ya kumkabidhi froddo baggins kwenye lord of the rings,hizi movie zote sita ninazo telegram zilizo tafsiriwa na ambazo hazijatafsiriwa,kama hujatazama zote anza na the hobbit

    Like
    1
    · 1 Comments ·0 Shares ·230 Views
  • Tumemfahamu zaidi Jennifer Lopez kupitia muziki,Lakini pia upande wa movie ana baraa si mchezo,ndani ya hii movie kitengo Chao kilikuwa na mission ya kwenda kumdhibiti robot mmoja kwa jina la Harlan

    Kwa sababu alikuwa ni robot aliyetengenezwa kwa teknololojia kubwa kiasi kwamba akawa na akili na uwezo kuzidi hadi binadamu waliomtengeneza,hali hiyo ilipelekea Kuwa muasi na kufanya uharibifu mkubwa duniani na mauwaji ya binadamu ikiwemo binadamu aliyemtengeneza

    Baada ya hapo akakimbilia katika sayari nyingine kwa jina la Andromeda Galaxy ambayo si rahisi kufikiwa na binadamu,kutokana na akili na uwezo mkubwa zaidi ya binadamu aliokuwa nao Harlan alitengeneza robots na silaha hatar Ili kurudi dunian kuja kufanya mashambulizi mengine

    Akiwa katika sayari hiyo aliyojificha aligundua Kuna ujio wa wanadamu wapo njiani kuja kumvamia, kumkamata na kumrudisha duniani,baraa ndio lilianzia hapo baada ya yeye kuwavamia kabla ya wao kumvamia

    Ni bonge Moja la movie kwa mwaka 2024 ,adui wa kwenye picha hii tumemuona kwenye movie nzuri ya marvel ya shang chi,humu hacheki cheki.
    Like
    2
    · 1 Comments ·0 Shares ·227 Views
  • Mwaka Jana ilipotoka movie ya SISU nilipotazama zile action za yule Mzee jeshi la mtu mmoja namna alivyokuwa ananusurika kifo sehemu zisizowezekanikabasi nilijisemea kwamba "hakuna movie kali kama hii kwa mwaka huu 2024"

    Ila baada ya siku kadhaa kupita nikajisemea mbona hii movie ni kama Kuna kitu hakipo sawa nikakumbuka lile tukio ambalo Mzee ilibidi aage mashindano mapema baada ya farasi wake kupigwa kombora Moja safi Mzee akiwa juu yake na farasi kusambaratika vipande vipande Lakini Mzee hakujeruhiwa hata kidogo Wala nguo yake kuchanika nikasema this is a big liar dadek.

    Baada ya hapo Kuna muda Mzee alijimwagia petrol alipokuwa anawatoka wanajeshi wa kijerumani wenye ghadhabu kali halafu akajitia kiberiti ,dah Lakini mzee hakuungua hata unywele na akabaki salama salmin

    Oyaaah hata kama ni starling ndio ukae kwenye kitanzi usiku mzima hadi Kuna pambazuka,nikasema hapa tumepigwa

    Sisu ni movie kali iwapo utaitazama kwa kutumia fuvu bila kutumia akili ndio maana hata kwenye top 10 ya movie bora zilizofanya vizuri mwaka Jana huikuti ng'oo.
    Like
    1
    · 1 Comments ·0 Shares ·216 Views
  • Hakuna movie nzuri yenye action na story Kali mwezi imevunja record ya mauzo uko china kwa mujibu wa vyanzo vya habari Sam hong ameludi enzi zake unaambiwa umo hakuna maneno ni kichapo
    Like
    1
    · 1 Comments ·0 Shares ·228 Views
  • THE BEST MOVIES OF 2024 (SO FAR) Ranked
    10. Kingdom for the planet of the apes
    9.The Beekeeper
    8. The old oak
    7. Hundreds of Beavers
    6. Furiosa;A mad max saga
    5. Hitman
    4. Boy kills world
    3. Dune; Part two
    2. Damsel
    1. Challengers

    Umetazama movie gani hapo Hadi Sasa
    Like
    1
    · 0 Comments ·0 Shares ·221 Views
  • movie "Apocal Lypto 2"

    "Apocalypto," directed by Mel Gibson and released in 2006, stands as a visceral and visually striking epic set in ancient Mesoamerica. The film follows Jaguar Paw, a young hunter from a peaceful village, whose life is shattered when his village is raided by Mayan warriors seeking slaves and sacrifices. Jaguar Paw is captured and taken on a perilous journey to a grand Mayan city. What unfolds is a gripping tale of survival, as Jaguar Paw must navigate through the harsh jungle terrain, evade capture, and rescue his pregnant wife and young son from imminent sacrifice.

    Gibson's direction captures both the beauty and brutality of the era, showcasing stunning landscapes and intense action sequences. The film is notable for its use of indigenous languages, adding authenticity to the dialogue and cultural context. The performances, particularly by Rudy Youngblood as Jaguar Paw, are compelling and heartfelt, conveying the protagonist's determination and resilience.

    "Apocalypto" is not merely an action-adventure film but also a commentary on civilization, morality, and the human spirit. It explores themes of sacrifice, survival instincts, and the clash between different cultures. Despite its controversial director, the film has been praised for its technical achievements, gripping storytelling, and immersive portrayal of ancient Mesoamerican civilization. It remains a powerful and thought-provoking cinematic experience that leaves a lasting impression on its audience.

    #Apocalypto
    Like
    1
    · 1 Comments ·0 Shares ·227 Views
  • Dude la kihindi ilo hapo sio mpenzii wa Bollywood.kwa ili dude hakuna movie ya kihindi ya ya action inaizidi hiii kitu baada ya hii movie soko la movie la action litabdilika sana huko Bollywood,,,,,

    Humu unaambiwa mzee kama john wick afuu patia picha raid redemption ichezewe kwenye tranii, mwaka huu nimecheki movie mbili za kihindi 1.monkeyman 2.Andhadhum na yatatu itakuwa hili dudeeee Kill .
    Like
    1
    · 1 Comments ·0 Shares ·229 Views
  • BLUE STORY (2019).
    movie inahusu ugomvi wa gangs* za wahuni wa miji huko UK... marafiki wawili wanakuja kuwa maadui sana baada ya Marco kumuua Leah Dem wa timmy, na timmy katika harakati za kulipa kisasi anamchoma kisu kakake Marco kitu kinachopelekea kakake Marco kuwa kilema wa maisha,.. ugomvi unakua ni kisasi cha kuuwana,. ni movie kali tuuh ina story imenyoka
    Afu ina sindikizwa na jamaa mmoja kwa kurap* song kali sana "MUST WATCH ITAFTE"
    sorry,am bad at narrating 🙌🏿🚶🏾‍♂️🚶🏾‍♂️
    Like
    1
    · 1 Comments ·0 Shares ·220 Views
  • Ila marvel ni
    Ushauri wa buree usisubir full HD hii movie ina hatari just imagine Human torch, Electra, Blade, Lorra,The Gambler n.k lakin villain kama Azazel, Callisto, sabertooth, Toad na wengnee wengii marvel shikmoo hawatuwez Hawa watoto wa James Gunn(DC)
    Kuna cameo ya Hulk humo humo ndani aisee
    Like
    1
    · 1 Comments ·0 Shares ·228 Views
  • Rasimi imetoka bana kwa wale wapenzi wa machupa VIOLENT naposema violent namaanisha machupa ambayo mtu kukuchinja ama kukuvunja ni kawaida tu kama night come for us & the raid sidhani kama hili chupa utalipinga
    Ok LET'S GO ...
    Picha linaanza kuna msela mmoja anatoka kwmy mission ya kikomanda baada ya kukaa uko miez kadhaa na uku mtaani aliacha simu so alivofika akafungua akakutana na text za dem wake nyingi za lawama dem wake akimwambia jamaa kapooza sana mpk amechumbiwa mhuni akamtokea dem kwny engagement ceremony yake ilkua sherehe moja ya kibaresa ivi
    Baada ya kuonana na pisi yake walikubaliana dem akiwa anarudi nyumbani msela akamchukue dem kapanda treni na familia fresh cha ajabu msela nae alipanda humo humo kwny treni ili amsuprise dem kwa kumuomba kama ataolewa na yeye.
    Kweny treni kuna mhuni mmoja anaingia mhuni ukimuona huwezi jua kama ana roho mbaya vile uyo mhuni yupo na gang lake na lengo lao ni kuteka mali za abiria waliopo kwny treni.
    Utamu wa movie unaanzia pale ambapo uyo mhuni anaenda kumteka baba wa demu ambae star wenu yule komando anampenda kabla hawajamaliza star wamovie la kihindi kafika akiwa na mchizi wake oya wanangu washikaji wanapiga mkono unaweza sahau kama ni picha pa kihindi dakika chache tu wale watejaji wameshakandwa ipasavyo na mjomba wa magaidi kauliwa waliobaki wakakimbilia behewa lingine shida inaanzia apo kwny mjomba jambazi kuuwawa

    Wahuni wakapigiana simu ghafla treni likajaa wahuni wao lengo lao wamue jamaa wetu kwa kosa la kumuua uncle jambazi wao katika harakati za hapa na pale demu wa mwanetu kauwawa kikatili uku msela akiwa anashuhudia uku amepigwa kipigo 5G hajiwezi then demu baada ya kuuwawa akasukumiwa nje ya tren imagine toka movie inaanza hawajaandika title la movie baada ya demu wa star kuuwawa kikatili ndio title la movie #KILL linajitokeza apo
    OYA wanangu mnaopenda movie za roho mbaya UBAYA UBWELA hii sio ya kukosa staring ni yule mhuni aliecheza season za porous .
    Like
    1
    · 1 Comments ·0 Shares ·218 Views
  • Weka bando upakue hii mizigo usiseme nimekunyima movie mpya 2024 hii ni mikwaju haswa
    Like
    1
    · 1 Comments ·0 Shares ·210 Views
  • Ebwana mie mtu wa zamani jamani ndio maana napenda kuwaletea vitu vya kitambo
    Achana na Boyka Scott Adkins,kitu inaitwa Talons of the eagle bonge moja ya movie bora za mapigano Hollywood kipindi hiko sio mbali sana kwenye 1995 hivi humu ndani unawapata wakali kama Jalal Merhi,Billy Blanks,Mathias Hues,James Hong baba kama unapenda mateke ya kuruka kamtazame mwamba Billy Blanks tafuta hiyo ukumbuke enzi.TALONS OF THE EAGLE
    Like
    1
    · 1 Comments ·0 Shares ·206 Views
  • FROM A HERO TO VILLAIN
    Haya Mashabiki wa Robert Downey mliokuwa mnaomba arudi MCU good news ni kwamba dua zenu zimesikilizwa na ametangazwa kurudi rasmi katika mfululizo wa movie za avengers

    lakini bad news ni kwamba hajarudi kama Tony stark (IRON MAN) awamu hii anarudi kama villain DOCTOR DOOM

    Atakiwasha kama adui kwenye AVENGERS DOOMSDAY 2026 baada ya kukanceliwa kwa AVENGERS KANG DYNASTY,pia ataonekana kwenye AVENGERS SECRET WARS 2027

    Yetu macho tukutane 2026/27 maana Kuna surprise nyingi kutoka marvel zinaendelea kuja ,mlioitazama DEADPOOL AND WOLVERINE ni mashahidi.

    Like
    1
    · 1 Comments ·0 Shares ·218 Views
  • Movie Kali sana,jamaa ( Mr Matt) anavyostruggle kumlea huyu mtoto baada ya kifo Cha mama yake dah Anyway kigongo Cha maana kabisa
    Like
    1
    · 1 Comments ·0 Shares ·220 Views
More Stories