Upgrade to Pro

Dude la kihindi ilo hapo sio mpenzii wa Bollywood.kwa ili dude hakuna movie ya kihindi ya ya action inaizidi hiii kitu baada ya hii movie soko la movie la action litabdilika sana huko Bollywood,,,,,

Humu unaambiwa mzee kama john wick afuu patia picha raid redemption ichezewe kwenye tranii, mwaka huu nimecheki movie mbili za kihindi 1.monkeyman 2.Andhadhum na yatatu itakuwa hili dudeeee Kill .
Like
1
1 Comments ·163 Views