Upgrade to Pro

The Hobbit ni spinoff kutoka katika zile movie za lord of the rings zilizo toka mwaka 2001 hadi 2003 ina sehemu tatu zimetoka kuanzia mwaka 2012 Hadi 2014 ili kusahisha na kujibu baadhi ya maswali tuliyokuwa tukijiuliza kwenye movie za lord of the rings

The Hobbits zinahusu kingdom mbalimbali ikiwemo kingdom of elves, normal human , kingdom of orcs na kingdom of dwalves(mbilikimo) ila imejikita sana juu ya historia ya kingdom of dwalves namna tawala Yao iliyovamiwa,kuharibiwa na Kuwa chini ya dragon na namna walivyoungana baada ya miaka mingi kwaajili ya kurudi kuchukua tawala Yao yenye utajiri mkubwa wa dhahabu wakiongozwa na Thorin oakenshield

Ina kingdom na wahusika wengi kwahiyo zinataka utulivu unapozitazama kama game of thrones

Miongoni mwa hao dwalves yumo starling wa movie Bilbo baggins nae alichaguliwa kuwa miongoni mwa askari watakao ambatana kwenda katika kingdom Yao ya zaman waliyoporwa,utamu wa hizi movie ni kwenye hiyo safari visanga na misukonsuko waliyokumbana navyo njian kuelekea katika kingdom yao

kwahiyo humu tutaonyeshwa namna Bilbo Baggins alivyoipata Ile Pete ya miujiza kabla ya kumkabidhi froddo baggins kwenye lord of the rings,hizi movie zote sita ninazo telegram zilizo tafsiriwa na ambazo hazijatafsiriwa,kama hujatazama zote anza na the hobbit

Like
1
1 Comments ·168 Views