Tumemfahamu zaidi Jennifer Lopez kupitia muziki,Lakini pia upande wa movie ana baraa si mchezo,ndani ya hii movie kitengo Chao kilikuwa na mission ya kwenda kumdhibiti robot mmoja kwa jina la Harlan
Kwa sababu alikuwa ni robot aliyetengenezwa kwa teknololojia kubwa kiasi kwamba akawa na akili na uwezo kuzidi hadi binadamu waliomtengeneza,hali hiyo ilipelekea Kuwa muasi na kufanya uharibifu mkubwa duniani na mauwaji ya binadamu ikiwemo binadamu aliyemtengeneza
Baada ya hapo akakimbilia katika sayari nyingine kwa jina la Andromeda Galaxy ambayo si rahisi kufikiwa na binadamu,kutokana na akili na uwezo mkubwa zaidi ya binadamu aliokuwa nao Harlan alitengeneza robots na silaha hatar Ili kurudi dunian kuja kufanya mashambulizi mengine
Akiwa katika sayari hiyo aliyojificha aligundua Kuna ujio wa wanadamu wapo njiani kuja kumvamia, kumkamata na kumrudisha duniani,baraa ndio lilianzia hapo baada ya yeye kuwavamia kabla ya wao kumvamia
Ni bonge Moja la movie kwa mwaka 2024 ,adui wa kwenye picha hii tumemuona kwenye movie nzuri ya marvel ya shang chi,humu hacheki cheki.

1 Comments
·162 Views