🤣🤣🤣🤣
- Afisa Habari wa Simba Ahmed Ally anatupa jiwe gizani, baada ya ushindi wa 4-0 dhidi ya KMC leo,..

- Anasema washambuliaji wao wote wameshafunga magoli lakini kuna timu wana mshambuliaji ambaye hana goli hata moja mpaka sasa “Mshambuliaji kama mtunza vifaa, hana goli hata moja”

#paulswai
Love
1
· 1 Commentaires ·0 Parts ·205 Vue ·393