. Ni mara tu baada ya klub Yanga kuonesha nia ya kuhitaji huduma ya mlinzi wa kati wa coastal Union, Lameck Elias Lawi(19), klub ya simba imeibua upya sakata lililomkabili mchezaji huyo ambaye hakuweza kujiunga na miamba hao wa msimbazi mwanzonibmwa msimu huu mara baada ya klub yake ya sasa coastal union kutia ngumu.
Simba wameirudisha upya kesi hiyo na rasimi leo alhamisi 12/dec/2024 kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imeanza kusikiliza tena kesi hiyo. #socialpop #sports #trending David Atto

Simba wameirudisha upya kesi hiyo na rasimi leo alhamisi 12/dec/2024 kamati ya sheria na hadhi za wachezaji imeanza kusikiliza tena kesi hiyo. #socialpop #sports #trending [Mefa]
·323 Vue