.House girl alimwomba mama mwenye nyumba wake amwongezee mshahara. Mama akamtaka atoe sababu 3 kwanini anahitaji kuongezwa mshahara.

HOUSE GIRL: Naweza kupika vizuri kuliko wewe.

MADAM: Nani kakuambia hivyo?

HOUSE GIRL: Mumeo aliniambia.

MADAM: Sawa, sababu ya pili....!

HOUSE GIRL: Ninaweza kupiga pasi vizuri kuliko wewe.

MADAM: Nani kakuambia hivyo?

HOUSE GIRL: Mumeo aliniambia.

MADAM: Sawa, sababu ya mwisho.

HOUSE GIRL: Mimi pia ni bora kuliko wewe kitandani

(Mke alikasirika, akashika fimbo ili kumpiga kichwa chake)

MADAM: Mume wangu ndiye alisema hivyo?

HOUSE GIRL: HAPANA, dereva aliniambia mimi ni bora kuliko wewe kitandani.

MADAM: Shhhh! Punguza sauti yako tafadhali! Nitaongeza jamani

CCCCCCCC
.πŸ’ŽπŸ’πŸ˜‚πŸ™†House girl alimwomba mama mwenye nyumba wake amwongezee mshahara. Mama akamtaka atoe sababu 3 kwanini anahitaji kuongezwa mshahara. HOUSE GIRL: Naweza kupika vizuri kuliko wewe.πŸ˜‚ MADAM: Nani kakuambia hivyo?πŸ™† HOUSE GIRL: Mumeo aliniambia.🀷 MADAM: Sawa, sababu ya pili....!πŸ€” HOUSE GIRL: Ninaweza kupiga pasi vizuri kuliko wewe.πŸ˜‚ MADAM: Nani kakuambia hivyo?πŸ™† HOUSE GIRL: Mumeo aliniambia.🀷 MADAM: Sawa, sababu ya mwisho.πŸ€” HOUSE GIRL: Mimi pia ni bora kuliko wewe kitandaniπŸ’”πŸ˜‚ (Mke alikasirika, akashika fimbo ili kumpiga kichwa chake)πŸ€”πŸ€” MADAM: Mume wangu ndiye alisema hivyo?πŸ’” HOUSE GIRL: HAPANA, dereva aliniambia mimi ni bora kuliko wewe kitandani.🀷🀷 MADAM: Shhhh! Punguza sauti yako tafadhali! Nitaongeza jamaniπŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ CCCCCCCC
Like
Love
Haha
6
Β· 0 Comments Β·0 Shares Β·105 Views