.House girl alimwomba mama mwenye nyumba wake amwongezee mshahara. Mama akamtaka atoe sababu 3 kwanini anahitaji kuongezwa mshahara.

HOUSE GIRL: Naweza kupika vizuri kuliko wewe.

MADAM: Nani kakuambia hivyo?

HOUSE GIRL: Mumeo aliniambia.

MADAM: Sawa, sababu ya pili....!

HOUSE GIRL: Ninaweza kupiga pasi vizuri kuliko wewe.

MADAM: Nani kakuambia hivyo?

HOUSE GIRL: Mumeo aliniambia.

MADAM: Sawa, sababu ya mwisho.

HOUSE GIRL: Mimi pia ni bora kuliko wewe kitandani

(Mke alikasirika, akashika fimbo ili kumpiga kichwa chake)

MADAM: Mume wangu ndiye alisema hivyo?

HOUSE GIRL: HAPANA, dereva aliniambia mimi ni bora kuliko wewe kitandani.

MADAM: Shhhh! Punguza sauti yako tafadhali! Nitaongeza jamani

CCCCCCCC
.馃拵馃拲馃槀馃檰House girl alimwomba mama mwenye nyumba wake amwongezee mshahara. Mama akamtaka atoe sababu 3 kwanini anahitaji kuongezwa mshahara. HOUSE GIRL: Naweza kupika vizuri kuliko wewe.馃槀 MADAM: Nani kakuambia hivyo?馃檰 HOUSE GIRL: Mumeo aliniambia.馃し MADAM: Sawa, sababu ya pili....!馃 HOUSE GIRL: Ninaweza kupiga pasi vizuri kuliko wewe.馃槀 MADAM: Nani kakuambia hivyo?馃檰 HOUSE GIRL: Mumeo aliniambia.馃し MADAM: Sawa, sababu ya mwisho.馃 HOUSE GIRL: Mimi pia ni bora kuliko wewe kitandani馃挃馃槀 (Mke alikasirika, akashika fimbo ili kumpiga kichwa chake)馃馃 MADAM: Mume wangu ndiye alisema hivyo?馃挃 HOUSE GIRL: HAPANA, dereva aliniambia mimi ni bora kuliko wewe kitandani.馃し馃し MADAM: Shhhh! Punguza sauti yako tafadhali! Nitaongeza jamani馃槀馃ぃ馃ぃ CCCCCCCC
Like
Love
Haha
6
0 Commentarios 0 Acciones 110 Views