.House girl alimwomba mama mwenye nyumba wake amwongezee mshahara. Mama akamtaka atoe sababu 3 kwanini anahitaji kuongezwa mshahara.

HOUSE GIRL: Naweza kupika vizuri kuliko wewe.

MADAM: Nani kakuambia hivyo?

HOUSE GIRL: Mumeo aliniambia.

MADAM: Sawa, sababu ya pili....!

HOUSE GIRL: Ninaweza kupiga pasi vizuri kuliko wewe.

MADAM: Nani kakuambia hivyo?

HOUSE GIRL: Mumeo aliniambia.

MADAM: Sawa, sababu ya mwisho.

HOUSE GIRL: Mimi pia ni bora kuliko wewe kitandani

(Mke alikasirika, akashika fimbo ili kumpiga kichwa chake)

MADAM: Mume wangu ndiye alisema hivyo?

HOUSE GIRL: HAPANA, dereva aliniambia mimi ni bora kuliko wewe kitandani.

MADAM: Shhhh! Punguza sauti yako tafadhali! Nitaongeza jamani

CCCCCCCC
.💎💍😂🙆House girl alimwomba mama mwenye nyumba wake amwongezee mshahara. Mama akamtaka atoe sababu 3 kwanini anahitaji kuongezwa mshahara. HOUSE GIRL: Naweza kupika vizuri kuliko wewe.😂 MADAM: Nani kakuambia hivyo?🙆 HOUSE GIRL: Mumeo aliniambia.🤷 MADAM: Sawa, sababu ya pili....!🤔 HOUSE GIRL: Ninaweza kupiga pasi vizuri kuliko wewe.😂 MADAM: Nani kakuambia hivyo?🙆 HOUSE GIRL: Mumeo aliniambia.🤷 MADAM: Sawa, sababu ya mwisho.🤔 HOUSE GIRL: Mimi pia ni bora kuliko wewe kitandani💔😂 (Mke alikasirika, akashika fimbo ili kumpiga kichwa chake)🤔🤔 MADAM: Mume wangu ndiye alisema hivyo?💔 HOUSE GIRL: HAPANA, dereva aliniambia mimi ni bora kuliko wewe kitandani.🤷🤷 MADAM: Shhhh! Punguza sauti yako tafadhali! Nitaongeza jamani😂🤣🤣 CCCCCCCC
Like
Love
Haha
6
· 0 Comentários ·0 Compartilhamentos ·111 Visualizações