πππ
πππ ππ πππππππππΌ Hii ni Yetu wote WANANCHI.
HIi ni Kampeni Kubwa itakayobeba Safari yetu ya MAFANIKIO Msimu wa 2025/26.
Kila shabiki wa @yangasc Duniani atatakiwa kununua πππ πππ ππ πππππππ kwa Kulipa Ada ya Mwaka ya Uwanachama wa Klabu Yetu.
MALENGO ni kupata MATOFALI MILIONI 1 kwa Wanayanga watakaolipia Ada zao kwa njia ya Kimtandao.
Tukifanikisha hili, Tutakuwa tumefanikisha MAMBO MAKUBWA MAWILI Wanayanga wenzangu
1: Tumepata HELA ya kufanya USAJILI MKUBWA utakaotupa Timu Bora zaidi ya ilivyokuwa Msimu huu.
2: Tumepata Bajeti nzuri ya kuiwezesha @yangasc Yetu kushindana kikamilifu katika mashindano Yote [Ya ndani na Yale ya CAF].
πππ πππ ππ πππππππ Litauzwa Tsh 24,000
Tuhakikishe kuanzia kesho Kila Mwanayanga awe Na πππ πππ ππ πππππππ ili Tuijenge kwa Pamoja YANGA BINGWA MSIMU UJAOππΌ
Daima Mbele Nyuma Mwiko.

Kila shabiki wa @yangasc Duniani atatakiwa kununua πππ
πππ ππ πππππππ kwa Kulipa Ada ya Mwaka ya Uwanachama wa Klabu Yetu.
MALENGO ni kupata MATOFALI MILIONI 1 kwa Wanayanga watakaolipia Ada zao kwa njia ya Kimtandao.
Tukifanikisha hili, Tutakuwa tumefanikisha MAMBO MAKUBWA MAWILI Wanayanga wenzangu
1: Tumepata HELA ya kufanya USAJILI MKUBWA utakaotupa Timu Bora zaidi ya ilivyokuwa Msimu huu.
2: Tumepata Bajeti nzuri ya kuiwezesha @yangasc Yetu kushindana kikamilifu katika mashindano Yote [Ya ndani na Yale ya CAF].
πππ
πππ ππ πππππππ Litauzwa Tsh 24,000 β
Tuhakikishe kuanzia kesho Kila Mwanayanga awe Na πππ
πππ ππ πππππππ ili Tuijenge kwa Pamoja YANGA BINGWA MSIMU UJAOππΌ
Daima Mbele Nyuma Mwikoπ°.