π“πŽπ…π€π‹πˆ 𝐋𝐀 π”ππˆππ†π–π€πŸ‘ŠπŸΌ Hii ni Yetu wote WANANCHI.

HIi ni Kampeni Kubwa itakayobeba Safari yetu ya MAFANIKIO Msimu wa 2025/26.

Kila shabiki wa @yangasc Duniani atatakiwa kununua π“πŽπ…π€π‹πˆ 𝐋𝐀 π”ππˆππ†π–π€ kwa Kulipa Ada ya Mwaka ya Uwanachama wa Klabu Yetu.

MALENGO ni kupata MATOFALI MILIONI 1 kwa Wanayanga watakaolipia Ada zao kwa njia ya Kimtandao.

Tukifanikisha hili, Tutakuwa tumefanikisha MAMBO MAKUBWA MAWILI Wanayanga wenzangu

1: Tumepata HELA ya kufanya USAJILI MKUBWA utakaotupa Timu Bora zaidi ya ilivyokuwa Msimu huu.

2: Tumepata Bajeti nzuri ya kuiwezesha @yangasc Yetu kushindana kikamilifu katika mashindano Yote [Ya ndani na Yale ya CAF].

π“πŽπ…π€π‹πˆ 𝐋𝐀 π”ππˆππ†π–π€ Litauzwa Tsh 24,000

Tuhakikishe kuanzia kesho Kila Mwanayanga awe Na π“πŽπ…π€π‹πˆ 𝐋𝐀 π”ππˆππ†π–π€ ili Tuijenge kwa Pamoja YANGA BINGWA MSIMU UJAOπŸ‘ŠπŸΌ

Daima Mbele Nyuma Mwiko.
π“πŽπ…π€π‹πˆ 𝐋𝐀 π”ππˆππ†π–π€πŸ‘ŠπŸΌ Hii ni Yetu wote WANANCHI. HIi ni Kampeni Kubwa itakayobeba Safari yetu ya MAFANIKIO Msimu wa 2025/26. Kila shabiki wa @yangasc Duniani atatakiwa kununua π“πŽπ…π€π‹πˆ 𝐋𝐀 π”ππˆππ†π–π€ kwa Kulipa Ada ya Mwaka ya Uwanachama wa Klabu Yetu. MALENGO ni kupata MATOFALI MILIONI 1 kwa Wanayanga watakaolipia Ada zao kwa njia ya Kimtandao. Tukifanikisha hili, Tutakuwa tumefanikisha MAMBO MAKUBWA MAWILI Wanayanga wenzangu 1: Tumepata HELA ya kufanya USAJILI MKUBWA utakaotupa Timu Bora zaidi ya ilivyokuwa Msimu huu. 2: Tumepata Bajeti nzuri ya kuiwezesha @yangasc Yetu kushindana kikamilifu katika mashindano Yote [Ya ndani na Yale ya CAF]. π“πŽπ…π€π‹πˆ 𝐋𝐀 π”ππˆππ†π–π€ Litauzwa Tsh 24,000 βœ… Tuhakikishe kuanzia kesho Kila Mwanayanga awe Na π“πŽπ…π€π‹πˆ 𝐋𝐀 π”ππˆππ†π–π€ ili Tuijenge kwa Pamoja YANGA BINGWA MSIMU UJAOπŸ‘ŠπŸΌ Daima Mbele Nyuma MwikoπŸ”°.
Like
1
Β· 0 Reacties Β·0 aandelen Β·414 Views