𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀👊🏼 Hii ni Yetu wote WANANCHI.

HIi ni Kampeni Kubwa itakayobeba Safari yetu ya MAFANIKIO Msimu wa 2025/26.

Kila shabiki wa @yangasc Duniani atatakiwa kununua 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 kwa Kulipa Ada ya Mwaka ya Uwanachama wa Klabu Yetu.

MALENGO ni kupata MATOFALI MILIONI 1 kwa Wanayanga watakaolipia Ada zao kwa njia ya Kimtandao.

Tukifanikisha hili, Tutakuwa tumefanikisha MAMBO MAKUBWA MAWILI Wanayanga wenzangu

1: Tumepata HELA ya kufanya USAJILI MKUBWA utakaotupa Timu Bora zaidi ya ilivyokuwa Msimu huu.

2: Tumepata Bajeti nzuri ya kuiwezesha @yangasc Yetu kushindana kikamilifu katika mashindano Yote [Ya ndani na Yale ya CAF].

𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 Litauzwa Tsh 24,000

Tuhakikishe kuanzia kesho Kila Mwanayanga awe Na 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 ili Tuijenge kwa Pamoja YANGA BINGWA MSIMU UJAO👊🏼

Daima Mbele Nyuma Mwiko.
𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀👊🏼 Hii ni Yetu wote WANANCHI. HIi ni Kampeni Kubwa itakayobeba Safari yetu ya MAFANIKIO Msimu wa 2025/26. Kila shabiki wa @yangasc Duniani atatakiwa kununua 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 kwa Kulipa Ada ya Mwaka ya Uwanachama wa Klabu Yetu. MALENGO ni kupata MATOFALI MILIONI 1 kwa Wanayanga watakaolipia Ada zao kwa njia ya Kimtandao. Tukifanikisha hili, Tutakuwa tumefanikisha MAMBO MAKUBWA MAWILI Wanayanga wenzangu 1: Tumepata HELA ya kufanya USAJILI MKUBWA utakaotupa Timu Bora zaidi ya ilivyokuwa Msimu huu. 2: Tumepata Bajeti nzuri ya kuiwezesha @yangasc Yetu kushindana kikamilifu katika mashindano Yote [Ya ndani na Yale ya CAF]. 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 Litauzwa Tsh 24,000 ✅ Tuhakikishe kuanzia kesho Kila Mwanayanga awe Na 𝐓𝐎𝐅𝐀𝐋𝐈 𝐋𝐀 𝐔𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 ili Tuijenge kwa Pamoja YANGA BINGWA MSIMU UJAO👊🏼 Daima Mbele Nyuma Mwiko🔰.
Like
1
· 0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·414 Views