๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž! Atlético Madrid imefikia makubaliano ya kumsajiri Thiago Almada kutoka Olympique Lyon

Uhamisho utakamilika muda sio mrefu kutokana na Almada tayari ameshafikia makubaliano binafsi na Atlético


Olympique Lyon atavuna €40m kwa Thiago Almada

#SportsElite
๐Ÿšจ ๐‡๐„๐‘๐„ ๐–๐„ ๐†๐Ž! Atlético Madrid imefikia makubaliano ya kumsajiri Thiago Almada kutoka Olympique Lyon ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท Uhamisho utakamilika muda sio mrefu kutokana na Almada tayari ameshafikia makubaliano binafsi na Atlético Olympique Lyon atavuna €40m kwa Thiago Almada โœจ โค๏ธ๐Ÿค๐Ÿ” #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท34 Views