𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 π†πŽ! Atlético Madrid imefikia makubaliano ya kumsajiri Thiago Almada kutoka Olympique Lyon

Uhamisho utakamilika muda sio mrefu kutokana na Almada tayari ameshafikia makubaliano binafsi na Atlético


Olympique Lyon atavuna €40m kwa Thiago Almada

#SportsElite
🚨 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 π†πŽ! Atlético Madrid imefikia makubaliano ya kumsajiri Thiago Almada kutoka Olympique Lyon πŸ‡¦πŸ‡· Uhamisho utakamilika muda sio mrefu kutokana na Almada tayari ameshafikia makubaliano binafsi na Atlético Olympique Lyon atavuna €40m kwa Thiago Almada ✨ β€οΈπŸ€πŸ” #SportsElite
0 Commenti Β·0 condivisioni Β·35 Views