Manchester united imeweka wazi bei ya winga wake hatari Antony €58M na sio chini ya hapo.

United wapo tayari kuachana na Antony na vilabu kadhaa vikubwa vimeonesha nia ya kumuhitaji ikiwemo;

Newcastle
Brighton
Bayer Leverkusen
RB Leipzig.

Credit [365Scores]

#SportsElite
🚨Manchester united imeweka wazi bei ya winga wake hatari Antony €58M na sio chini ya hapo. United wapo tayari kuachana na Antony na vilabu kadhaa vikubwa vimeonesha nia ya kumuhitaji ikiwemo; 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Newcastle 🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿 Brighton 🇩🇪 Bayer Leverkusen 🇩🇪 RB Leipzig. Credit [365Scores] #SportsElite
0 Σχόλια ·0 Μοιράστηκε ·104 Views