Manchester united imeweka wazi bei ya winga wake hatari Antony €58M na sio chini ya hapo.

United wapo tayari kuachana na Antony na vilabu kadhaa vikubwa vimeonesha nia ya kumuhitaji ikiwemo;

Newcastle
Brighton
Bayer Leverkusen
RB Leipzig.

Credit [365Scores]

#SportsElite
馃毃Manchester united imeweka wazi bei ya winga wake hatari Antony €58M na sio chini ya hapo. United wapo tayari kuachana na Antony na vilabu kadhaa vikubwa vimeonesha nia ya kumuhitaji ikiwemo; 馃彺鬆仹鬆仮鬆仴鬆伄鬆仹鬆伩 Newcastle 馃彺鬆仹鬆仮鬆仴鬆伄鬆仹鬆伩 Brighton 馃嚛馃嚜 Bayer Leverkusen 馃嚛馃嚜 RB Leipzig. Credit [365Scores] #SportsElite
0 Commentarios 0 Acciones 104 Views