Mkurugenzi wa michezo wa Benfica Lisbon amewasili nchini Brazil leo kufatilia dili la mchezaji wa Palmeiras Richard Rios

Palmeiras wamethibitisha kuwa AS Roma wameshindwa kuendana na dau walilolihitaji la €30M, Sasa wamefungua milango kwa Benfica Lisbon

#SportsElite
๐Ÿšจ Mkurugenzi wa michezo wa Benfica Lisbon amewasili nchini Brazil ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ท leo kufatilia dili la mchezaji wa Palmeiras Richard Rios ๐Ÿ™Œ Palmeiras wamethibitisha kuwa AS Roma wameshindwa kuendana na dau walilolihitaji la €30M, Sasa wamefungua milango kwa Benfica Lisbon ๐Ÿ™Œ #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท31 Views