Upgrade to Pro

Mkurugenzi wa michezo wa Benfica Lisbon amewasili nchini Brazil leo kufatilia dili la mchezaji wa Palmeiras Richard Rios

Palmeiras wamethibitisha kuwa AS Roma wameshindwa kuendana na dau walilolihitaji la €30M, Sasa wamefungua milango kwa Benfica Lisbon

#SportsElite
🚨 Mkurugenzi wa michezo wa Benfica Lisbon amewasili nchini Brazil πŸ‡§πŸ‡· leo kufatilia dili la mchezaji wa Palmeiras Richard Rios πŸ™Œ Palmeiras wamethibitisha kuwa AS Roma wameshindwa kuendana na dau walilolihitaji la €30M, Sasa wamefungua milango kwa Benfica Lisbon πŸ™Œ #SportsElite
Β·268 Views