Wachezaji wa Kiingereza Walio Wahi Kuvaa Jezi ya FC Barcelona!
1οΈβ£ Gary Lineker – Mshambuliaji wa nguvu, aliichezea Barça kati ya 1986 hadi 1989, akifunga zaidi ya magoli 40!
2οΈβ£ Marcus McGuane – Alisajiliwa kutoka Arsenal mwaka 2018, akawa Mwingereza wa kwanza baada ya miaka 29 kuonekana kwenye kikosi cha wakubwa!
3οΈβ£ Louie Barry – Alijiunga na La Masia mwaka 2019 akiwa na miaka 16. Alikuwa Mwingereza wa kwanza La Masia lakini hakufika kikosi cha kwanza.
4οΈβ£ Marcus Rashford – (2025) Sasa ni rasmi! Ametua Barcelona kwa mkopo kutoka Man Utd.
#SportsElite

π¬π§π¦ Wachezaji wa Kiingereza Walio Wahi Kuvaa Jezi ya FC Barcelona! ποΈπ₯
1οΈβ£ Gary Lineker – Mshambuliaji wa nguvu, aliichezea Barça kati ya 1986 hadi 1989, akifunga zaidi ya magoli 40! β½
2οΈβ£ Marcus McGuane – Alisajiliwa kutoka Arsenal mwaka 2018, akawa Mwingereza wa kwanza baada ya miaka 29 kuonekana kwenye kikosi cha wakubwa! π
3οΈβ£ Louie Barry – Alijiunga na La Masia mwaka 2019 akiwa na miaka 16. Alikuwa Mwingereza wa kwanza La Masia lakini hakufika kikosi cha kwanza. π§
4οΈβ£ Marcus Rashford – (2025) Sasa ni rasmi! Ametua Barcelona kwa mkopo kutoka Man Utd.
#SportsElite
0 Reacties
Β·0 aandelen
Β·27 Views