Wachezaji wa Kiingereza Walio Wahi Kuvaa Jezi ya FC Barcelona!
1️⃣ Gary Lineker – Mshambuliaji wa nguvu, aliichezea Barça kati ya 1986 hadi 1989, akifunga zaidi ya magoli 40!
2️⃣ Marcus McGuane – Alisajiliwa kutoka Arsenal mwaka 2018, akawa Mwingereza wa kwanza baada ya miaka 29 kuonekana kwenye kikosi cha wakubwa!
3️⃣ Louie Barry – Alijiunga na La Masia mwaka 2019 akiwa na miaka 16. Alikuwa Mwingereza wa kwanza La Masia lakini hakufika kikosi cha kwanza.
4️⃣ Marcus Rashford – (2025) Sasa ni rasmi! Ametua Barcelona kwa mkopo kutoka Man Utd.
#SportsElite

🇬🇧🟦 Wachezaji wa Kiingereza Walio Wahi Kuvaa Jezi ya FC Barcelona! 🏟️🔥
1️⃣ Gary Lineker – Mshambuliaji wa nguvu, aliichezea Barça kati ya 1986 hadi 1989, akifunga zaidi ya magoli 40! ⚽
2️⃣ Marcus McGuane – Alisajiliwa kutoka Arsenal mwaka 2018, akawa Mwingereza wa kwanza baada ya miaka 29 kuonekana kwenye kikosi cha wakubwa! 🔁
3️⃣ Louie Barry – Alijiunga na La Masia mwaka 2019 akiwa na miaka 16. Alikuwa Mwingereza wa kwanza La Masia lakini hakufika kikosi cha kwanza. 🧠
4️⃣ Marcus Rashford – (2025) Sasa ni rasmi! Ametua Barcelona kwa mkopo kutoka Man Utd.
#SportsElite
0 Comentários
·0 Compartilhamentos
·27 Visualizações