饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Manchester City bado wanavutiwa na Rodrygo kutoka Real Madrid, na mazungumzo yamefikia pazuri.

City wako tayari kutoa ofa ya kimkataba hadi 2030, na Rodrygo kama anahitaji kuondoka Madrid basin City watalipa kiasi cha €100 million.

photo credit Madridista

#SportsElite
馃毃馃挘 饾悂饾悜饾悇饾悁饾悐饾悎饾悕饾悊: Manchester City bado wanavutiwa na Rodrygo kutoka Real Madrid, na mazungumzo yamefikia pazuri. City wako tayari kutoa ofa ya kimkataba hadi 2030, na Rodrygo kama anahitaji kuondoka Madrid basin City watalipa kiasi cha €100 million. 馃摲 photo credit Madridista 馃檹 #SportsElite
0 Commentarios 0 Acciones 17 Views