๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Manchester City bado wanavutiwa na Rodrygo kutoka Real Madrid, na mazungumzo yamefikia pazuri.

City wako tayari kutoa ofa ya kimkataba hadi 2030, na Rodrygo kama anahitaji kuondoka Madrid basin City watalipa kiasi cha €100 million.

photo credit Madridista

#SportsElite
๐Ÿšจ๐Ÿ’ฃ ๐๐‘๐„๐€๐Š๐ˆ๐๐†: Manchester City bado wanavutiwa na Rodrygo kutoka Real Madrid, na mazungumzo yamefikia pazuri. City wako tayari kutoa ofa ya kimkataba hadi 2030, na Rodrygo kama anahitaji kuondoka Madrid basin City watalipa kiasi cha €100 million. ๐Ÿ“ท photo credit Madridista ๐Ÿ™ #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท20 Views