Kipa mwenye umri wa miaka 15 kutoka Nigeria, Ebenezer Harcourt, amekuwa mchezaji mdogo zaidi kuwahi kuichezea timu ya taifa ya Super Eagles.

Amecheza mechi yake ya kwanza (debut) kwa Nigeria katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Congo kwenye Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN).

ยฉ Enoch Arthur

#SportsElite
๐Ÿšจ๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ฌ Kipa mwenye umri wa miaka 15 kutoka Nigeria, Ebenezer Harcourt, amekuwa mchezaji mdogo zaidi kuwahi kuichezea timu ya taifa ya Super Eagles. Amecheza mechi yake ya kwanza (debut) kwa Nigeria katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Congo kwenye Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN). © Enoch Arthur โœ๏ธ #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท33 Views