Kipa mwenye umri wa miaka 15 kutoka Nigeria, Ebenezer Harcourt, amekuwa mchezaji mdogo zaidi kuwahi kuichezea timu ya taifa ya Super Eagles.
Amecheza mechi yake ya kwanza (debut) kwa Nigeria katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Congo kwenye Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN).
© Enoch Arthur
#SportsElite

🚨🇳🇬 Kipa mwenye umri wa miaka 15 kutoka Nigeria, Ebenezer Harcourt, amekuwa mchezaji mdogo zaidi kuwahi kuichezea timu ya taifa ya Super Eagles.
Amecheza mechi yake ya kwanza (debut) kwa Nigeria katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Congo kwenye Mashindano ya Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wa Ndani (CHAN).
© Enoch Arthur ✍️
#SportsElite
0 Yorumlar
·0 hisse senetleri
·33 Views