Siku Jamie Vardy alipompigia simu N'Golo Kanté baada ya kushinda Champions League

馃帣"Siku moja baada ya fainali ya Champions League, nilijaribu kumpigia Simu ili nimpongeze, lakini hakupokea simu yangu"

Baada ya saa chache, alinipigia akiniomba msamaha kwa kutopokea, na kusema alikuwa nje akikimbia na hakuwa nyumbani.

Hii inaonyesha tu kujitolea kwake."

Humble N'golo


#SportsElite
馃槃馃摫馃彺鬆仹鬆仮鬆仴鬆伄鬆仹鬆伩Siku Jamie Vardy alipompigia simu N'Golo Kanté baada ya kushinda Champions League 馃帣"Siku moja baada ya fainali ya Champions League, nilijaribu kumpigia Simu ili nimpongeze, lakini hakupokea simu yangu" Baada ya saa chache, alinipigia akiniomba msamaha kwa kutopokea, na kusema alikuwa nje akikimbia na hakuwa nyumbani. Hii inaonyesha tu kujitolea kwake." Humble N'golo #SportsElite
0 Commentarios 0 Acciones 18 Views