Alejandro Garnacho tayari amewasilsha London kukamilisha Usajili wake wa Kujiunga na Chelsea kwa ada ya £40m na mkataba wa miaka saba hadi 2032..

Man United na Chelsea tayari wamesaini nyaraka zote za Usajili huo na Garnacho atafanyiwa vipimo leo. .

Source Fabrizio Romano

#SportsElite
๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ท๐Ÿšจ Alejandro Garnacho tayari amewasilsha London kukamilisha Usajili wake wa Kujiunga na Chelsea kwa ada ya £40m na mkataba wa miaka saba hadi 2032.. Man United na Chelsea tayari wamesaini nyaraka zote za Usajili huo na Garnacho atafanyiwa vipimo leo. ๐Ÿ”’. Source Fabrizio Romano #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท39 Views