Ac Millan bila Leao wana Christian Pulisic mwamba anaweka sana tangia ajiunge na Milan msimu wa 23/24 amekuwa na takwimu bora sana kila msimu anakupa magoli 10+

Kwenye mchezo wa jana ameanza safari yake ya kutafuta goals 10+ msimu huu akiwasadia Millan kushinda 2-0 dhidi ya Lecce : Chelsea hichi chuma kwanini mlikiondoa pale darajani ? Mbona ni mtu sana au mlishindwa kumvumilia Captain America

Au Seria A ni ligi nyepesi sana ?

#SportsElite
๐Ÿšจ๐ŸšจAc Millan bila Leao wana Christian Pulisic mwamba anaweka sana tangia ajiunge na Milan msimu wa 23/24 amekuwa na takwimu bora sana kila msimu anakupa magoli 10+ ๐Ÿ™Œ Kwenye mchezo wa jana ameanza safari yake ya kutafuta goals 10+ msimu huu akiwasadia Millan kushinda 2-0 dhidi ya Lecce : Chelsea hichi chuma kwanini mlikiondoa pale darajani ? Mbona ni mtu sana ๐Ÿ˜€ au mlishindwa kumvumilia Captain America ๐Ÿ˜Ž Au Seria A ni ligi nyepesi sana ? #SportsElite
0 Comments ยท0 Shares ยท43 Views