Ac Millan bila Leao wana Christian Pulisic mwamba anaweka sana tangia ajiunge na Milan msimu wa 23/24 amekuwa na takwimu bora sana kila msimu anakupa magoli 10+
Kwenye mchezo wa jana ameanza safari yake ya kutafuta goals 10+ msimu huu akiwasadia Millan kushinda 2-0 dhidi ya Lecce : Chelsea hichi chuma kwanini mlikiondoa pale darajani ? Mbona ni mtu sana au mlishindwa kumvumilia Captain America
Au Seria A ni ligi nyepesi sana ?
#SportsElite

đšđšAc Millan bila Leao wana Christian Pulisic mwamba anaweka sana tangia ajiunge na Milan msimu wa 23/24 amekuwa na takwimu bora sana kila msimu anakupa magoli 10+ đ
Kwenye mchezo wa jana ameanza safari yake ya kutafuta goals 10+ msimu huu akiwasadia Millan kushinda 2-0 dhidi ya Lecce : Chelsea hichi chuma kwanini mlikiondoa pale darajani ? Mbona ni mtu sana đ au mlishindwa kumvumilia Captain America đ
Au Seria A ni ligi nyepesi sana ?
#SportsElite
0 Commentaires
·0 Parts
·43 Vue