Bournemouth imekataa ofa ya £50M kutoka kwa Tottenham Hotspur pamoja na Manchester United juu ya huduma ya Antoine Semenyo dirisha dogo.

Tayari Bournemouth imeshapata kitita cha pesa £200M kutokana na mauzo ya vipaji vyao.

Milos Kerkez - aliuzwa kwenda Liverpool ada £40M.
Dean Huijsen -aliuzwa kwenda Real Madrid ada £50M.
Illia Zabarnyi -aliuzwa kwenda PSG ada £58M.
Dango Ouattara aliuzwa kwenda Brentford ada £42M.

(Source: Telegraph)
🚨 Bournemouth imekataa ofa ya £50M kutoka kwa Tottenham Hotspur pamoja na Manchester United juu ya huduma ya Antoine Semenyo dirisha dogo. Tayari Bournemouth imeshapata kitita cha pesa £200M kutokana na mauzo ya vipaji vyao. 🇭🇺 Milos Kerkez - aliuzwa kwenda Liverpool ada £40M. 🇪🇸 Dean Huijsen -aliuzwa kwenda Real Madrid ada £50M. 🇺🇦 Illia Zabarnyi -aliuzwa kwenda PSG ada £58M. 🇧🇫 Dango Ouattara aliuzwa kwenda Brentford ada £42M. (Source: Telegraph)
0 التعليقات ·0 المشاركات ·50 مشاهدة