Bournemouth imekataa ofa ya £50M kutoka kwa Tottenham Hotspur pamoja na Manchester United juu ya huduma ya Antoine Semenyo dirisha dogo.
Tayari Bournemouth imeshapata kitita cha pesa £200M kutokana na mauzo ya vipaji vyao.
Milos Kerkez - aliuzwa kwenda Liverpool ada £40M.
Dean Huijsen -aliuzwa kwenda Real Madrid ada £50M.
Illia Zabarnyi -aliuzwa kwenda PSG ada £58M.
Dango Ouattara aliuzwa kwenda Brentford ada £42M.
(Source: Telegraph)

🚨 Bournemouth imekataa ofa ya £50M kutoka kwa Tottenham Hotspur pamoja na Manchester United juu ya huduma ya Antoine Semenyo dirisha dogo.
Tayari Bournemouth imeshapata kitita cha pesa £200M kutokana na mauzo ya vipaji vyao.
đź‡đź‡ş Milos Kerkez - aliuzwa kwenda Liverpool ada £40M.
🇪🇸 Dean Huijsen -aliuzwa kwenda Real Madrid ada £50M.
🇺🇦 Illia Zabarnyi -aliuzwa kwenda PSG ada £58M.
🇧🇫 Dango Ouattara aliuzwa kwenda Brentford ada £42M.
(Source: Telegraph)
0 Commentaires
·0 Parts
·50 Vue