Bournemouth imekataa ofa ya £50M kutoka kwa Tottenham Hotspur pamoja na Manchester United juu ya huduma ya Antoine Semenyo dirisha dogo.

Tayari Bournemouth imeshapata kitita cha pesa £200M kutokana na mauzo ya vipaji vyao.

Milos Kerkez - aliuzwa kwenda Liverpool ada £40M.
Dean Huijsen -aliuzwa kwenda Real Madrid ada £50M.
Illia Zabarnyi -aliuzwa kwenda PSG ada £58M.
Dango Ouattara aliuzwa kwenda Brentford ada £42M.

(Source: Telegraph)
🚨 Bournemouth imekataa ofa ya £50M kutoka kwa Tottenham Hotspur pamoja na Manchester United juu ya huduma ya Antoine Semenyo dirisha dogo. Tayari Bournemouth imeshapata kitita cha pesa £200M kutokana na mauzo ya vipaji vyao. πŸ‡­πŸ‡Ί Milos Kerkez - aliuzwa kwenda Liverpool ada £40M. πŸ‡ͺπŸ‡Έ Dean Huijsen -aliuzwa kwenda Real Madrid ada £50M. πŸ‡ΊπŸ‡¦ Illia Zabarnyi -aliuzwa kwenda PSG ada £58M. πŸ‡§πŸ‡« Dango Ouattara aliuzwa kwenda Brentford ada £42M. (Source: Telegraph)
0 Reacties Β·0 aandelen Β·50 Views