Passa a Pro

  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Kylian Mbappe andai kiasi cha €240 kutoka Paris Saint Germain huku Paris Saint Germain wamesema hata wao wanamdai €180m kwa kusema uongo ya kwamba hawezi kuondoka klabuni hapo kwa mkataba wa bila malipo

    Source Le Parisien
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Kylian Mbappe andai kiasi cha €240 kutoka Paris Saint Germain huku Paris Saint Germain wamesema hata wao wanamdai €180m kwa kusema uongo ya kwamba hawezi kuondoka klabuni hapo kwa mkataba wa bila malipo Source Le Parisien
    ·234 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Barcelona wanarejea 𝐒𝐩𝐨𝐭𝐢𝐟𝐲 𝐂𝐚𝐦𝐩 𝐨𝐨 kitakuwa uwanja mpya. 𝐭𝐡𝐢𝐬 𝐒𝐚𝐭𝐮𝐫𝐝𝐚𝐲 dhidi ya Athletic Club kwenye La Liga!

    SIKU YA KIHISTORIA KWA BARÇA!
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Barcelona wanarejea 𝐒𝐩𝐨𝐭𝐢𝐟𝐲 𝐂𝐚𝐦𝐩 𝐨𝐨 kitakuwa uwanja mpya. 𝐭𝐡𝐢𝐬 𝐒𝐚𝐭𝐮𝐫𝐝𝐚𝐲 dhidi ya Athletic Club kwenye La Liga! 🤩 SIKU YA KIHISTORIA KWA BARÇA! ❤️💙
    ·163 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Tottenham inaendelea kushikilia mazungumzo na Bayern Munich juu ya uhamisho wa kudumu wa João Palhinha, ambae tayari amekwisha kukubaliana mkataba hadi 2029.
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Tottenham inaendelea kushikilia mazungumzo na Bayern Munich juu ya uhamisho wa kudumu wa João Palhinha, ambae tayari amekwisha kukubaliana mkataba hadi 2029. ⚪
    ·216 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Juventus imemfuta kazi kocha wake mkuu Igor Tudor baada ya kupokea kichapo kutoa kwa Lazio
    🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Juventus imemfuta kazi kocha wake mkuu Igor Tudor baada ya kupokea kichapo kutoa kwa Lazio ❌
    Like
    1
    ·316 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Ter Stegen huwenda akaondoka Barcelona January kwa mkopo , reports Sky Sports. 👋🏽
    🚨🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Ter Stegen huwenda akaondoka Barcelona January kwa mkopo , reports Sky Sports. 👋🏽💣
    ·424 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Willian Pacho amefikia makubaliano ya kuongeza kandarasi ya miaka 4 kusalia PSG hadi 2030.
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Willian Pacho amefikia makubaliano ya kuongeza kandarasi ya miaka 4 kusalia PSG hadi 2030.
    ·603 Views
  • 𝐐𝐑 𝐂𝐎𝐃𝐄 𝐆𝐄𝐍𝐄𝐑𝐀𝐓𝐎𝐑

    Turn anything into QR CODE for Free
    (Text, Links, images,Video, audio,pdf, etc)

    Visit https://www.duduumendez.xyz
    GET STARTED, choose service of QR CODE GENERATOR, enjoy

    Enjoy more services from 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 𝐂𝐎𝐌𝐌𝐔𝐍𝐈𝐓𝐘




    𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V5
    ▶︎ ●────────── 0:41
    𝐐𝐑 𝐂𝐎𝐃𝐄 𝐆𝐄𝐍𝐄𝐑𝐀𝐓𝐎𝐑 Turn anything into QR CODE for Free (Text, Links, images,Video, audio,pdf, etc) Visit https://www.duduumendez.xyz GET STARTED, choose service of QR CODE GENERATOR, enjoy 😉 😎 Enjoy more services from 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 𝐂𝐎𝐌𝐌𝐔𝐍𝐈𝐓𝐘 𝐃𝐔𝐃𝐔𝐔_𝐌𝐄𝐍𝐃𝐄𝐙 V5 ▶︎ ●────────── 0:41
    Under Maintenance
    ·520 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋 | Sydney FC wamekatisha mkataba wa Douglas Costa kupitia makubaliano ya pande zote mbili.

    Taarifa: "Winga huyo hawezi kusafiri hadi Australia. Mambo ya kisheria na ya kibinafsi yanayoendelea katika nchi yake yamemzuia Mbrazil huyo kuondoka."

    FOLLOW US
    🚨🇧🇷 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋 | Sydney FC wamekatisha mkataba wa Douglas Costa kupitia makubaliano ya pande zote mbili. ✍️❌ Taarifa: "Winga huyo hawezi kusafiri hadi Australia. Mambo ya kisheria na ya kibinafsi yanayoendelea katika nchi yake yamemzuia Mbrazil huyo kuondoka." FOLLOW US
    Like
    1
    ·317 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Lamine Yamal ataukosa mchezo wa Champions League na Newcastle United.
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Lamine Yamal ataukosa mchezo wa Champions League na Newcastle United.
    ·162 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Jose Mourinho yuko mbioni kujiunga na Benfica.
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Jose Mourinho yuko mbioni kujiunga na Benfica.
    Like
    1
    ·180 Views
  • _||𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: Ligi Kuu ya Ugiriki (Greek Superleague) imesitishwa kwa muda usiojulikana baada ya tukio la kushangaza kutokea...

    Rais wa klabu ya PAOK Salonika, Ivan Savvidis, alivamia uwanja akiwa na bunduki kiunoni wakati wa mchezo dhidi ya AEK Athens.

    Sababu ya hasira zake ni baada ya bao la timu yake kufutwa kwa madai ya offside dakika za mwisho. Savvidis alijaribu kumkabili refa wa mchezo huo!
    🚨_||💣𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: Ligi Kuu ya Ugiriki 🇬🇷 (Greek Superleague) imesitishwa kwa muda usiojulikana baada ya tukio la kushangaza kutokea... 👨‍💼Rais wa klabu ya PAOK Salonika, Ivan Savvidis, alivamia uwanja akiwa na bunduki kiunoni wakati wa mchezo dhidi ya AEK Athens. 😮 Sababu ya hasira zake ni baada ya bao la timu yake kufutwa kwa madai ya offside dakika za mwisho. Savvidis alijaribu kumkabili refa wa mchezo huo! 😲
    Like
    1
    ·480 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: West Ham imekamilisha usajili wa Lukasz Fabianski (40) kama mchezaji huru

    Fabiansk anarejea West Ham ... Huku akicheza michezo 216 appearances .
    🚨🇵🇱 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: West Ham imekamilisha usajili wa Lukasz Fabianski (40) kama mchezaji huru ⚒️ Fabiansk anarejea West Ham ... Huku akicheza michezo 216 appearances . 🧤✨
    Like
    1
    ·289 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Liverpool sasa wako katika hatua za mwisho kukamilisha Usajili wa Mshambuliaji kutoka Newcastle United Alexander Isak kwa ada ya £130m.

    Source Football Tweets

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Liverpool sasa wako katika hatua za mwisho kukamilisha Usajili wa Mshambuliaji kutoka Newcastle United Alexander Isak kwa ada ya £130m. Source Football Tweets #SportsElite
    ·960 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚 : Liverpool imepanga kuwasilisha ofa yao Leo kwa Newcastle United yenye thamani zaidi ya £125m kumsajili mshambuliaji Alexander Isak.

    Source The Touchline

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚 : Liverpool imepanga kuwasilisha ofa yao Leo kwa Newcastle United yenye thamani zaidi ya £125m kumsajili mshambuliaji Alexander Isak. 💰 🇸🇪 Source The Touchline #SportsElite
    ·680 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Leverkusen imekamilisha usajili wa Eliesse Ben (20).

    Bayer Leverkusen ilifikia makubaliano dhidi ya Monaco kumpata winga huyo mwenye thamani ya €30M hadi 2030.


    #SportsElite
    🚨💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Leverkusen imekamilisha usajili wa Eliesse Ben (20). Bayer Leverkusen ilifikia makubaliano dhidi ya Monaco kumpata winga huyo mwenye thamani ya €30M hadi 2030. #SportsElite
    ·499 Views
  • 𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 : 𝐅𝐚𝐜𝐮𝐝𝐨 𝐁𝐮𝐨𝐧𝐚𝐧𝐨𝐭𝐭𝐞 𝐭𝐨 𝐂𝐡𝐞𝐥𝐬𝐞𝐚

    BREAKING Chelsea imefika makubaliano kamili na Brighton kumsajili Facundo Buonanotte kwa mkopo..!

    Source Fabrizio Romano


    #SportsElite
    🇦🇷🚨𝐇𝐄𝐑𝐄 𝐖𝐄 𝐆𝐎 : 𝐅𝐚𝐜𝐮𝐝𝐨 𝐁𝐮𝐨𝐧𝐚𝐧𝐨𝐭𝐭𝐞 𝐭𝐨 𝐂𝐡𝐞𝐥𝐬𝐞𝐚 🚨 BREAKING Chelsea imefika makubaliano kamili na Brighton kumsajili Facundo Buonanotte kwa mkopo..! Source Fabrizio Romano #SportsElite
    ·880 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Fermín López amefanya uamuzi wa Kuendelea kubakia Barcelona.

    Source The Touchline T

    #SportsElite
    🔐🚨𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Fermín López amefanya uamuzi wa Kuendelea kubakia Barcelona. Source The Touchline T #SportsElite
    ·481 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Lucas Vázquez amejiunga Bayer Leverkusen, akiwa kama mchezaji huru

    #CaroScore #SportsUp

    #SportsElite
    🚨 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Lucas Vázquez amejiunga Bayer Leverkusen, akiwa kama mchezaji huru❤️🖤🇪🇸 #CaroScore #SportsUp #SportsElite
    ·554 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Olympique Marseille wanafanya kazi ya kumsajili beki wa Arsenal Oleksandr Zinchenko.

    Source David Ornstein

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Olympique Marseille wanafanya kazi ya kumsajili beki wa Arsenal Oleksandr Zinchenko. 🇺🇦 Source David Ornstein #SportsElite
    ·556 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Tuchel amemjuisha MARCUS RASHFORD kwenye kikosi cha Uingereza
    🚨🚨 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Tuchel amemjuisha MARCUS RASHFORD kwenye kikosi cha Uingereza 👀🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿
    ·123 Views
Pagine in Evidenza