... 𝗞𝗬𝗟𝗜𝗔𝗡 𝗠𝗕𝗔𝗣𝗣𝗘
Kwenye mchezo dhidi ya Iceland usiku wa jana, Kylian Mbappé Lottin alifunga bao lake la 52 akiwa na Ufaransa -- na kuwa mfungaji bora wa pili wa muda wote akimpita Thierry Henry .
57
04
132 - Olivier Giroud
52
12
092 - Kylian Mbappé
51
02
123 - Thierry Henry
Anakuwa mchezaji wa pili wa Europa katika karne ya 21 kuifungia timu yake ya taifa
ya wakubwa mabao 52 kabla ya kufikisha umri wa miaka 27, baada ya Romelu Lukaku akiwa na Belgium
.
Kylian Mbappé akiwa na timu ya taifa ya wakubwa ya Ufaransa
.
◉ 92 - Games.
◉ 52 - Goals (second top scorer)
◉ 33 - Assists (best assist provider)
◉ 85 - Goals/assists.
◉ 12 - Penalty.
◉ 03 - Hat trick.
Key .......
_______________
- Games
- Goals
- Penalty
Follow us.
#imansportnews #PlayStation #WorldCupQualifiers2026
... 𝗞𝗬𝗟𝗜𝗔𝗡 𝗠𝗕𝗔𝗣𝗣𝗘 🔥
Kwenye mchezo dhidi ya Iceland usiku wa jana, Kylian Mbappé Lottin alifunga bao lake la 52 akiwa na Ufaransa -- na kuwa mfungaji bora wa pili wa muda wote akimpita Thierry Henry .
⚽ 57 🥅 04 🎮 132 - Olivier Giroud
⚽ 52 🥅 12 🎮 092 - Kylian Mbappé
⚽ 51 🥅 02 🎮 123 - Thierry Henry
Anakuwa mchezaji wa pili wa Europa katika karne ya 21 kuifungia timu yake ya taifa 🇨🇵 ya wakubwa mabao 52 kabla ya kufikisha umri wa miaka 27, baada ya Romelu Lukaku akiwa na Belgium 🇧🇪 .
Kylian Mbappé akiwa na timu ya taifa ya wakubwa ya Ufaransa 🇨🇵 .
◉ 92 - Games.
◉ 52 - Goals (second top scorer)
◉ 33 - Assists (best assist provider)
◉ 85 - Goals/assists.
◉ 12 - Penalty.
◉ 03 - Hat trick.
Key ....... 🔑
_______________
🎮 - Games
⚽ - Goals
🥅 - Penalty
Follow us.
#imansportnews #PlayStation #WorldCupQualifiers2026