Результаты поиска
Все результаты
Socialpop Socialpop Socialpop
Главная
Группы
Страницы
Marketplace
Больше
Группы Страницы Marketplace Мероприятия Статьи пользователей Funding Offers Jobs Courses Форумы Кинозал
Вступить
Войти Регистрация
Theme Switcher
Ночной режим
Поиск
Записей
Статьи пользователей
Пользователи
Страницы
Группы
Мероприятия
  • FRANK SIMEO @MTUMISHI добавлены фото
    2025-01-19 07:11:41 ·
    Haikuwa riziki wananchi msimu huu CAFCL
    Haikuwa riziki wananchi msimu huu CAFCL🔰
    0 Комментарии ·0 Поделились ·618 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Kelvin John @Jumae добавлены фото
    2025-01-13 12:28:53 ·
    Licha ya jana Klabu ya Yanga SC kushinda mechi yake muhimu dhidi ya timu ngumu ya Al Hilal omdurman lakini kuna huyu mwamba wa kuitwa Jean Claude Giramugisha, hapa kibwana Shomari nahisi usingizi wake ulikuwa wa Mashaka (kuweweseka) maana sio kwa kuburuzwa kule

    Dogo ana speed ya ajabu mpaka nikasema dah huyu sio ndo yule kasongo lakini? achana na speed ana vyenga pia ana pumzi hachoki, Kuna muda akuwa upande wa kushoto kumxhosha kibwana sometime anabadilishana possition na adama Coulibaly, anaenda tena kumnyanyasa Shadrack Boka

    Cha ajabu huyu dogo ni mburundi tuh sijui Tanzania tulicherewa nini kusema huyu dogo ni MUHA wa Kigoma na akatupa faida Tanzania kwenye NT na vilabu

    Oya huyu dogo ni moto

    #muslehelbarcaupdates

    #Alhilalomdurman #CAFChampionsLeague #TotalEnergiesCAFCL
    Licha ya jana Klabu ya Yanga SC kushinda mechi yake muhimu dhidi ya timu ngumu ya Al Hilal omdurman lakini kuna huyu mwamba wa kuitwa Jean Claude Giramugisha, hapa kibwana Shomari nahisi usingizi wake ulikuwa wa Mashaka (kuweweseka) maana sio kwa kuburuzwa kule 🙄 Dogo ana speed ya ajabu mpaka nikasema dah huyu sio ndo yule kasongo lakini? achana na speed ana vyenga pia ana pumzi hachoki, Kuna muda akuwa upande wa kushoto kumxhosha kibwana sometime anabadilishana possition na adama Coulibaly, anaenda tena kumnyanyasa Shadrack Boka 🔥 Cha ajabu huyu dogo ni mburundi tuh sijui Tanzania tulicherewa nini kusema huyu dogo ni MUHA wa Kigoma na akatupa faida Tanzania kwenye NT na vilabu 😂 Oya huyu dogo ni moto 🔥 #muslehelbarcaupdates 👽 #Alhilalomdurman #CAFChampionsLeague #TotalEnergiesCAFCL
    Love
    1
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·1Кб Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Kelvin John @Jumae добавлены фото
    2025-01-12 10:04:28 ·
    Kila la heri @SimbaSCTanzania kwenye mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho Afrika.

    @CAF_Online @CAFCLCC @ligikuu
    Kila la heri @SimbaSCTanzania kwenye mchezo wa leo wa Kombe la Shirikisho Afrika. @CAF_Online @CAFCLCC @ligikuu
    Like
    2
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·894 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Kelvin John @Jumae добавлены фото
    2025-01-12 10:02:08 ·
    Kila la heri @yangasc kwenye mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Afrika.

    @CAF_Online @CAFCLCC @ligikuu @tanfootball
    Kila la heri @yangasc kwenye mchezo wa leo wa Ligi ya Mabingwa Afrika. @CAF_Online @CAFCLCC @ligikuu @tanfootball
    Like
    2
    · 2 Комментарии ·0 Поделились ·780 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Kelvin John @Jumae добавлены фото
    2025-01-11 18:16:33 ·
    #CAFCL Kule Ivory Coast imepigwa ‘hattrick’ na kule Angola watu wamepia la jiooooooooooooooooni

    FT: Stade d’Abdjan 1-3 Al Ahly (Kore 26’ / Ashour 53’, 73’, 90’+5).

    FT: Sagrada Esperanca 0-1 Pyramids (Marwan Hamdi 90’+4)

    Inafuata FAR Rabat vs Raja Casablanca saa 4:00 usiku LIVE #AzamSports1HD

    #CAFChampionsLeague #CAFCL #CCL #LigiYaMabingwaAfrika #StadeDAbidjan #AlAhly #SagradaEsperanca #PyramidsFC
    #CAFCL Kule Ivory Coast imepigwa ‘hattrick’ na kule Angola watu wamepia la jiooooooooooooooooni FT: Stade d’Abdjan 1-3 Al Ahly (Kore 26’ / Ashour 53’, 73’, 90’+5). FT: Sagrada Esperanca 0-1 Pyramids (Marwan Hamdi 90’+4) Inafuata FAR Rabat vs Raja Casablanca saa 4:00 usiku LIVE #AzamSports1HD #CAFChampionsLeague #CAFCL #CCL #LigiYaMabingwaAfrika #StadeDAbidjan #AlAhly #SagradaEsperanca #PyramidsFC
    Like
    1
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·1Кб Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Kelvin John @Jumae добавлены фото
    2025-01-11 18:15:10 ·
    MSIMAMO | Kazi bado ipo Kundi C…

    Kesho; Orlando atakuwa mwenyeji wa Belouizadad….

    #CAFChampionsLeague #CAFCL #KombeLaShirikishoAfrika #CCL #Standing #GroupA #Msimamo #StandingCAFCL
    MSIMAMO | Kazi bado ipo Kundi C… Kesho; Orlando atakuwa mwenyeji wa Belouizadad…. #CAFChampionsLeague #CAFCL #KombeLaShirikishoAfrika #CCL #Standing #GroupA #Msimamo #StandingCAFCL
    Like
    1
    · 1 Комментарии ·0 Поделились ·950 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • David Davoo @Davoox добавлены фото
    2024-12-15 11:55:13 ·
    Maji na mafuta yameanza kujitenga kunako Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati vinara, Al Hilal Omdurman wakiendelea kugawa dozi bila kujali wapo nyumbani au ugenini kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji wao MC Alger ya Algeria katika dimba la Julai 5 1962.

    Vinara wa kundi Al Hilal wamefikisha pointi 9 baada ya kushinda mechi zote tatu huku MC Alger ikisalia nafasi ya pili pointi nne baada ya mechi tatu.

    TP Mazembe wanashika nafasi ya tatu baada ya kukusanya pointi mbili baada ya mechi tatu huku Wananchi, Young Africans Sc wakiendelea kuburuza mkia pointi moja baada ya mechi tatu.

    FT: MC Alger 0-1 Al Hilal
    76' Fofana

    MATOKEO MENGINE #CAFCL
    FT: Esperance 2-0 Pyramids
    TP Mazembe 1-1 Yanga Sc
    Maniema Union 1-1 ASFAR
    🇨🇮 Stade d'Abidjan 1-1 Orlando Pirates

    #socialpop
    Maji na mafuta yameanza kujitenga kunako Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati vinara, Al Hilal Omdurman wakiendelea kugawa dozi bila kujali wapo nyumbani au ugenini kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji wao MC Alger ya Algeria katika dimba la Julai 5 1962. Vinara wa kundi Al Hilal wamefikisha pointi 9 baada ya kushinda mechi zote tatu huku MC Alger ikisalia nafasi ya pili pointi nne baada ya mechi tatu. TP Mazembe wanashika nafasi ya tatu baada ya kukusanya pointi mbili baada ya mechi tatu huku Wananchi, Young Africans Sc wakiendelea kuburuza mkia pointi moja baada ya mechi tatu. FT: MC Alger 🇩🇿 0-1 🇸🇩 Al Hilal ⚽ 76' Fofana MATOKEO MENGINE #CAFCL FT: Esperance 🇹🇳 2-0 🇪🇬 Pyramids TP Mazembe 🇨🇩 1-1 🇹🇿 Yanga Sc Maniema Union 🇨🇩 1-1 🇲🇦 ASFAR 🇨🇮 Stade d'Abidjan 1-1 🇿🇦 Orlando Pirates #socialpop
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·760 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Mr_ Twelve12 @Mr_twelve2024 добавлены фото
    2024-12-09 03:58:03 ·
    #Yangasc
    #Simbasc
    #TFF#NBCPL
    #CAFCL
    #Yangasc #Simbasc #TFF#NBCPL #CAFCL
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·1Кб Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Mr_ Twelve12 @Mr_twelve2024 добавлено видео in Общий
    2024-12-08 04:33:11 ·
    Wameshenyetwa kweli CAFCL
    #Yangasc
    Wameshenyetwa kweli CAFCL #Yangasc
    Love
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·618 Просмотры ·15
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Mr_ Twelve12 @Mr_twelve2024 добавлены фото
    2024-12-07 21:49:11 ·
    Mchango wa mkunde yanga sc nimkubwa sana katika ligi na klabu bingwa pia japo mnajisahau tu , kwani mkunde siyo wakumlinganisha na Duke abuya huyu ni mchezaji mwenye uzoefu sana kuliko abuya.
    #KhalidAucho
    #JonasMkunde
    #DukeAbuya
    #TFF #CAFCL
    Mchango wa mkunde yanga sc nimkubwa sana katika ligi na klabu bingwa pia japo mnajisahau tu , kwani mkunde siyo wakumlinganisha na Duke abuya huyu ni mchezaji mwenye uzoefu sana kuliko abuya. #KhalidAucho #JonasMkunde #DukeAbuya #TFF #CAFCL
    Love
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·788 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Mr_ Twelve12 @Mr_twelve2024 добавлены фото
    2024-11-25 17:12:05 ·
    YANGA SC VS AL HILAL CAFCL kesho trh 25/11/2024 saa 16:00 jioni Katika uwanja wa BENJAMIN MKAPA STADIUM
    YANGA SC VS AL HILAL CAFCL kesho trh 25/11/2024 saa 16:00 jioni Katika uwanja wa BENJAMIN MKAPA STADIUM
    Like
    2
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·275 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Mr_ Twelve12 @Mr_twelve2024 добавлены фото
    2024-11-21 17:33:46 ·
    UZI MPYA WA YANGA SC CAFCL 2024/25
    UZI MPYA WA YANGA SC CAFCL 2024/25
    0 Комментарии ·0 Поделились ·279 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Mr_ Twelve12 @Mr_twelve2024 добавлены фото
    2024-11-21 17:33:11 ·
    UZI MPYA WA YANGA CAFCL 2024/25
    UZI MPYA WA YANGA CAFCL 2024/25
    0 Комментарии ·0 Поделились ·281 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Mr_ Twelve12 @Mr_twelve2024 добавлены фото
    2024-11-21 17:32:22 ·
    UZI MPYA WA YANGA SC CAFCL 2024/25
    UZI MPYA WA YANGA SC CAFCL 2024/25
    0 Комментарии ·0 Поделились ·278 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Mr_ Twelve12 @Mr_twelve2024 добавлены фото
    2024-11-17 19:48:24 ·
    Klabu ya yanga ya thibitisha uzinduzi wa jezi mpya itakayotumika CAFCL kupitia kwa msemaji wa klabu hiyo Ally kamwe uzinduzi huo utafanyija November 20/2024
    Klabu ya yanga ya thibitisha uzinduzi wa jezi mpya itakayotumika CAFCL kupitia kwa msemaji wa klabu hiyo Ally kamwe uzinduzi huo utafanyija November 20/2024
    0 Комментарии ·0 Поделились ·288 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • Aidid Ndundu @Ndundu35d
    2024-08-14 19:45:40 ·
    For the clubs that will play in the second preliminary round of the 2024/25 CAF Champions League and Confederation Cup, they have August 31 to submit their squad list to CAF.

    This is the likes of Al Ahly, Mamelodi Sundowns, TP Mazembe, ES Tunis, Petro Luanda, Simba SC, ASEC Mimosas, RS Berkane etc..

    #TotalEnergiesCAFCL
    #TotalEnergiesCAFCC
    For the clubs that will play in the second preliminary round of the 2024/25 CAF Champions League and Confederation Cup, they have August 31 to submit their squad list to CAF. 🚨🌍 This is the likes of Al Ahly, Mamelodi Sundowns, TP Mazembe, ES Tunis, Petro Luanda, Simba SC, ASEC Mimosas, RS Berkane etc.. #TotalEnergiesCAFCL #TotalEnergiesCAFCC
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·1Кб Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
  • David Atto @Mefa
    2024-07-11 10:51:32 ·
    Leo Julai 11, Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) litaendesha Droo ya hatua za awali za msimu wa 2024/25 katika makao yake makuu huko Cairo, Misri.

    Ni timu 5 tu ambazo hazitakuwepo kwenye hatua ya awali kwenye Ligi ya mabingwa (CAFCL) ambazo ni:
    Al Ahly
    ES Tunis
    Mamelodi Sundowns
    Petro de Luanda
    TP Mazembe
    Timu zingine zitaanzia hatua ya awali

    Kwa Upande Wa Kombe la Shirikisho (CAFCC) timu 12 hazitaanzia hatua ya awali ambazo ni :

    Simba Sc
    RS Berkane
    Zamalek
    Asec Mimosas
    Enyimba
    Stade Malien
    USM Alger
    El Masry
    CS Sfaxien
    AS Vita
    Sekhukhune Utd
    FC Lupopo

    *Weka Emoji Ya Timu Ambayo Unaipa Sapoti Yako Kwenye Michuano Hii Ya Kimataifa*
    Leo Julai 11, Shirikisho la mpira wa miguu Afrika (CAF) litaendesha Droo ya hatua za awali za msimu wa 2024/25 katika makao yake makuu huko Cairo, Misri. Ni timu 5 tu ambazo hazitakuwepo kwenye hatua ya awali kwenye Ligi ya mabingwa (CAFCL) ambazo ni: ⭐Al Ahly ⭐ES Tunis ⭐Mamelodi Sundowns ⭐Petro de Luanda ⭐TP Mazembe ➡️Timu zingine zitaanzia hatua ya awali 💥Kwa Upande Wa Kombe la Shirikisho (CAFCC) timu 12 hazitaanzia hatua ya awali ambazo ni : ⭐Simba Sc ⭐RS Berkane ⭐Zamalek ⭐Asec Mimosas ⭐Enyimba ⭐Stade Malien ⭐USM Alger ⭐El Masry ⭐CS Sfaxien ⭐AS Vita ⭐Sekhukhune Utd ⭐FC Lupopo *Weka Emoji Ya Timu Ambayo Unaipa Sapoti Yako Kwenye Michuano Hii Ya Kimataifa* ⤵️
    Like
    1
    · 0 Комментарии ·0 Поделились ·730 Просмотры
    Войдите, чтобы отмечать, делиться и комментировать!
Обновить до Про
Выберите подходящий план
Обновить
© 2025 Socialpop
Russian
English Arabic French Spanish Portuguese Deutsch Turkish Dutch Italiano Russian Romaian Portuguese (Brazil) Greek
О нас Условия использования Конфиденциальность Свяжитесь с нами Каталог Разработчики