
-
-
-
TBT ya Haji Manara
"September 2007 nikiwa kijana Mdogo na nikiwa kiongozi wa Chama changu na hapo ni fresh from School kule Beijing China.
Kipindi hicho nna madini ya hatari kuhusu taaluma ya Propaganda na Uenezi,enzi ambazo nilikuwa naweza kukuaminisha Jiwe ni Keki
Enzi ambazo nilikuwa naweza kuwavusha hata kuku barabarani kwa maneno tu,
Ni zile zile zama nilizowaaminisha Barcelona haichomoki kwa Mkapa, tena Barcelona kweli ya Xavi ,Iniesta na kina Messi.
Taaluma iliyonipa ujasiri wa kusema na kuamini tutafuzu kwa AFCON ya 2019 kule Misri,wakati huo tukiwa chini kwenye msimamo wa kundi letu, na Nchi nzima ikiwa imejikatia tamaa ya kwenda Cairo.
Bila kusahau one day kule Paris France niliposahau Passport hotelini na siku hiyo tulisimamishwa na Manjagu njiani nikiwa na wenzangu ambao walikuwa Kamil Gado,
Nikazuga kama naitoa kwenye mfuko wa koti, Askari wakaniamini kabla ya kuwaonyesha ,wakaturuhusu kilaini kabisa,inaitwa Blue Propaganda
Yes: Pembeni yangu katika hiyo picha ni Marehemu Captain Barongo aliyekuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es salaam,
Na hii ilikuwa sherehe ya harusi ya DC wa Temeke hivi sasa Mh Sixtus Mapunda ambae wakati huo alikuwa Katibu wa Umoja wa Vijana ( UV CCM ) Mkoa huu.
Hadi leo tumebaki marafiki wakubwa na hakosi mwaliko wowote kwangu
Nb: Usicheke ukubwa wa koti,miaka ile ilikuwa ndio fashion na wenyewe tuliyaita Majumba "
TBT ya Haji Manara "September 2007 nikiwa kijana Mdogo na nikiwa kiongozi wa Chama changu na hapo ni fresh from School kule Beijing China. Kipindi hicho nna madini ya hatari kuhusu taaluma ya Propaganda na Uenezi,enzi ambazo nilikuwa naweza kukuaminisha Jiwe ni Keki 馃榾馃榾馃榾 Enzi ambazo nilikuwa naweza kuwavusha hata kuku barabarani kwa maneno tu馃榾馃榾馃榾, Ni zile zile zama nilizowaaminisha Barcelona haichomoki kwa Mkapa, tena Barcelona kweli ya Xavi ,Iniesta na kina Messi. Taaluma iliyonipa ujasiri wa kusema na kuamini tutafuzu kwa AFCON ya 2019 kule Misri,wakati huo tukiwa chini kwenye msimamo wa kundi letu, na Nchi nzima ikiwa imejikatia tamaa ya kwenda Cairo. Bila kusahau one day kule Paris France niliposahau Passport hotelini na siku hiyo tulisimamishwa na Manjagu njiani nikiwa na wenzangu ambao walikuwa Kamil Gado, Nikazuga kama naitoa kwenye mfuko wa koti, Askari wakaniamini kabla ya kuwaonyesha ,wakaturuhusu kilaini kabisa,inaitwa Blue Propaganda 馃榾馃榾馃榾 Yes: Pembeni yangu katika hiyo picha ni Marehemu Captain Barongo aliyekuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es salaam, Na hii ilikuwa sherehe ya harusi ya DC wa Temeke hivi sasa Mh Sixtus Mapunda ambae wakati huo alikuwa Katibu wa Umoja wa Vijana ( UV CCM ) Mkoa huu. Hadi leo tumebaki marafiki wakubwa na hakosi mwaliko wowote kwangu 馃檹馃檹 Nb: Usicheke ukubwa wa koti,miaka ile ilikuwa ndio fashion na wenyewe tuliyaita Majumba 馃榾馃榾馃榾"0 Comments 路0 Shares 路155 Views -
Mfalme wa Nchi ya Jordan , Abdullah II amekataa pendekezo la Rais wa Marekani Donald Trump la kutaka kuwahamishia Wapalestina Nchini mwake baada ya mazungumzo na Rais Donald Trump wa Marekani, ambaye alishauri Wakazi wa Gaza wapatao milioni mbili (2) kuondolewa kutoka katika eneo lililoharibiwa na vita.
Katika mkutano na Rais Trump, Mfalme Abdullah alijitolea kuchukua hadi Watoto 2,000 kutoka Gaza, hasa wale wanaohitaji matibabu ya dharura, ikiwemo Watoto wa saratani. Kupitia mtandao wa X, Mfalme Abdullah alisema, "Msimamo wa Jordan ni msimamo wa pamoja wa mataifa ya Kiarabu."
Sanjari na hayo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi za Kiarabu, Ahmed Aboul Gheit, alikosoa pendekezo hilo, akisema kuwa ni lisilokubalika katika ukanda huo, huku Nchi ya China ikisisitiza kuwa Gaza ni ardhi ya Wapalestina.
Mfalme wa Nchi ya Jordan 馃嚡馃嚧, Abdullah II amekataa pendekezo la Rais wa Marekani 馃嚭馃嚫 Donald Trump la kutaka kuwahamishia Wapalestina Nchini mwake baada ya mazungumzo na Rais Donald Trump wa Marekani, ambaye alishauri Wakazi wa Gaza wapatao milioni mbili (2) kuondolewa kutoka katika eneo lililoharibiwa na vita. Katika mkutano na Rais Trump, Mfalme Abdullah alijitolea kuchukua hadi Watoto 2,000 kutoka Gaza, hasa wale wanaohitaji matibabu ya dharura, ikiwemo Watoto wa saratani. Kupitia mtandao wa X, Mfalme Abdullah alisema, "Msimamo wa Jordan ni msimamo wa pamoja wa mataifa ya Kiarabu." Sanjari na hayo, Katibu Mkuu wa Umoja wa Nchi za Kiarabu, Ahmed Aboul Gheit, alikosoa pendekezo hilo, akisema kuwa ni lisilokubalika katika ukanda huo, huku Nchi ya China 馃嚚馃嚦 ikisisitiza kuwa Gaza ni ardhi ya Wapalestina. -
#SportsEliteMsimamo wa Ligi ya @championshiptz ya @nbc_tanzania
#SportsElite馃嚬馃嚳Msimamo wa Ligi ya @championshiptz ya @nbc_tanzania -
Rais wa Marekani , Donald Trump ameonya kuwa kama kundi la Hamas (Gaza) hawatawaachilia mateka wote wa Nchi ya Israel kufikia Jumamosi ya Wiki hii basi Dunia itashuhudia mashambulizi halisi katika eneo hilo. Onyo la Trump linakuja siku moja baada ya Kundi la Wapiganaji wa Hamas kuvunja makubaliano ya usitishwaji vita na Israel kwa kugoma kuendelea na zoezi la kuwaachia huru mateka wa Israel mpaka watakapotoa taarifa nyingine.
Uamuzi huo wa Hamas umekuja siku chache baada ya Viongozi wake Wakuu kufanya ziara Nchini Iran na kukutana na Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khemenei ambaye aliwapongeza kwa kuendelea kusimama imara dhidi ya Israel. Trump wiki iliyopita alionya kuwa Gaza haitofaa kuwa eneo la kuishi chini ya Uongozi wa Hamas na kupendekeza kwamba Marekani ingependa kulichukua eneo hilo na kulisimamia huku Wakazi wa eneo hilo wakihamishiwa Nchi za Misri na Jordan .
Rais huyo wa Marekani alisema Marekani ipo tayari kulinunua eneo hilo na kulimiliki na kuahidi kwamba Marekani italijenga na kulifanya kuwa eneo zuri la mfano Mashariki ya Kati. Kiufupi kundi la Hamas wanacheza na moto kwa sasa, Waziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz ameviagiza Vikosi vya Israel kukaa tayari kwa mashambulizi mapya iwapo Kundi hilo la Hamas likigoma kutii maelekezo ya kuachia mateka.
Marekani ndio imekuwa Nchi inayoipa misaada mikubwa ya kibinadamu na kiuchumi Gaza pamoja na kuizuia Israel kutokuifutilia mbali Gaza kwa miaka mingi sasa ambapo Hamas imekua ikifanya uchokozi. Ikumbukwe Trump ni kati ya Viongozi wa Marekani ambaye ana msimamo mkali mno dhidi ya kundi la Hamas na tokea kuanza kwa mapigano Oktoba 7 mwaka 2023 Trump alisema Israel inachopaswa kufanya ni kulifutilia mbali kundi hilo.
Rais wa Marekani 馃嚭馃嚫, Donald Trump ameonya kuwa kama kundi la Hamas (Gaza) hawatawaachilia mateka wote wa Nchi ya Israel 馃嚠馃嚤 kufikia Jumamosi ya Wiki hii basi Dunia itashuhudia mashambulizi halisi katika eneo hilo. Onyo la Trump linakuja siku moja baada ya Kundi la Wapiganaji wa Hamas kuvunja makubaliano ya usitishwaji vita na Israel kwa kugoma kuendelea na zoezi la kuwaachia huru mateka wa Israel mpaka watakapotoa taarifa nyingine. Uamuzi huo wa Hamas umekuja siku chache baada ya Viongozi wake Wakuu kufanya ziara Nchini Iran 馃嚠馃嚪 na kukutana na Kiongozi Mkuu wa Iran, Ayatollah Ali Khemenei ambaye aliwapongeza kwa kuendelea kusimama imara dhidi ya Israel. Trump wiki iliyopita alionya kuwa Gaza haitofaa kuwa eneo la kuishi chini ya Uongozi wa Hamas na kupendekeza kwamba Marekani ingependa kulichukua eneo hilo na kulisimamia huku Wakazi wa eneo hilo wakihamishiwa Nchi za Misri 馃嚜馃嚞 na Jordan 馃嚡馃嚧. Rais huyo wa Marekani alisema Marekani ipo tayari kulinunua eneo hilo na kulimiliki na kuahidi kwamba Marekani italijenga na kulifanya kuwa eneo zuri la mfano Mashariki ya Kati. Kiufupi kundi la Hamas wanacheza na moto kwa sasa, Waziri wa ulinzi wa Israel, Israel Katz ameviagiza Vikosi vya Israel kukaa tayari kwa mashambulizi mapya iwapo Kundi hilo la Hamas likigoma kutii maelekezo ya kuachia mateka. Marekani ndio imekuwa Nchi inayoipa misaada mikubwa ya kibinadamu na kiuchumi Gaza pamoja na kuizuia Israel kutokuifutilia mbali Gaza kwa miaka mingi sasa ambapo Hamas imekua ikifanya uchokozi. Ikumbukwe Trump ni kati ya Viongozi wa Marekani ambaye ana msimamo mkali mno dhidi ya kundi la Hamas na tokea kuanza kwa mapigano Oktoba 7 mwaka 2023 Trump alisema Israel inachopaswa kufanya ni kulifutilia mbali kundi hilo. -
Kwa mujibu wa Tovuti ya The Guardian, Wananajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda (RDF) wameripotiwa kuuawa katika operesheni za siri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo . Kuuawa kwa Wanajeshi hao katika operesheni hiyo kunapingana na msimamo wa Serikali ya Rwanda inayodai Askari wake hawahusiki wala kushiriki katika mzozo unaoendelea kati ya kundi la M23 na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo .
Taarifa hiyo iliyochapishwa na tovuti ya The Guardian imedai kuwa vyanzo mbalimbali vya kijasusi, kijeshi na kidiplomasia vinasema idadi ya Wanajeshi wa RDF waliouawa ni kubwa, huku wakidai walikuwa wakisaidia mashambulizi yanayofanywa na Waasi wa M23 ndani ya DR Congo.
Picha za Setilaiti zilizopigwa katika makaburi ya kijeshi yaliyoko Jijini Kigali, Nchini Rwanda, zimethibitisha kuonekana kwa makaburi mapya yasiyopungua 600 yaliyopatikana tangu Waasi wa M23, wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, walipoanza operesheni zao ndani ya DR Congo miaka mitatu iliyopita.
Kwa mujibu wa Tovuti ya The Guardian, Wananajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda 馃嚪馃嚰 (RDF) wameripotiwa kuuawa katika operesheni za siri Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 馃嚚馃嚛. Kuuawa kwa Wanajeshi hao katika operesheni hiyo kunapingana na msimamo wa Serikali ya Rwanda inayodai Askari wake hawahusiki wala kushiriki katika mzozo unaoendelea kati ya kundi la M23 na Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 馃嚚馃嚛. Taarifa hiyo iliyochapishwa na tovuti ya The Guardian imedai kuwa vyanzo mbalimbali vya kijasusi, kijeshi na kidiplomasia vinasema idadi ya Wanajeshi wa RDF waliouawa ni kubwa, huku wakidai walikuwa wakisaidia mashambulizi yanayofanywa na Waasi wa M23 ndani ya DR Congo. Picha za Setilaiti zilizopigwa katika makaburi ya kijeshi yaliyoko Jijini Kigali, Nchini Rwanda, zimethibitisha kuonekana kwa makaburi mapya yasiyopungua 600 yaliyopatikana tangu Waasi wa M23, wanaodaiwa kuungwa mkono na Rwanda, walipoanza operesheni zao ndani ya DR Congo miaka mitatu iliyopita.0 Comments 路0 Shares 路185 Views -
#PART3
Hivyo, wale waliokuwa hawana ushahidi wa moja kwa moja wakaanza kuhamishwa.
Lakini wale waliokuwa na rekodi ya ugaidi wa kiwango cha juu, wakabaki.
Kwa Trump, Guantanamo lilikuwa muhimu.
Lilikuwa sehemu ya kuhakikisha magaidi hawana sehemu ya kujificha.
Hapa hakuna kesi.
Hakuna mawakili.
Hakuna upendeleo.
Ukiingia, unasahau kama kuna dunia nje.
Mateso yanayotokea ndani ya gereza hili ni siri kubwa ya Marekani.
Lakini waliowahi kutoka, au maafisa wa zamani wa CIA na FBI, wamesema kwamba mateso ya Guantanamo yanaweza kumfanya mtu mwenye msimamo mkali wa kidini aseme Yesu alikuwa Muislam na Muhammad alikuwa Myahudi.
#PART3 Hivyo, wale waliokuwa hawana ushahidi wa moja kwa moja wakaanza kuhamishwa. Lakini wale waliokuwa na rekodi ya ugaidi wa kiwango cha juu, wakabaki. Kwa Trump, Guantanamo lilikuwa muhimu. Lilikuwa sehemu ya kuhakikisha magaidi hawana sehemu ya kujificha. Hapa hakuna kesi. Hakuna mawakili. Hakuna upendeleo. Ukiingia, unasahau kama kuna dunia nje. Mateso yanayotokea ndani ya gereza hili ni siri kubwa ya Marekani. Lakini waliowahi kutoka, au maafisa wa zamani wa CIA na FBI, wamesema kwamba mateso ya Guantanamo yanaweza kumfanya mtu mwenye msimamo mkali wa kidini aseme Yesu alikuwa Muislam na Muhammad alikuwa Myahudi.0 Comments 路0 Shares 路262 Views -
Rais wa Marekani , Donald Trump, ameshitua Watu Duniani baada ya kutangaza nia yake ya kuchukua udhibiti wa Ukanda wa Gaza ulioharibiwa na vita na kuufanyia maendeleo ya kiuchumi baada ya Wapalestina kuhamishiwa maeneo mengine. Hatua hiyo inaweza kubadili sera za Marekani za miongo kadhaa kuhusu mgogoro wa Israel na Palestina.
Katika mkutano wa pamoja na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, Rais huyo alitangaza mpango huu bila kutoa maelezo ya kina.
Kabla ya tangazo hilo, Trump alipendekeza kuwa zaidi ya Wapalestina milioni mbili (2) wa Gaza wahamishiwe Nchi jirani. Alikitaja kisiwa hicho kidogo, ambacho kwa sasa kina makubaliano dhaifu ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas, kuwa “eneo la kubomolewa.”
Pendekezo hili linakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Washirika na Wapinzani wa Marekani. Pia linaibua maswali kuhusu ikiwa Saudi Arabia itashiriki katika juhudi mpya za Marekani za kuleta uhusiano wa kawaida kati ya Israel na mataifa ya Kiarabu.
- Hatua ya Marekani kuchukua ushawishi wa moja kwa moja Gaza itapingana na msimamo wa muda mrefu wa Washington na Jumuiya ya kimataifa, ambao unaona Gaza kama sehemu ya Taifa la baadaye la Palestina pamoja na Ukingo wa Magharibi.
"Marekani itachukua Ukanda wa Gaza, na tutafanya nao kazi nzuri sana. Tutakuwa na umiliki wake na kuhakikisha tunasafisha mabomu na silaha zote hatari zilizobaki."
"Tutaendeleza Gaza, kuunda maelfu ya ajira, na kuifanya iwe sehemu ambayo Mashariki ya Kati yote itajivunia. Ninaona umiliki wa muda mrefu na ninaamini italeta utulivu mkubwa katika eneo hilo." amesema Donald Trump.
“nyumbani kwa watu wa dunia.” Aliielezea Gaza kama eneo lenye uwezo wa kuwa “Riviera ya Mashariki ya Kati.” - Donald Trump baada ya kuulizwa nani ataishi Gaza baada ya kuitengeneza
Trump hakujibu moja kwa moja kuhusu mamlaka au mchakato wa kuchukua eneo hilo la Gaza baada ya kuulizwa Marekani ina mamlaka gani ya kuichukua Gaza, ambalo lina urefu wa maili 25 (km 45) na upana wa hadi maili 6 (km 10) na historia ya vurugu. Serikali za awali za Marekani, ikiwemo ile ya Trump katika muhula wake wa kwanza, ziliepuka kutuma Wanajeshi Gaza.
Rais wa Marekani 馃嚭馃嚫, Donald Trump, ameshitua Watu Duniani baada ya kutangaza nia yake ya kuchukua udhibiti wa Ukanda wa Gaza ulioharibiwa na vita na kuufanyia maendeleo ya kiuchumi baada ya Wapalestina kuhamishiwa maeneo mengine. Hatua hiyo inaweza kubadili sera za Marekani za miongo kadhaa kuhusu mgogoro wa Israel na Palestina. Katika mkutano wa pamoja na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, Rais huyo alitangaza mpango huu bila kutoa maelezo ya kina. Kabla ya tangazo hilo, Trump alipendekeza kuwa zaidi ya Wapalestina milioni mbili (2) wa Gaza wahamishiwe Nchi jirani. Alikitaja kisiwa hicho kidogo, ambacho kwa sasa kina makubaliano dhaifu ya kusitisha mapigano kati ya Israel na Hamas, kuwa “eneo la kubomolewa.” Pendekezo hili linakabiliwa na upinzani mkali kutoka kwa Washirika na Wapinzani wa Marekani. Pia linaibua maswali kuhusu ikiwa Saudi Arabia itashiriki katika juhudi mpya za Marekani za kuleta uhusiano wa kawaida kati ya Israel na mataifa ya Kiarabu. - Hatua ya Marekani kuchukua ushawishi wa moja kwa moja Gaza itapingana na msimamo wa muda mrefu wa Washington na Jumuiya ya kimataifa, ambao unaona Gaza kama sehemu ya Taifa la baadaye la Palestina pamoja na Ukingo wa Magharibi. "Marekani itachukua Ukanda wa Gaza, na tutafanya nao kazi nzuri sana. Tutakuwa na umiliki wake na kuhakikisha tunasafisha mabomu na silaha zote hatari zilizobaki." "Tutaendeleza Gaza, kuunda maelfu ya ajira, na kuifanya iwe sehemu ambayo Mashariki ya Kati yote itajivunia. Ninaona umiliki wa muda mrefu na ninaamini italeta utulivu mkubwa katika eneo hilo." amesema Donald Trump. “nyumbani kwa watu wa dunia.” Aliielezea Gaza kama eneo lenye uwezo wa kuwa “Riviera ya Mashariki ya Kati.” - Donald Trump baada ya kuulizwa nani ataishi Gaza baada ya kuitengeneza Trump hakujibu moja kwa moja kuhusu mamlaka au mchakato wa kuchukua eneo hilo la Gaza baada ya kuulizwa Marekani ina mamlaka gani ya kuichukua Gaza, ambalo lina urefu wa maili 25 (km 45) na upana wa hadi maili 6 (km 10) na historia ya vurugu. Serikali za awali za Marekani, ikiwemo ile ya Trump katika muhula wake wa kwanza, ziliepuka kutuma Wanajeshi Gaza. -
Rais wa Marekani , Donald Trump ameendelea na msimamo wake na kuweka mkazo kuhusu kuifanya Nchi ya Canada kuwa jimbo la (51) la Nchi ya Marekani. Kupitia ukurasa wake wa mtandao X, Rais huyo amesema kuwa Nchi yake ya Marekani inatumia mabilioni ya fedha na punguzo za ushuru kuihudumia Canada hivyo hakuna haja Nchi hiyo kuendelea kuifaidi Marekani wakati ingeweza kuwa sehemu ya Marekani na kupata unafuu bila kuinyonya Nchi ya Marekani.
Donald Trump amesema iwapo Nchi ya Canada itakataa mpango huo basi tozo na ushuru wa bidhaa kwa Taifa hilo utapanda mara dufu na kulingana mataifa mengine. Trump amesema iwapo Canada ikijiunga na Marekani hakutakuwa na tozo wala mazuio ya maelfu ya Raia wa Canada wanaoingia Marekani kufanya kazi.
Ikumbukwe kwamba Nchi za Canada na Mexico ni kati ya mataifa yenye Raia wengi wanaofanya kazi za kujiingizia kipato Nchini Marekani ambao hawana vibali halali vya kazi na uhamiaji (Wahamiaji haramu). Tayari Donald Trump ameshaongea na Viongozi wakuu wa mataifa hayo na kuwapa muda wa siku thelathini (30) kuchukua hatua kwa mapendekezo yake ama utozaji wa tozo na ushuru wa asilimia (25) kwa bidhaa zao uanze mara moja.
Viongozi wa Nchi hizo wamekiri kupokea maelekezo ya Trump na kuahidi kuchukua hatua ikiwemo kuzuia mipaka yao kuwa njia za Wahamiaji haramu. Waziri Mkuu wa Canada, Justin Tradeau amesema Canada kuwa sehemu ya Marekani haitawezekana licha ya kwamba huenda wakakutana rungu la kiuchumi kisha Wananchi wakaamua wenyewe kupitia uchunguzi (kura).
Rais wa Marekani 馃嚭馃嚫, Donald Trump ameendelea na msimamo wake na kuweka mkazo kuhusu kuifanya Nchi ya Canada 馃嚚馃嚘 kuwa jimbo la (51) la Nchi ya Marekani. Kupitia ukurasa wake wa mtandao X, Rais huyo amesema kuwa Nchi yake ya Marekani inatumia mabilioni ya fedha na punguzo za ushuru kuihudumia Canada hivyo hakuna haja Nchi hiyo kuendelea kuifaidi Marekani wakati ingeweza kuwa sehemu ya Marekani na kupata unafuu bila kuinyonya Nchi ya Marekani. Donald Trump amesema iwapo Nchi ya Canada itakataa mpango huo basi tozo na ushuru wa bidhaa kwa Taifa hilo utapanda mara dufu na kulingana mataifa mengine. Trump amesema iwapo Canada ikijiunga na Marekani hakutakuwa na tozo wala mazuio ya maelfu ya Raia wa Canada wanaoingia Marekani kufanya kazi. Ikumbukwe kwamba Nchi za Canada na Mexico 馃嚥馃嚱 ni kati ya mataifa yenye Raia wengi wanaofanya kazi za kujiingizia kipato Nchini Marekani ambao hawana vibali halali vya kazi na uhamiaji (Wahamiaji haramu). Tayari Donald Trump ameshaongea na Viongozi wakuu wa mataifa hayo na kuwapa muda wa siku thelathini (30) kuchukua hatua kwa mapendekezo yake ama utozaji wa tozo na ushuru wa asilimia (25) kwa bidhaa zao uanze mara moja. Viongozi wa Nchi hizo wamekiri kupokea maelekezo ya Trump na kuahidi kuchukua hatua ikiwemo kuzuia mipaka yao kuwa njia za Wahamiaji haramu. Waziri Mkuu wa Canada, Justin Tradeau amesema Canada kuwa sehemu ya Marekani haitawezekana licha ya kwamba huenda wakakutana rungu la kiuchumi kisha Wananchi wakaamua wenyewe kupitia uchunguzi (kura). -
#PART3
Baadhi ya wanajeshi wa Kitutsi hawakuridhika na ukandamizaji uliofanywa na Habyarimana. Wakajiorganize kupambana. Wakati huo Kagame akiwa askari wa NRA ya Uganda akimsaidia Museveni vita vya msituni. Mwaka 1983 hadi 1985 alienda kozi ya kijeshi TMA, Moduli. Alipohitimu akarudi Uganda kumsaidia Museveni vita vya msituni na hatimaye mwaka 1986 wakafanikiwa kuchukua nchi. NRA ikawa sehemu ya jeshi la Uganda kabla ya kubadilishwa muundo mwaka 1995 kuwa UPDF.
Kagame akawa mkuu wa intelijensia ya jeshi. Baadae akaenda masomoni Marekani. Akiwa huko RPF ikaanzishwa na Jenerali Fredy Rwigyema kupambana na Serikali ya Habyarimana. Lakini Jenerali Rwigyema akauawa kwa guruneti akiwa uwanja wa vita. Kagame akalazimika kukatisha masomo na kurudi Rwanda kuongoza RPF akishirikiana na Alexis Kanyarwenge. Museveni akampa msaada wa fedha, silaha na chakula. RPF ikaweka kambi Uganda eneo la Kabale, Burundi eneo la Muyinga na Congo maeneo ya Kivu, Uvira na Goma.
Mwaka 1994, askari wa RPF wakatungua ndege ya Rais Habyarimana ikiwa inakaribia kutua uwanja wa ndege wa Kigali ikitokea Dar es Salaam kwenye mazungumzo ya Amani alikuwa na Rais Cyprien Ntaramira wa Burundi. Wote wawili walikufa papo hapo.
Kuuawa kwa Rais Habyarimana kuliamsha hasira za Wahutu na kusabisha mauaji ya Kimbari ambapo Watutsi na Wahutu wenye msimamo wa wastani waliuawa kikatili kwa kucharangwa mapanga. Hali hiyo ilisababisha Watutsi wengi kukimbia nchi yao. Wapo waliokimbilia Tanzania, Uganda, lakini wengi zaidi walikimbilia eneo la Kivu.
Kwa kifupi, idadi ya Watutsi eneo la Kivu iliongezeka siku hadi siku. Watutsi walioenda Kivu wengi hawakurudi Rwanda hata baada ya vita kumalizika. Ilikuwa vigumu kutofautisha Mtutsi mwenye asili ya Congo (Banyamulenge) na Mtutsi wa Rwanda, kwa sababu wote wanaongea lugha moja, mila na desturi moja.
Kwahiyo hisia za Wakongomani kwamba Banyamulenge ni wageni zikaanza kupata nguvu kutokana na uhamiaji mkubwa wa Watutsi maeneo ya Kivu kaskazini na kusini. Wakati huo Congo ikiitwa Zaire Rais Mobutu Sese Seko alikataa kuwatambua Banyamulenge kama raia wake, na akazuia wasipewe vitambulisho vya taifa.
(Malisa GJ)
#PART3 Baadhi ya wanajeshi wa Kitutsi hawakuridhika na ukandamizaji uliofanywa na Habyarimana. Wakajiorganize kupambana. Wakati huo Kagame akiwa askari wa NRA ya Uganda akimsaidia Museveni vita vya msituni. Mwaka 1983 hadi 1985 alienda kozi ya kijeshi TMA, Moduli. Alipohitimu akarudi Uganda kumsaidia Museveni vita vya msituni na hatimaye mwaka 1986 wakafanikiwa kuchukua nchi. NRA ikawa sehemu ya jeshi la Uganda kabla ya kubadilishwa muundo mwaka 1995 kuwa UPDF. Kagame akawa mkuu wa intelijensia ya jeshi. Baadae akaenda masomoni Marekani. Akiwa huko RPF ikaanzishwa na Jenerali Fredy Rwigyema kupambana na Serikali ya Habyarimana. Lakini Jenerali Rwigyema akauawa kwa guruneti akiwa uwanja wa vita. Kagame akalazimika kukatisha masomo na kurudi Rwanda kuongoza RPF akishirikiana na Alexis Kanyarwenge. Museveni akampa msaada wa fedha, silaha na chakula. RPF ikaweka kambi Uganda eneo la Kabale, Burundi eneo la Muyinga na Congo maeneo ya Kivu, Uvira na Goma. Mwaka 1994, askari wa RPF wakatungua ndege ya Rais Habyarimana ikiwa inakaribia kutua uwanja wa ndege wa Kigali ikitokea Dar es Salaam kwenye mazungumzo ya Amani alikuwa na Rais Cyprien Ntaramira wa Burundi. Wote wawili walikufa papo hapo. Kuuawa kwa Rais Habyarimana kuliamsha hasira za Wahutu na kusabisha mauaji ya Kimbari ambapo Watutsi na Wahutu wenye msimamo wa wastani waliuawa kikatili kwa kucharangwa mapanga. Hali hiyo ilisababisha Watutsi wengi kukimbia nchi yao. Wapo waliokimbilia Tanzania, Uganda, lakini wengi zaidi walikimbilia eneo la Kivu. Kwa kifupi, idadi ya Watutsi eneo la Kivu iliongezeka siku hadi siku. Watutsi walioenda Kivu wengi hawakurudi Rwanda hata baada ya vita kumalizika. Ilikuwa vigumu kutofautisha Mtutsi mwenye asili ya Congo (Banyamulenge) na Mtutsi wa Rwanda, kwa sababu wote wanaongea lugha moja, mila na desturi moja. Kwahiyo hisia za Wakongomani kwamba Banyamulenge ni wageni zikaanza kupata nguvu kutokana na uhamiaji mkubwa wa Watutsi maeneo ya Kivu kaskazini na kusini. Wakati huo Congo ikiitwa Zaire Rais Mobutu Sese Seko alikataa kuwatambua Banyamulenge kama raia wake, na akazuia wasipewe vitambulisho vya taifa. (Malisa GJ) -
馃搱 Kwa waliosahau msimamo wa Ligi Kuu ya NBC na Ligi Kuu ya Wanawake. Hali ipo hivi 馃槑 #paulswai
-
Katika hotuba yake kwa Taifa lake la Congo kwa njia ya Televisheni, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo , Felex Tshekesedi ameweka msimamo kuwa hakuna mazungumzo na Waasi wa M23 na badala yake akasema "majibu makali yaliyoratibiwa" dhidi ya kile alichokiita "Magaidi". Tshisekedi amehimiza Wacongo wote kuungana pamoja na kuunga mkono mapambano ya Jeshi kutwaa tena udhibiti wa Mji wa Goma pamoja na zenye fujo Mashariki mwa Congo.
" Kuweni na uhakika wa jambo moja: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo haitajiruhusu kufedheheshwa . Tutapigana na tutashinda," amekaririwa akisema Rais huyo.
Mchambuzi wa Siasa za Kimataifa Kutoka Nchini Tanzania, Zungu alikuwa na hayo ya kusema
"Huu mzozo unaenda kupanuka zaidi jeshi la Congo ni dhaifu ni wazi kuwa halina uwezo wa kutosha kupambana na M23 sasa basi watahitaji washirika ili kurejesha uthibiti na kuwafukuza M23 wanaoungwa mkono na Kagame nini kitatokea?
Kingine ni wazi kuwa mzozo huu umeushinda nguvu jumuiya ya AFRIKA MASHARIKI, si Kagame wala Tshisekedi wote ukiwasikiliza hawana imani na jumuiya hii, rejea kikao cha mwisho cha marais wa Afrika mashariki ambapo Congo iligoma kuhudhuria kisa Rwanda!!
Tuimboee Congo pande zote zinazopigana zimechagua mtutu na sio meza!!"
Katika hotuba yake kwa Taifa lake la Congo kwa njia ya Televisheni, Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo 馃嚚馃嚛, Felex Tshekesedi ameweka msimamo kuwa hakuna mazungumzo na Waasi wa M23 na badala yake akasema "majibu makali yaliyoratibiwa" dhidi ya kile alichokiita "Magaidi". Tshisekedi amehimiza Wacongo wote kuungana pamoja na kuunga mkono mapambano ya Jeshi kutwaa tena udhibiti wa Mji wa Goma pamoja na zenye fujo Mashariki mwa Congo. " Kuweni na uhakika wa jambo moja: Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo haitajiruhusu kufedheheshwa . Tutapigana na tutashinda," amekaririwa akisema Rais huyo. Mchambuzi wa Siasa za Kimataifa Kutoka Nchini Tanzania, Zungu alikuwa na hayo ya kusema "Huu mzozo unaenda kupanuka zaidi jeshi la Congo ni dhaifu ni wazi kuwa halina uwezo wa kutosha kupambana na M23 sasa basi watahitaji washirika ili kurejesha uthibiti na kuwafukuza M23 wanaoungwa mkono na Kagame nini kitatokea? Kingine ni wazi kuwa mzozo huu umeushinda nguvu jumuiya ya AFRIKA MASHARIKI, si Kagame wala Tshisekedi wote ukiwasikiliza hawana imani na jumuiya hii, rejea kikao cha mwisho cha marais wa Afrika mashariki ambapo Congo iligoma kuhudhuria kisa Rwanda!! Tuimboee Congo pande zote zinazopigana zimechagua mtutu na sio meza!!"0 Comments 路0 Shares 路420 Views -
Privaldinho amjia juu Juma Ayo (Mchambuzi) kisa chapisho lake pichani.
"Ni kijana mtanzania anayechukia kijana Mtanzania mwenzake akipewa credit. Halafu kutwa agapiga simu kwa Injinia kuhitaji msaada.
Tanzania tunajivunia kuwa na kiongozi mkubwa kwenye ngazi ya soka Kimataifa, lakini anatokea bumunda mmoja anataka kudogodesha jambo hili.
Hawa ndio waliomsifia sana yule Dada aliyekuwa Ukoloni enzi hizo. Leo anajaribu kubadilisha agenda kuwa ACA sio chombo huru.
Tazama huyu ni mwandishi ambaye hajui ACA inafanyaje kazi. Sasa kama ACA ni chombo kinachojumuisha viongozi wa vilabu ni kivipi CAF inaingilia utendaji wake?
Shida tasnia ya habari imeruhusu vichwa maji wengi kutoa maoni kwenye platform kubwa. Tunakosa kusikiliza watu wenye weledi tunasikiliza waropokaji.
Kuna muda unajiuliza hawa watu wanatumwa au wanatumika au hawana uelewa wa mambo unagundua inawezekana vyote kwa pamoja kwa sababu haiwezekan mtu mwenye akili akatumika kujidhalilisha.
Wakati tunataka kuweka uhuru wa vilabu kwenye maamuzi anakuja kapuku mmoja anakwambia ACA ni chombo cha CAF.? Muulize uchaguzi wa ACA umefanyikaje! Hajui
ACA sio chama kinachoongozwa na mtu, ni ushirika wa vilabu vyote ambavyo vimejisali. Mwenyekiti kazi yake kusimamia maamuzi ya msimamo wa Chama ikiwa ni pamoja na utekelezaji wake na kuwaongoza wenzake kulingana na maono yake.
#
Uanzishwaji wa ACA hauna tofauti na ECA. Je ECA s ndio hao hao ambao walikataa Superleague tena mwenyekiti wa ECA wakati ule Agnelli alikuwa muumini wa Superleague lakini aliheshimu maamuzi ya Chama.
Maana yake nini? ACA ni chombo huru kinachojitegemea. Kazi yake kuu kulinda maslahi ya vilabu na sio maslahi ya CAF. Jifunzeni kufanya tafiti.
Fanyeni kazi yenu kwa weledi. Acheni majungu na roho. Vijana wadogo mmejawa chuki na wivu usiokuwa na manufaa wala tija. Uchale chale unafanya mnataka kuiga watani na wasemaji kwenye utani wao mnauleta kwenye tasnia.
St*pid" - Privaldinho, Mkuu wa kitengo cha maudhui wa klabu ya Yanga SC.
Privaldinho amjia juu Juma Ayo (Mchambuzi) kisa chapisho lake pichani. "Ni kijana mtanzania anayechukia kijana Mtanzania mwenzake akipewa credit. Halafu kutwa agapiga simu kwa Injinia kuhitaji msaada. Tanzania tunajivunia kuwa na kiongozi mkubwa kwenye ngazi ya soka Kimataifa, lakini anatokea bumunda mmoja anataka kudogodesha jambo hili. Hawa ndio waliomsifia sana yule Dada aliyekuwa Ukoloni enzi hizo. Leo anajaribu kubadilisha agenda kuwa ACA sio chombo huru. Tazama huyu ni mwandishi ambaye hajui ACA inafanyaje kazi. Sasa kama ACA ni chombo kinachojumuisha viongozi wa vilabu ni kivipi CAF inaingilia utendaji wake? Shida tasnia ya habari imeruhusu vichwa maji wengi kutoa maoni kwenye platform kubwa. Tunakosa kusikiliza watu wenye weledi tunasikiliza waropokaji. Kuna muda unajiuliza hawa watu wanatumwa au wanatumika au hawana uelewa wa mambo unagundua inawezekana vyote kwa pamoja kwa sababu haiwezekan mtu mwenye akili akatumika kujidhalilisha. Wakati tunataka kuweka uhuru wa vilabu kwenye maamuzi anakuja kapuku mmoja anakwambia ACA ni chombo cha CAF.? Muulize uchaguzi wa ACA umefanyikaje! Hajui ACA sio chama kinachoongozwa na mtu, ni ushirika wa vilabu vyote ambavyo vimejisali. Mwenyekiti kazi yake kusimamia maamuzi ya msimamo wa Chama ikiwa ni pamoja na utekelezaji wake na kuwaongoza wenzake kulingana na maono yake. # Uanzishwaji wa ACA hauna tofauti na ECA. Je ECA s ndio hao hao ambao walikataa Superleague tena mwenyekiti wa ECA wakati ule Agnelli alikuwa muumini wa Superleague lakini aliheshimu maamuzi ya Chama. Maana yake nini? ACA ni chombo huru kinachojitegemea. Kazi yake kuu kulinda maslahi ya vilabu na sio maslahi ya CAF. Jifunzeni kufanya tafiti. Fanyeni kazi yenu kwa weledi. Acheni majungu na roho. Vijana wadogo mmejawa chuki na wivu usiokuwa na manufaa wala tija. Uchale chale unafanya mnataka kuiga watani na wasemaji kwenye utani wao mnauleta kwenye tasnia. St*pid" - Privaldinho, Mkuu wa kitengo cha maudhui wa klabu ya Yanga SC.0 Comments 路0 Shares 路680 Views -
-
-
SHERIA YA URAIA NA UHALALI WA WACHEZAJI WA SINGIDA BIG STARS & SIMBA KUPEWA URAIA WA TANZANIA
Ijumaa, Januari 24, 2025
1. Usuli
Jana, Januari 23, 2025, Idara ya Uhamiaji ilieleza kuwa wachezaji watatu (3) wa Singida Big Stars (EK Keyeke, JA Bada & MD Camara) wamepewa uraia tajnisi wa Tanzania kwa mujibu wa vifungu vya 9 & 23 vya Sheria ya Uraia Sura ya 357.
Kabla jogoo halijawika, klabu ya Simba nayo jana hiyohiyo ikaomba wachezaji wake 9 wa kigeni nao wapewe uraia wa Tanzania.
2. Wageni Kupewa Uraia kwasababu ya Mbungi Si Jambo Geni
Si jambo geni kwa wageni kupewa uraia kwasababu ya mbungi. Mfano mzuri ni nchi ya Tunisia.
Tunisia ilimpa uraia Mbrazil Jose Clayton mwaka 1998 na akaichezea Tunisia michuano ya FIFA (kombe la dunia nchini Ufaransa).
Tunisia pia ilimpa uraia raia wa Brazil, Franchine Silva dos Santos, mwaka 2000 na akaichezea Tunisia michuano ya FIFA.
Toka mwaka jana 2024, wananchi wa Tunisia wanashinikiza Mbrazil mwingine, Rodrigo Rodriguez, apewe uraia wa Tunisia. Mshambuliaji huyo wa Esperance de Tunis ni moto wa kuotea mbali.
Kwa mujibu wa sheria za Tunia, ili mgeni aweze kupewa uraia ni lazma awe amekaa Tunisia si chini ya miaka 5. Hata hivyo, Waziri ameruhusiwa kumpa mgeni uraia iwapo huyo mwombaji _"has provided great services to the country"_.
3. Wachezaji 3 wa Singida Black Stars
3.1 Emmanuel Kwame Keyeke
Huyu raia wa Ghana ni fundi. Ni fundi kwelikweli. Ndiye Mchezaji Bora wa Ligi ya ndani ya Ghana 2023/24.
Toka asajiliwe Julai 2024 na Singida Black Stars _amekiwasha_ kwelikweli. Ametwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi mara Nne !
3.2 Josephat Athur Bada
Singida Black Stars ilimsajili Julai 2024 kiungo huyu raia wa Ivory Coast baada ya kuizidi ujanja Ismailia ya Masri.
3.3 Mohammed Damaro Camara
Kiungo huyu alisajiliwa Julai 2024.
4. Kifungu cha 9 & 23
4.1 Kifungu cha 9 cha Sheria ya Uraia kinaeleza:
4.1.1 Kifungu cha 9(1) kinaeleza kuwa mgeni yeyote mwenye miaka 18 au zaidi aweza kuomba uraia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani na ataweza kupewa uraia tajnisi iwapo ametimiza masharti ya Jedwali la Pili.
4.2 Kifungu cha 23 kinaeleza kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani hatalazimika kutoa sababu yoyote baada ya kukubali au kukataa maombi ya uraia na uamuzi huo wa Waziri utakuwa wa mwisho na hautaweza kukatiwa rufaa wala kupingwa mahakamani.
4.3 Jedwali la Pili
Jedwali la Pili limeweka masharti kadhaa. Sharti moja linaeleza : _"The applicant must have an adequate knowledge of Kiswahili or the English language"_.
5. Maswali chechefu:
5.1 Je, wachezaji Josephat Athur Bada na Mohammed Damaro Camara ambao wanazungumza kifaransa tu wamewezaje kukidhi kigezo cha kuwa na _*"ADEQUATE* knowledge"_ ya Kiswahili au Kiingereza ndani ya miezi 6 tu ?
5.2 Je, Waziri wa Mambo ya Ndani anafahamu kuwa Kisheria ingawa Sheria inaeleza kuwa _"Uamuzi wa Waziri ni wa Mwisho"_, haimaanishi kuwa Waziri akisigina Sheria, uamuzi hauwezi kupingwa? Yapo maamuzi mengi ya Mahakama Kuu yaelezeayo msimamo huu kuntu wa sheria mf :
5.2.1 Tanzania Air Services Ltd Vs Minister for Labour (1996) TLR 217
_*"The decision that the Minister's decision is final and conclusive does not mean that the decision cannot be reviewed by the High court. Indeed no appeal against such decision but an aggrieved party may come to the High court and ask for prerogative orders"*_.
5.2.2 Ben Kahale Vs AG*, Misc. Civil cause 23/2019:
_*"Our understanding is that when the decision of the Minister is final, it doesn't oust jurisdiction of the court as final authority in dispensation of justice. We say so because the decision may still be subject to Judicial review"*_.
5.2 Je, kwanini Uomgozi wa Simba ndio uliowaombea wachezaji wake 9 uraia badala ya kila Mchezaji kuomba kama walivyofanya wale wachezaji 3 wa Singida Black Stars? Iweje timu kongwe kama Simba izidiwe uelewa na Singida Black Stars kuhusu mchakato huu ? Simba imekiri kwenye barua yao _"Tunaomba ofisi yako iridhie maombi yetu na kutupa utaratibu husika..."_
5.3 Je, iwapo tutakuwa tunamwaga tu uraia kwa kila Mchezaji mgeni, haitatuathiri mbeleni ? Ikumbukwe kuwa lengo kubwa la kusajili wageni ni kwavile hakuna wachezaji wa ndani wenye ubora wa kutosha. Je, kila Mchezaji mgeni ana ubora wa kutosha?SHERIA YA URAIA NA UHALALI WA WACHEZAJI WA SINGIDA BIG STARS & SIMBA KUPEWA URAIA WA TANZANIA Ijumaa, Januari 24, 2025 1. Usuli Jana, Januari 23, 2025, Idara ya Uhamiaji ilieleza kuwa wachezaji watatu (3) wa Singida Big Stars (EK Keyeke, JA Bada & MD Camara) wamepewa uraia tajnisi wa Tanzania kwa mujibu wa vifungu vya 9 & 23 vya Sheria ya Uraia Sura ya 357. Kabla jogoo halijawika, klabu ya Simba nayo jana hiyohiyo ikaomba wachezaji wake 9 wa kigeni nao wapewe uraia wa Tanzania. 2. Wageni Kupewa Uraia kwasababu ya Mbungi Si Jambo Geni Si jambo geni kwa wageni kupewa uraia kwasababu ya mbungi. Mfano mzuri ni nchi ya Tunisia. Tunisia ilimpa uraia Mbrazil Jose Clayton mwaka 1998 na akaichezea Tunisia michuano ya FIFA (kombe la dunia nchini Ufaransa). Tunisia pia ilimpa uraia raia wa Brazil, Franchine Silva dos Santos, mwaka 2000 na akaichezea Tunisia michuano ya FIFA. Toka mwaka jana 2024, wananchi wa Tunisia wanashinikiza Mbrazil mwingine, Rodrigo Rodriguez, apewe uraia wa Tunisia. Mshambuliaji huyo wa Esperance de Tunis ni moto wa kuotea mbali. Kwa mujibu wa sheria za Tunia, ili mgeni aweze kupewa uraia ni lazma awe amekaa Tunisia si chini ya miaka 5. Hata hivyo, Waziri ameruhusiwa kumpa mgeni uraia iwapo huyo mwombaji _"has provided great services to the country"_. 3. Wachezaji 3 wa Singida Black Stars 3.1 Emmanuel Kwame Keyeke Huyu raia wa Ghana ni fundi. Ni fundi kwelikweli. Ndiye Mchezaji Bora wa Ligi ya ndani ya Ghana 2023/24. Toka asajiliwe Julai 2024 na Singida Black Stars _amekiwasha_ kwelikweli. Ametwaa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mwezi mara Nne ! 3.2 Josephat Athur Bada Singida Black Stars ilimsajili Julai 2024 kiungo huyu raia wa Ivory Coast baada ya kuizidi ujanja Ismailia ya Masri. 3.3 Mohammed Damaro Camara Kiungo huyu alisajiliwa Julai 2024. 4. Kifungu cha 9 & 23 4.1 Kifungu cha 9 cha Sheria ya Uraia kinaeleza: 4.1.1 Kifungu cha 9(1) kinaeleza kuwa mgeni yeyote mwenye miaka 18 au zaidi aweza kuomba uraia kwa Waziri wa Mambo ya Ndani na ataweza kupewa uraia tajnisi iwapo ametimiza masharti ya Jedwali la Pili. 4.2 Kifungu cha 23 kinaeleza kuwa Waziri wa Mambo ya Ndani hatalazimika kutoa sababu yoyote baada ya kukubali au kukataa maombi ya uraia na uamuzi huo wa Waziri utakuwa wa mwisho na hautaweza kukatiwa rufaa wala kupingwa mahakamani. 4.3 Jedwali la Pili Jedwali la Pili limeweka masharti kadhaa. Sharti moja linaeleza : _"The applicant must have an adequate knowledge of Kiswahili or the English language"_. 5. Maswali chechefu: 5.1 Je, wachezaji Josephat Athur Bada na Mohammed Damaro Camara ambao wanazungumza kifaransa tu wamewezaje kukidhi kigezo cha kuwa na _*"ADEQUATE* knowledge"_ ya Kiswahili au Kiingereza ndani ya miezi 6 tu ? 5.2 Je, Waziri wa Mambo ya Ndani anafahamu kuwa Kisheria ingawa Sheria inaeleza kuwa _"Uamuzi wa Waziri ni wa Mwisho"_, haimaanishi kuwa Waziri akisigina Sheria, uamuzi hauwezi kupingwa? Yapo maamuzi mengi ya Mahakama Kuu yaelezeayo msimamo huu kuntu wa sheria mf : 5.2.1 Tanzania Air Services Ltd Vs Minister for Labour (1996) TLR 217 _*"The decision that the Minister's decision is final and conclusive does not mean that the decision cannot be reviewed by the High court. Indeed no appeal against such decision but an aggrieved party may come to the High court and ask for prerogative orders"*_. 5.2.2 Ben Kahale Vs AG*, Misc. Civil cause 23/2019: _*"Our understanding is that when the decision of the Minister is final, it doesn't oust jurisdiction of the court as final authority in dispensation of justice. We say so because the decision may still be subject to Judicial review"*_. 5.2 Je, kwanini Uomgozi wa Simba ndio uliowaombea wachezaji wake 9 uraia badala ya kila Mchezaji kuomba kama walivyofanya wale wachezaji 3 wa Singida Black Stars? Iweje timu kongwe kama Simba izidiwe uelewa na Singida Black Stars kuhusu mchakato huu ? Simba imekiri kwenye barua yao _"Tunaomba ofisi yako iridhie maombi yetu na kutupa utaratibu husika..."_ 5.3 Je, iwapo tutakuwa tunamwaga tu uraia kwa kila Mchezaji mgeni, haitatuathiri mbeleni ? Ikumbukwe kuwa lengo kubwa la kusajili wageni ni kwavile hakuna wachezaji wa ndani wenye ubora wa kutosha. Je, kila Mchezaji mgeni ana ubora wa kutosha? -
Rais wa Marekani , Donald Trump alienda kwenye Kanisa moja Anglican Nchini humo linalofahamika kama Episcopal Church, alienda kwa dhumuni la Ibada ya kushukuru ila alipofika Askofu wa Kanisa hilo Bi Marrian Edgar Budde kwenye hotuba yake akasema manano yafuatayo:
“Rais Trump tunakuomba kwa jina la Mungu uwe na huruma kwa Watu wa Mapenzi ya Jinsia moja na Wahamiaju haramu, wanaogopa sana” akamaliza Askofu huyo.
Rais Trump hakuridhishwa na hotuba hiyo na wakati anaondoka akasema maneno yafuatayo:
“Haikuwa hotuba nzuri, haivutii, inachafua taswira ya Kanisa lake au ninyi Waandishi mnaona inavutia, binafsi sikuipenda, haivutii na ni kweli haivutii haina maana” - Donald Trump, Rais wa Marekani .
Msimamo wa Trump dhidi ya Mapenzi ya Jinsia moja ni mkali saaana.
Rais wa Marekani 馃嚭馃嚫, Donald Trump alienda kwenye Kanisa moja Anglican Nchini humo linalofahamika kama Episcopal Church, alienda kwa dhumuni la Ibada ya kushukuru ila alipofika Askofu wa Kanisa hilo Bi Marrian Edgar Budde kwenye hotuba yake akasema manano yafuatayo: “Rais Trump tunakuomba kwa jina la Mungu uwe na huruma kwa Watu wa Mapenzi ya Jinsia moja na Wahamiaju haramu, wanaogopa sana” akamaliza Askofu huyo. Rais Trump hakuridhishwa na hotuba hiyo na wakati anaondoka akasema maneno yafuatayo: “Haikuwa hotuba nzuri, haivutii, inachafua taswira ya Kanisa lake au ninyi Waandishi mnaona inavutia, binafsi sikuipenda, haivutii na ni kweli haivutii haina maana” - Donald Trump, Rais wa Marekani 馃嚭馃嚫. Msimamo wa Trump dhidi ya Mapenzi ya Jinsia moja ni mkali saaana.0 Comments 路0 Shares 路357 Views -
Rais wa Marekani , Donald Trump alienda kwenye Kanisa moja Anglican Nchini humo linalofahamika kama Episcopal Church, alienda kwa dhumuni la Ibada ya kushukuru ila alipofika Askofu wa Kanisa hilo Bi Marrian Edgar Budde kwenye hotuba yake akasema manano yafuatayo:
“Rais Trump tunakuomba kwa jina la Mungu uwe na huruma kwa Watu wa Mapenzi ya Jinsia moja na Wahamiaju haramu, wanaogopa sana” akamaliza Askofu huyo.
Rais Trump hakuridhishwa na hotuba hiyo na wakati anaondoka akasema maneno yafuatayo:
“Haikuwa hotuba nzuri, haivutii, inachafua taswira ya Kanisa lake au ninyi Waandishi mnaona inavutia, binafsi sikuipenda, haivutii na ni kweli haivutii haina maana” - Donald Trump, Rais wa Marekani .
Msimamo wa Trump dhidi ya Mapenzi ya Jinsia moja ni mkali saaana.
Rais wa Marekani 馃嚭馃嚫, Donald Trump alienda kwenye Kanisa moja Anglican Nchini humo linalofahamika kama Episcopal Church, alienda kwa dhumuni la Ibada ya kushukuru ila alipofika Askofu wa Kanisa hilo Bi Marrian Edgar Budde kwenye hotuba yake akasema manano yafuatayo: “Rais Trump tunakuomba kwa jina la Mungu uwe na huruma kwa Watu wa Mapenzi ya Jinsia moja na Wahamiaju haramu, wanaogopa sana” akamaliza Askofu huyo. Rais Trump hakuridhishwa na hotuba hiyo na wakati anaondoka akasema maneno yafuatayo: “Haikuwa hotuba nzuri, haivutii, inachafua taswira ya Kanisa lake au ninyi Waandishi mnaona inavutia, binafsi sikuipenda, haivutii na ni kweli haivutii haina maana” - Donald Trump, Rais wa Marekani 馃嚭馃嚫. Msimamo wa Trump dhidi ya Mapenzi ya Jinsia moja ni mkali saaana.
More Results