Upgrade to Pro

  • KHERI LAWAMA; Hii nikauli ya ibenge kasema hawezi kulegeza nati hata kidogo licha ya kufuzu, Ibenge kasema yanga naifahamu vizuri toka nikutane naye katika michuano ya mabingwa Africa hajawahi kunifunga hivyo nitajitahidi kulinda rekodi yangu na nitahakikisha naongoza kundi mpaka mwisho wa mashindano haya.
    Sokachampions; namimi naunga mkono kauli ya ibenge kheri lawama, hii mechi yanga atafungwa 2:1 naomba tuelewane apa hii mechi yanga wanaitaka na siku zote unacho kipata sio rahisi kupata hivyo hii mechi yanga lost, nikumbushwe kama yanga atashinda pia nifungiwe kabisa nisijihusishe na mpira milele.
    #sokachampions
    #milardayo
    #cafchampionsleague2024
    #soccersportstz
    KHERI LAWAMA; Hii nikauli ya ibenge kasema hawezi kulegeza nati hata kidogo licha ya kufuzu, Ibenge kasema yanga naifahamu vizuri toka nikutane naye katika michuano ya mabingwa Africa hajawahi kunifunga hivyo nitajitahidi kulinda rekodi yangu na nitahakikisha naongoza kundi mpaka mwisho wa mashindano haya. Sokachampions; namimi naunga mkono kauli ya ibenge kheri lawama, hii mechi yanga atafungwa 2:1 naomba tuelewane apa hii mechi yanga wanaitaka na siku zote unacho kipata sio rahisi kupata hivyo hii mechi yanga lost, nikumbushwe kama yanga atashinda pia nifungiwe kabisa nisijihusishe na mpira milele🤣🤣. #sokachampions #milardayo #cafchampionsleague2024 #soccersportstz
    ·16 Views
  • 🗣 "Nimeangalia AFCON zaidi ya mpira wa miguu wa Ulaya. Wanatufundisha tu kuwa waaminifu. Katika AFCON VAR hutumiwa haswa njia ambayo inapaswa kutumika. Hawatumii kusaidia timu kubwa zenye pesa au timu maarufu. Hii ndio sababu umeona bora zaidi kutoka kwa kila timu. Kwa sababu wanajua VAR haijaajiriwa nyuma ya pazia lakini ni kwa kila mtu. Wanasikiliza hata wachezaji wao ikiwa Ref amekosa kitu na kwenda kuangalia. Huku Ulaya mimi kama kocha au mchezaji kuomba na ref kwenda kuangalia kitu, ni kadi nyekundu kwa kufanya hivyo. Makao makuu ya VAR yanapaswa kuwa katika CAF"
    🗣 "Nimeangalia AFCON zaidi ya mpira wa miguu wa Ulaya. Wanatufundisha tu kuwa waaminifu. Katika AFCON VAR hutumiwa haswa njia ambayo inapaswa kutumika. Hawatumii kusaidia timu kubwa zenye pesa au timu maarufu. Hii ndio sababu umeona bora zaidi kutoka kwa kila timu. Kwa sababu wanajua VAR haijaajiriwa nyuma ya pazia lakini ni kwa kila mtu. Wanasikiliza hata wachezaji wao ikiwa Ref amekosa kitu na kwenda kuangalia. Huku Ulaya mimi kama kocha au mchezaji kuomba na ref kwenda kuangalia kitu, ni kadi nyekundu kwa kufanya hivyo. Makao makuu ya VAR yanapaswa kuwa katika CAF"
    Like
    1
    ·54 Views
  • ETI ENZI IZOO WEWE ULIMKUBALI NANI KATIKA PICHA HII
    JIUNGE na GROUP LA MASHABIKI AFRICA https://chat.whatsapp.com/FIaOHgFUUhODCH1MFw5PWV
    #sokachampions
    #soccersportstz
    #cafchampionsleague2024
    #milardayo
    ETI ENZI IZOO WEWE ULIMKUBALI NANI KATIKA PICHA HII👇 JIUNGE na GROUP LA MASHABIKI AFRICA👇 https://chat.whatsapp.com/FIaOHgFUUhODCH1MFw5PWV #sokachampions #soccersportstz #cafchampionsleague2024 #milardayo
    Like
    Love
    4
    ·110 Views
  • FT: SFAXIEN 0-1 SIMBA SC
    ⚽️ Ahoua
    Ateba

    HII NDIO SIMBA #TotalEnergiesCAFCC


    #paulswai
    FT: 🇹🇳 SFAXIEN 0-1 SIMBA SC 🇹🇿 ⚽️ Ahoua 🎯 Ateba HII NDIO SIMBA 🦁 #TotalEnergiesCAFCC #paulswai
    Wow
    Love
    3
    1 Commentarii ·206 Views
  • Mapumziko tukiongoza. #TotalEnergiesCAFCC

    #paulswai
    Mapumziko tukiongoza. #TotalEnergiesCAFCC #paulswai
    Like
    Wow
    Love
    8
    2 Commentarii ·200 Views
  • Kikosi cha leo. ⁦‪#TotalEnergiesCAFCC‬⁩ ⁦‪

    #paulswai
    Kikosi cha leo. ⁦‪#TotalEnergiesCAFCC‬⁩ ⁦‪ #paulswai
    Like
    4
    2 Commentarii ·200 Views
  • CAF wamesema shuti la Mzize halikuwa la kawaida. Wameshauri magolikipa wawe wanakwepa mashuti yake, vinginevyo wanaweza kuteguka nyonga.
    CAF wamesema shuti la Mzize halikuwa la kawaida. Wameshauri magolikipa wawe wanakwepa mashuti yake, vinginevyo wanaweza kuteguka nyonga.
    Like
    Love
    Wow
    11
    2 Commentarii ·225 Views
  • CAF CONFEDERATION CUP

    CS SFAXIEN SIMBA SC
    19:00
    Hammadi Agrebi

    Simba inakutana na Sfaxien, timu ambayo haijashinda mechi yoyote katika kundi hilo baada ya kupoteza michezo mitatu ikishika mkia bila pointi yoyote. Kucheza mechi ya leo bila ya mashabiki inaweza kuwa nafuu kwa Simba katika kuifukuzia rekodi yao ya kucheza robo fainali kwa mara ya sita katika kipindi cha misimu saba kuanzia 2018/19.

    Kila la kheri Wenyenchi @simbasctanzania

    #paulswai
    CAF CONFEDERATION CUP 🇹🇳 CS SFAXIEN 🆚 SIMBA SC 🇹🇿 ⏰ 19:00 🏟️ Hammadi Agrebi Simba inakutana na Sfaxien, timu ambayo haijashinda mechi yoyote katika kundi hilo baada ya kupoteza michezo mitatu ikishika mkia bila pointi yoyote. Kucheza mechi ya leo bila ya mashabiki inaweza kuwa nafuu kwa Simba katika kuifukuzia rekodi yao ya kucheza robo fainali kwa mara ya sita katika kipindi cha misimu saba kuanzia 2018/19. Kila la kheri Wenyenchi @simbasctanzania 🇹🇿🇹🇿 #paulswai
    Like
    4
    2 Commentarii ·239 Views
  • Utabiri wa Africa Soccer Zone wa michezo ya klabu bingwa barani Afrika (CAF Champions League).

    - Yanga SC 3-1 TP Mazembe
    - Al Hilal 2-1 MC Alger

    Utabiri wa Africa Soccer Zone wa michezo ya klabu bingwa barani Afrika (CAF Champions League). - Yanga SC 3-1 TP Mazembe - Al Hilal 2-1 MC Alger
    Like
    1
    ·123 Views
  • UPDATES

    Simba Sports Club ina mechi tatu mfululizo za Kombe la shirikisho barani Afrika (CAFCC), ambazo zitapigwa Januari 05, Januari 12 na Januari 19.

    Januari 05.
    - CS Sfaxien Vs Simba Sports Club.

    Januari 12.
    - FC Bravo Vs Simba Sports Club.

    Januari 19.
    - Simba Sports Club Vs CS Constantine.

    #paulswai
    UPDATES 👇 Simba Sports Club ina mechi tatu mfululizo za Kombe la shirikisho barani Afrika (CAFCC), ambazo zitapigwa Januari 05, Januari 12 na Januari 19. Januari 05. - CS Sfaxien Vs Simba Sports Club. Januari 12. - FC Bravo Vs Simba Sports Club. Januari 19. - Simba Sports Club Vs CS Constantine. #paulswai
    Like
    1
    1 Commentarii ·304 Views
  • Klabu ya CS Sfaxien imepigwa faini na Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) ya Dola elfu (50) ambazo ni takribani Shilingi milioni (119) pamoja na kufungiwa Mashabiki wao kuingia Uwanjani kwa michezo miwili kufuatia vurugu zilizotokea kwenye mchezo wao dhidi ya klabu ya Simba SC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam.

    Michezo miwili ambayo watacheza bila Mashabiki ni pamoja na:

    - Cs Sfaxien vs Simba SC
    - Cs Sfaxien vs Bravos.
    Klabu ya CS Sfaxien imepigwa faini na Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) ya Dola elfu (50) ambazo ni takribani Shilingi milioni (119) pamoja na kufungiwa Mashabiki wao kuingia Uwanjani kwa michezo miwili kufuatia vurugu zilizotokea kwenye mchezo wao dhidi ya klabu ya Simba SC kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Michezo miwili ambayo watacheza bila Mashabiki ni pamoja na: - Cs Sfaxien vs Simba SC - Cs Sfaxien vs Bravos.
    ·113 Views
  • Nigeria ndiyo Nchi pekee iliyoshinda Tuzo ya CAF POTY katika miaka miwili (2) mfululizo mara tatu (3), ikiwa na Wachezaji tofauti huku ikiwa inashikilia pia rekodi ya kuwa na Tuzo nyingi katika historia baada ya kushinda mara saba (7).

    1.Rashidi Yekini 1993
    2. Eammuel Amunike 1994
    3. Kanu Nwakwo 1996 &1999
    4. Victor Ikpeba 1997
    5. Victor Osimhen 2023
    6. Ademola Lookman 2024
    Nigeria ndiyo Nchi pekee iliyoshinda Tuzo ya CAF POTY katika miaka miwili (2) mfululizo mara tatu (3), ikiwa na Wachezaji tofauti huku ikiwa inashikilia pia rekodi ya kuwa na Tuzo nyingi katika historia baada ya kushinda mara saba (7). 1.Rashidi Yekini 1993 2. Eammuel Amunike 1994 3. Kanu Nwakwo 1996 &1999 4. Victor Ikpeba 1997 5. Victor Osimhen 2023 6. Ademola Lookman 2024
    ·73 Views
  • . CAF AWARDS LIVE UPDATES

    [12/16, 20:39]

    *YOUNG PLAYER OF THE YEAR (WOMEN)* :
    Doha El Madani (Morocco / AS FAR)

    [12/16, 20:40]
    *YOUNG PLAYER OF THE YEAR (MEN)* :
    Lamine Camara (Senegal / AS Monaco)

    [12/16, 20:40] *NATIONAL TEAM OF THE YEAR (WOMEN)* :
    Nigeria

    *NATIONAL TEAM OF THE YEAR (MEN)* :
    Ivory Coast
    [12/16, 21:11]

    *CLUB OF THE YEAR (MEN)* :
    Al Ahly (Egypt)
    [12/16, 21:12]

    *CLUB OF THE YEAR (WOMEN)* :
    TP Mazembe (DR Congo)

    [12/16, 21:12] *INTERCLUB PLAYER OF THE YEAR (MEN)*
    Ronwen Williams (South Africa / Mamelodi Sundowns)
    [12/16, 21:13]

    *INTERCLUB PLAYER OF THE YEAR (WOMEN)*
    Sanaâ Mssoudy (Morocco / AS FAR)
    [12/16, 21:15]

    *GOALKEEPER OF THE YEAR (WOMEN)*
    Chiamaka Nnadozie (Nigeria / Paris FC)
    [12/16, 21:28]

    *GOALKEEPER OF THE YEAR (MEN)*
    Ronwen Williams (South Africa / Mamelodi Sundowns)
    .🌟 CAF AWARDS LIVE UPDATES 🌟 [12/16, 20:39] *YOUNG PLAYER OF THE YEAR (WOMEN)* : Doha El Madani (Morocco / AS FAR) [12/16, 20:40] *YOUNG PLAYER OF THE YEAR (MEN)* : Lamine Camara (Senegal / AS Monaco) [12/16, 20:40] *NATIONAL TEAM OF THE YEAR (WOMEN)* : Nigeria *NATIONAL TEAM OF THE YEAR (MEN)* : Ivory Coast [12/16, 21:11] *CLUB OF THE YEAR (MEN)* : Al Ahly (Egypt) [12/16, 21:12] *CLUB OF THE YEAR (WOMEN)* : TP Mazembe (DR Congo) [12/16, 21:12] *INTERCLUB PLAYER OF THE YEAR (MEN)* Ronwen Williams (South Africa / Mamelodi Sundowns) [12/16, 21:13] *INTERCLUB PLAYER OF THE YEAR (WOMEN)* Sanaâ Mssoudy (Morocco / AS FAR) [12/16, 21:15] *GOALKEEPER OF THE YEAR (WOMEN)* Chiamaka Nnadozie (Nigeria / Paris FC) [12/16, 21:28] *GOALKEEPER OF THE YEAR (MEN)* Ronwen Williams (South Africa / Mamelodi Sundowns)
    Love
    2
    ·197 Views
  • Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limetangaza kuwa Msanii wa muziki kutoka Nchini Tanzania, Diamond Platnumz ni miongoni mwa Wasanii watakaotumbuiza kesho Nchini Morocco kwenye ugawaji wa Tuzo za CAF.

    Ikumbukwe kwamba hii sio mara ya kwanza kwa Diamond Platnumz kupata nafasi ya kutumbuiza kwenye sherehe za Tuzo za CAF, amewahi kufanya hivyo mwaka 2015, 2017 na 2020.

    Shirikisho la mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limetangaza kuwa Msanii wa muziki kutoka Nchini Tanzania, Diamond Platnumz ni miongoni mwa Wasanii watakaotumbuiza kesho Nchini Morocco kwenye ugawaji wa Tuzo za CAF. Ikumbukwe kwamba hii sio mara ya kwanza kwa Diamond Platnumz kupata nafasi ya kutumbuiza kwenye sherehe za Tuzo za CAF, amewahi kufanya hivyo mwaka 2015, 2017 na 2020.
    ·133 Views
  • Maji na mafuta yameanza kujitenga kunako Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati vinara, Al Hilal Omdurman wakiendelea kugawa dozi bila kujali wapo nyumbani au ugenini kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji wao MC Alger ya Algeria katika dimba la Julai 5 1962.

    Vinara wa kundi Al Hilal wamefikisha pointi 9 baada ya kushinda mechi zote tatu huku MC Alger ikisalia nafasi ya pili pointi nne baada ya mechi tatu.

    TP Mazembe wanashika nafasi ya tatu baada ya kukusanya pointi mbili baada ya mechi tatu huku Wananchi, Young Africans Sc wakiendelea kuburuza mkia pointi moja baada ya mechi tatu.

    FT: MC Alger 0-1 Al Hilal
    76' Fofana

    MATOKEO MENGINE #CAFCL
    FT: Esperance 2-0 Pyramids
    TP Mazembe 1-1 Yanga Sc
    Maniema Union 1-1 ASFAR
    🇨🇮 Stade d'Abidjan 1-1 Orlando Pirates

    #socialpop
    Maji na mafuta yameanza kujitenga kunako Kundi A la Ligi ya Mabingwa Afrika, wakati vinara, Al Hilal Omdurman wakiendelea kugawa dozi bila kujali wapo nyumbani au ugenini kufuatia ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji wao MC Alger ya Algeria katika dimba la Julai 5 1962. Vinara wa kundi Al Hilal wamefikisha pointi 9 baada ya kushinda mechi zote tatu huku MC Alger ikisalia nafasi ya pili pointi nne baada ya mechi tatu. TP Mazembe wanashika nafasi ya tatu baada ya kukusanya pointi mbili baada ya mechi tatu huku Wananchi, Young Africans Sc wakiendelea kuburuza mkia pointi moja baada ya mechi tatu. FT: MC Alger 🇩🇿 0-1 🇸🇩 Al Hilal ⚽ 76' Fofana MATOKEO MENGINE #CAFCL FT: Esperance 🇹🇳 2-0 🇪🇬 Pyramids TP Mazembe 🇨🇩 1-1 🇹🇿 Yanga Sc Maniema Union 🇨🇩 1-1 🇲🇦 ASFAR 🇨🇮 Stade d'Abidjan 1-1 🇿🇦 Orlando Pirates #socialpop
    Like
    1
    ·300 Views
  • Best kits men football from CAF and FIFA
    #everyone #followers #friend #socialpop #football #caf #fifa #anyone
    Best kits men football from CAF and FIFA #everyone #followers #friend #socialpop #football #caf #fifa #anyone
    Like
    Love
    3
    3 Commentarii ·367 Views
  • Timu ya soka ya Wavulana ya Tanzania na timu ya wasichana ya Uganda zimeibuka washindi wa mashindano hayo ya kufuzu kwa ukanda wa CECAFA yaliyofikia kilele leo nchini Uganda.

    Timu ya wavulana ya Tanzania, ikiongozwa na mchezaji wa zamani wa kimataifa Boniface Pawasa, iliifunga Rwanda 2-0 kwenye mechi ya mwisho kuamua mshindi, na kumaliza mbele ya Uganda kwa tofauti ya mabao, ingawa zote zilipata alama sita.

    Kwa upande wa wasichana, Uganda iliibuka mabingwa kwa tofauti ya mabao bora zaidi kuliko Tanzania, ambao pia walimaliza na alama 7. Uganda iliidhalilisha Rwanda kwa ushindi wa mabao 8-0, ambapo Brendah Nassaka alifunga mabao manne, Halima Mupyanga mabao mawili, huku Cynthia Kirenga na Lilian Nabukeera wakiongeza majina yao kwenye orodha ya wafungaji.

    Tanzania, katika mechi ya pili, iliishinda Burundi 1-0, kwa bao la pekee lililofungwa na Helena Mtundagi. Nahodha wa Uganda, Lilian Nabukeera, aliwashukuru wachezaji wenzake kwa kazi ngumu na kusema, “Tuna furaha kubwa kuwa mabingwa.”

    Washindi Tanzania na Uganda walipokea medali na vikombe wakati wa sherehe ya tuzo, pamoja na mfano wa hundi ya dola za Marekani 100,000.

    Timu ya wavulana ya Uganda na timu ya wasichana ya Tanzania walipata medali na mfano wa hundi ya dola 75,000 kila moja, huku Somalia na Burundi waliomaliza nafasi ya tatu wakipata medali na mfano wa hundi ya dola 50,000 kila mmoja.

    Mashindano haya ni hatua kubwa kwa maendeleo ya soka la shule barani Afrika.

    #sports
    #trending
    #socialpop
    David Atto
    Timu ya soka ya Wavulana ya Tanzania na timu ya wasichana ya Uganda zimeibuka washindi wa mashindano hayo ya kufuzu kwa ukanda wa CECAFA yaliyofikia kilele leo nchini Uganda. Timu ya wavulana ya Tanzania, ikiongozwa na mchezaji wa zamani wa kimataifa Boniface Pawasa, iliifunga Rwanda 2-0 kwenye mechi ya mwisho kuamua mshindi, na kumaliza mbele ya Uganda kwa tofauti ya mabao, ingawa zote zilipata alama sita. Kwa upande wa wasichana, Uganda iliibuka mabingwa kwa tofauti ya mabao bora zaidi kuliko Tanzania, ambao pia walimaliza na alama 7. Uganda iliidhalilisha Rwanda kwa ushindi wa mabao 8-0, ambapo Brendah Nassaka alifunga mabao manne, Halima Mupyanga mabao mawili, huku Cynthia Kirenga na Lilian Nabukeera wakiongeza majina yao kwenye orodha ya wafungaji. Tanzania, katika mechi ya pili, iliishinda Burundi 1-0, kwa bao la pekee lililofungwa na Helena Mtundagi. Nahodha wa Uganda, Lilian Nabukeera, aliwashukuru wachezaji wenzake kwa kazi ngumu na kusema, “Tuna furaha kubwa kuwa mabingwa.” Washindi Tanzania na Uganda walipokea medali na vikombe wakati wa sherehe ya tuzo, pamoja na mfano wa hundi ya dola za Marekani 100,000. Timu ya wavulana ya Uganda na timu ya wasichana ya Tanzania walipata medali na mfano wa hundi ya dola 75,000 kila moja, huku Somalia na Burundi waliomaliza nafasi ya tatu wakipata medali na mfano wa hundi ya dola 50,000 kila mmoja. Mashindano haya ni hatua kubwa kwa maendeleo ya soka la shule barani Afrika. #sports #trending #socialpop [Mefa]
    Like
    Love
    2
    ·407 Views
  • MSIKIE KOCHA FADLU

    “Kwa kweli, kucheza nyumbani ni faida kubwa kwetu. Tutakuwa na programu za mazoezi kwa siku chache zilizopo mbele yetu ili kuwa tayari kwa mchezo huu. Nitahakikisha mpango wetu wa kimbinu ni tofauti na ule tulioutumia kule Algeria.”

    “Nidhamu ya kulinda itakuwa sehemu muhimu ya mchezo wetu, lakini tunahitaji kuwa na mashambulizi ya haraka na kuzuia makosa tuliyofanya kwenye mchezo wa awali, Lengo ni kuhakikisha kuwa tunapata matokeo mazuri na kuweka hesabu zetu sawa katika michuano hii ya CAF.”
    #paulswai
    MSIKIE KOCHA FADLU “Kwa kweli, kucheza nyumbani ni faida kubwa kwetu. Tutakuwa na programu za mazoezi kwa siku chache zilizopo mbele yetu ili kuwa tayari kwa mchezo huu. Nitahakikisha mpango wetu wa kimbinu ni tofauti na ule tulioutumia kule Algeria.” “Nidhamu ya kulinda itakuwa sehemu muhimu ya mchezo wetu, lakini tunahitaji kuwa na mashambulizi ya haraka na kuzuia makosa tuliyofanya kwenye mchezo wa awali, Lengo ni kuhakikisha kuwa tunapata matokeo mazuri na kuweka hesabu zetu sawa katika michuano hii ya CAF.” #paulswai
    Like
    Love
    3
    1 Commentarii ·239 Views
  • ....|| AFISA NISHATI NA MAWASILIANO KUTUA JANGWANI

    Anaitwa Micky Harvey Ossété,Raia wa Congo-Brazzavile,huyu ni kiungo Mkabaji tegemezi katika kikosi cha Saint Eloi Lupopo ya Kinshasa Congo ,huyu mwamba anakaba mpaka Mawimbi ya sauti za Mashabiki,anajua pia kufunga na kuanziasha Mashambulizi,ndiyo kiungo Shoka pale Congo Brazzaville Katika michuano yote ya kimataifa yaliyohusisha timu za Taifa kwa asilimia zaidi ya 85 ametumikakatika kikosi cha timu ya Taifa ya Congo Brazzaville ,pia Saint Eloi Lupopo imemtumia sana katika kusaka tiketi ya kufuzu hatua za Makundi CAF Confederation Cup
    hata hivyo vilabu kadhaa Africa kusini vipo kwenye vita Kali kupata Saini yake
    ikiwa Yanga tutampata huyu mwamba basi tatizo la Mawasiliano na miundombinu uwanjani basi litakuwa limetibika

    Ossété yupo tayari kujiunga na Yanga ,japo kwa upande wetu yanga bado halijawekwa wazi.

    Kama uhamisho wake ukikamilika basi defensive Midfielders watakuwa hawa
    1.Duke Abuya(on loan)
    2.Khalid Aucho
    3.Micky Harvey Ossété
    5.Aziz Andambwile

    Je wewe unampa nafasi nani hasa???
    .🚨...|| AFISA NISHATI NA MAWASILIANO KUTUA JANGWANI🔰 ➡️ Anaitwa Micky Harvey Ossété,Raia wa Congo-Brazzavile🇨🇬,huyu ni kiungo Mkabaji tegemezi katika kikosi cha Saint Eloi Lupopo ya Kinshasa Congo 🇨🇩,huyu mwamba anakaba mpaka Mawimbi ya sauti za Mashabiki,anajua pia kufunga na kuanziasha Mashambulizi,ndiyo kiungo Shoka pale Congo Brazzaville 🇨🇬 Katika michuano yote ya kimataifa yaliyohusisha timu za Taifa kwa asilimia zaidi ya 85 ametumikakatika kikosi cha timu ya Taifa ya Congo Brazzaville 🇨🇬,pia Saint Eloi Lupopo imemtumia sana katika kusaka tiketi ya kufuzu hatua za Makundi CAF Confederation Cup ✨ hata hivyo vilabu kadhaa Africa kusini 🇿🇦 vipo kwenye vita Kali kupata Saini yake ikiwa Yanga tutampata huyu mwamba basi tatizo la Mawasiliano na miundombinu uwanjani basi litakuwa limetibika ➡️ Ossété yupo tayari kujiunga na Yanga 🔰,japo kwa upande wetu yanga bado halijawekwa wazi. Kama uhamisho wake ukikamilika basi defensive Midfielders watakuwa hawa ⤵️ 1.Duke Abuya(on loan)🇰🇪 2.Khalid Aucho🇺🇬 3.Micky Harvey Ossété 🇨🇬 5.Aziz Andambwile 🇹🇿 Je wewe unampa nafasi nani hasa???
    Like
    Love
    4
    ·360 Views
  • #Yangasc
    #Simbasc
    #TFF#NBCPL
    #CAFCL
    #Yangasc #Simbasc #TFF#NBCPL #CAFCL
    Like
    1
    ·217 Views
Sponsorizeaza Paginile