• AC Milan yapigania kumsajili Darwin Núñez!

    Klabu hiyo ya Italia iko kwenye mazungumzo na mshambuliaji wa Liverpool kuhusu uhamisho kwenda San Siro , lakini inakumbana na ushindani mkali kutoka Al-Hilal ya Saudi Arabia ambao tayari wamewasilisha ofa rasmi .

    Liverpool wanahitaji karibu £70 milioni , huku Núñez akionekana kupendelea kubaki barani Ulaya .

    #ACMilan #Liverpool #DarwinNúñez #TransferNews #AlHilal #SanSiro

    #SportsElite
    ๐Ÿšจ AC Milan yapigania kumsajili Darwin Núñez! Klabu hiyo ya Italia iko kwenye mazungumzo na mshambuliaji wa Liverpool kuhusu uhamisho kwenda San Siro ๐ŸŸ๏ธ, lakini inakumbana na ushindani mkali kutoka Al-Hilal ya Saudi Arabia ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ฆ ambao tayari wamewasilisha ofa rasmi ๐Ÿ’ฐ. Liverpool wanahitaji karibu £70 milioni ๐Ÿ’ธ, huku Núñez akionekana kupendelea kubaki barani Ulaya ๐ŸŒ. #ACMilan #Liverpool #DarwinNúñez #TransferNews #AlHilal #SanSiro #SportsElite
    Like
    Love
    2
    0 Commenti 0 condivisioni 1K Views
  • Licha ya jana Klabu ya Yanga SC kushinda mechi yake muhimu dhidi ya timu ngumu ya Al Hilal omdurman lakini kuna huyu mwamba wa kuitwa Jean Claude Giramugisha, hapa kibwana Shomari nahisi usingizi wake ulikuwa wa Mashaka (kuweweseka) maana sio kwa kuburuzwa kule

    Dogo ana speed ya ajabu mpaka nikasema dah huyu sio ndo yule kasongo lakini? achana na speed ana vyenga pia ana pumzi hachoki, Kuna muda akuwa upande wa kushoto kumxhosha kibwana sometime anabadilishana possition na adama Coulibaly, anaenda tena kumnyanyasa Shadrack Boka

    Cha ajabu huyu dogo ni mburundi tuh sijui Tanzania tulicherewa nini kusema huyu dogo ni MUHA wa Kigoma na akatupa faida Tanzania kwenye NT na vilabu

    Oya huyu dogo ni moto

    #muslehelbarcaupdates

    #Alhilalomdurman #CAFChampionsLeague #TotalEnergiesCAFCL
    Licha ya jana Klabu ya Yanga SC kushinda mechi yake muhimu dhidi ya timu ngumu ya Al Hilal omdurman lakini kuna huyu mwamba wa kuitwa Jean Claude Giramugisha, hapa kibwana Shomari nahisi usingizi wake ulikuwa wa Mashaka (kuweweseka) maana sio kwa kuburuzwa kule ๐Ÿ™„ Dogo ana speed ya ajabu mpaka nikasema dah huyu sio ndo yule kasongo lakini? achana na speed ana vyenga pia ana pumzi hachoki, Kuna muda akuwa upande wa kushoto kumxhosha kibwana sometime anabadilishana possition na adama Coulibaly, anaenda tena kumnyanyasa Shadrack Boka ๐Ÿ”ฅ Cha ajabu huyu dogo ni mburundi tuh sijui Tanzania tulicherewa nini kusema huyu dogo ni MUHA wa Kigoma na akatupa faida Tanzania kwenye NT na vilabu ๐Ÿ˜‚ Oya huyu dogo ni moto ๐Ÿ”ฅ #muslehelbarcaupdates ๐Ÿ‘ฝ #Alhilalomdurman #CAFChampionsLeague #TotalEnergiesCAFCL
    Love
    1
    1 Commenti 0 condivisioni 2K Views