Upgrade to Pro

  • Huyu kijana kapoterea wapwanaliverpool
    Huyu kijana kapoterea wapwanaliverpool
    ·75 Views
  • .... 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗞𝗢 𝗦𝗘𝗥𝗜𝗢𝗨𝗦

    Nimefanya utafiti mdogo nimebaini kuwa kamati zinazotoa tuzo za Man of the Match ligi kuu Tanzania bara hawana vigezo rasmi, wanatoa tuzo kwa mitazamo yao binafsi

    Tujikite kwenye mechi ya ligi kuu, Kagera sugar 0 dhidi ya 2 Yanga:

    Vigezo mama vinavyoangaliwa EPL, LALIGA, BUNDESLIGA ili kupata mchezaji bora wa mechi (MOTM).

    ➜ Mchezaji aliyechangia kwa kiasi kikubwa matokeo CHANYA (Ushindi) kwa timu yake ndiye anayepewa priority kubwa ya kushinda tuzo.

    ➜ Mchezaji kutoka timu iliyopoteza mechi atapata tuzo ikiwa tu ameonesha kiwango bora SANA ZAIDI ya KAWAIDA na kuwazidi mbali sana wachezaji wote wa timu iliyoshinda.

    Sasa tujiulize kwenye mechi hii Kapama alionesha kiwango BORA SANA ZAIDI YA KAWAIDA ? hadi apewe tuzo ya MOTM dhidi ya timu iliyoshinda tena UGENINI kwa (0-2) ?

    Nilikuwa naangalia mechi Laliga wiki iliyopia, Rayo Vallecano 1 - 2 Barcelona .. Hadi Halftime Barcelona walikuwa nyuma (1-0), Vallecano waliupiga mwingi sana. 2nd half akaingia Dani Olmo, Barcelona wakachomoa bao kupitia kwa Pedri kisha dakika za mwisho Dani Olmo akafunga goli la ushindi (1-2).

    MOTM award akapewa Dani Olmo aliyecheza dakika (45') kwa sababu timu yake imeshinda licha ya kuwa Vallecano waliupiga mwingi.

    Kapama aliupiga mwingi kiasi hicho kuliko MAXI NZENGELI aliyefunga bao lililoondoa presha kwa Yanga ?!

    By the way tazama mechi hiziza hivi karibuni kisha unioneshe mchezaji gani alikuwa MOTM kutoka timu ILIYOPOTEZA MCHEZO.

    Manchester United 0 - 3 Liverpool
    ➜ MOTM : Mohamed Salah.

    Newcastle United 2 - 1 Tottenham Hotspur
    ➜ MOTM : Alexander Isak.

    Man United 1 - 0 Fullham
    ➜ MOTM : Joshua Zirkzee

    Brentford 3 - 1 Southampton
    ➜ MOTM : Bryan Mbeumo

    Everton 2 - 3 Bournemouth
    ➜ MOTM : Antoine Semenyo

    Leicester City 1 - 2 Aston Villa
    ➜ MOTM : Jhòn Duran

    West Ham 1 - 3 Man City
    ➜ MOTM : Erling Haaland

    Real Madrid 2 - 0 Betis
    ➜ Kylian Mbape.

    Timu imepoteza mchezo (0-2). Imezidiwa possession (33% - 67%. Imezidiwa On target. Imezidiwa BIG chances. Imezidiwa pass 210 - 510. Imezidiwa kila kitu then inatoa Man of the Match ? Sasa huo U-MOTM unatoka wapi wakati kashindwa kuisaidia timu yake !!!!

    Au kupiga chenga mbili na kublock mashuti (2) na pass kadhaa inatosha kuwa kigezo cha kuwa MOTM ? Seriously !!!!?

    Bora hata angepewa golikipa Chalamanda ambaye alizuia magoli (4) ya wazi yasiingie katika goli la Kagera sugar.
    .... ℹ️ 𝗛𝗔𝗧𝗨𝗞𝗢 𝗦𝗘𝗥𝗜𝗢𝗨𝗦 Nimefanya utafiti mdogo nimebaini kuwa kamati zinazotoa tuzo za Man of the Match ligi kuu Tanzania bara hawana vigezo rasmi, wanatoa tuzo kwa mitazamo yao binafsi Tujikite kwenye mechi ya ligi kuu, Kagera sugar 0 dhidi ya 2 Yanga: Vigezo mama vinavyoangaliwa EPL, LALIGA, BUNDESLIGA ili kupata mchezaji bora wa mechi (MOTM). ➜ Mchezaji aliyechangia kwa kiasi kikubwa matokeo CHANYA (Ushindi) kwa timu yake ndiye anayepewa priority kubwa ya kushinda tuzo. ➜ Mchezaji kutoka timu iliyopoteza mechi atapata tuzo ikiwa tu ameonesha kiwango bora SANA ZAIDI ya KAWAIDA na kuwazidi mbali sana wachezaji wote wa timu iliyoshinda. ℹ️ Sasa tujiulize kwenye mechi hii Kapama alionesha kiwango BORA SANA ZAIDI YA KAWAIDA ? hadi apewe tuzo ya MOTM dhidi ya timu iliyoshinda tena UGENINI kwa (0-2) ? Nilikuwa naangalia mechi Laliga wiki iliyopia, Rayo Vallecano 1 - 2 Barcelona .. Hadi Halftime Barcelona walikuwa nyuma (1-0), Vallecano waliupiga mwingi sana. 2nd half akaingia Dani Olmo, Barcelona wakachomoa bao kupitia kwa Pedri kisha dakika za mwisho Dani Olmo akafunga goli la ushindi (1-2). MOTM award akapewa Dani Olmo aliyecheza dakika (45') kwa sababu timu yake imeshinda licha ya kuwa Vallecano waliupiga mwingi. Kapama aliupiga mwingi kiasi hicho kuliko MAXI NZENGELI aliyefunga bao lililoondoa presha kwa Yanga ?! By the way tazama mechi hiziza hivi karibuni kisha unioneshe mchezaji gani alikuwa MOTM kutoka timu ILIYOPOTEZA MCHEZO. Manchester United 0 - 3 Liverpool ➜ MOTM : Mohamed Salah. Newcastle United 2 - 1 Tottenham Hotspur ➜ MOTM : Alexander Isak. Man United 1 - 0 Fullham ➜ MOTM : Joshua Zirkzee Brentford 3 - 1 Southampton ➜ MOTM : Bryan Mbeumo Everton 2 - 3 Bournemouth ➜ MOTM : Antoine Semenyo Leicester City 1 - 2 Aston Villa ➜ MOTM : Jhòn Duran West Ham 1 - 3 Man City ➜ MOTM : Erling Haaland Real Madrid 2 - 0 Betis ➜ Kylian Mbape. ℹ️ Timu imepoteza mchezo (0-2). Imezidiwa possession (33% - 67%. Imezidiwa On target. Imezidiwa BIG chances. Imezidiwa pass 210 - 510. Imezidiwa kila kitu then inatoa Man of the Match ? Sasa huo U-MOTM unatoka wapi wakati kashindwa kuisaidia timu yake !!!! 😀 Au kupiga chenga mbili na kublock mashuti (2) na pass kadhaa inatosha kuwa kigezo cha kuwa MOTM ? Seriously !!!!? Bora hata angepewa golikipa Chalamanda ambaye alizuia magoli (4) ya wazi yasiingie katika goli la Kagera sugar.
    Like
    3
    1 Comments ·404 Views
  • Tumefungua channel yetu mpya inatambulika kama #soccersports ndugu shabiki wetu njoo YouTube utusaidie ku subscribe
    #azamtv
    #simbasc
    #magoma
    #yangasc
    #chelsea
    #mancity
    #manunited
    #Arsenal
    #Liverpool
    Tumefungua channel yetu mpya inatambulika kama #soccersports ndugu shabiki wetu njoo YouTube utusaidie ku subscribe 🏆 #azamtv #simbasc #magoma #yangasc #chelsea #mancity #manunited #Arsenal #Liverpool
    Like
    3
    ·588 Views
  • Bayern Munich wanamfuatilia beki wa England na Manchester City John Stones, mwenye umri wa miaka 29 (Football Insider)

    Kiungo wa kati wa Manchester City na Uingereza Jack Grealish, mwenye umri wa miaka 28, pia analengwa na Bayern (Sun)

    Manchester City ya Pep Guardiola haitamzuia mlinda lango wa Brazil Ederson ikiwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 anataka kuhamia Saudi Arabia, lakini masharti yanapaswa kuwa sawa kwao juu ya uhamisho wowote.(90 Min)

    Burnley wanaomba fidia ya £17m kutoka kwa Bayern ili kumruhusu meneja Vincent Kompany kuchukua mikoba katika klabu hiyo ya Ujerumani. (Sky Sports Ujerumani)

    Liverpool wameelekeza mawazo yao kwa winga wa Leeds Mholanzi Crysencio Summerville, 22, baada ya kuamua kumnunua winga wa Newcastle na England Anthony Gordon, 23. (90 Min).


    Manchester United wanaongoza katika kinyang'anyiro cha kuinasa sahihi ya winga wa kikosi cha chini ya miaka 21 wa Crystal Palace na Ufaransa Michael Olise, 22. (Football Transfers)

    Aston Villa wanafikiria kusitisha mkataba wa kiungo wa kati wa Brazil Philippe Coutinho, 31. (Givemesport)

    Winga wa Nottingham Forest na Uingereza Callum Hudson-Odoi, 22, anatarajiwa kulengwa na Tottenham(Guardian)

    Ajax na Feyenoord wanavutiwa na winga wa Chelsea Omari Hutchinson, mwenye umri wa miaka 22, ambaye aliichezea Ipswich kwa mkopo msimu uliopita(Football London).
    #Sports view
    🌎Bayern Munich wanamfuatilia beki wa England na Manchester City John Stones, mwenye umri wa miaka 29 (Football Insider) Kiungo wa kati wa Manchester City na Uingereza Jack Grealish, mwenye umri wa miaka 28, pia analengwa na Bayern (Sun) Manchester City ya Pep Guardiola haitamzuia mlinda lango wa Brazil Ederson ikiwa mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 anataka kuhamia Saudi Arabia, lakini masharti yanapaswa kuwa sawa kwao juu ya uhamisho wowote.(90 Min) Burnley wanaomba fidia ya £17m kutoka kwa Bayern ili kumruhusu meneja Vincent Kompany kuchukua mikoba katika klabu hiyo ya Ujerumani. (Sky Sports Ujerumani) Liverpool wameelekeza mawazo yao kwa winga wa Leeds Mholanzi Crysencio Summerville, 22, baada ya kuamua kumnunua winga wa Newcastle na England Anthony Gordon, 23. (90 Min). Manchester United wanaongoza katika kinyang'anyiro cha kuinasa sahihi ya winga wa kikosi cha chini ya miaka 21 wa Crystal Palace na Ufaransa Michael Olise, 22. (Football Transfers) Aston Villa wanafikiria kusitisha mkataba wa kiungo wa kati wa Brazil Philippe Coutinho, 31. (Givemesport) Winga wa Nottingham Forest na Uingereza Callum Hudson-Odoi, 22, anatarajiwa kulengwa na Tottenham(Guardian) Ajax na Feyenoord wanavutiwa na winga wa Chelsea Omari Hutchinson, mwenye umri wa miaka 22, ambaye aliichezea Ipswich kwa mkopo msimu uliopita(Football London). #Sports view
    Like
    Love
    13
    1 Comments ·506 Views
  • Mshambulizi wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohamed Salah,31 na kipa wa Brazil Alisson Becker, 31, ni miongoni mwa wachezaji wanaosakwa na klabu za Saudi Pro League msimu huu.

    Mshambulizi wa Liverpool na timu ya taifa ya Misri, Mohamed Salah,31 na kipa wa Brazil Alisson Becker, 31, ni miongoni mwa wachezaji wanaosakwa na klabu za Saudi Pro League msimu huu.
    Love
    Like
    4
    1 Comments ·157 Views