• Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando almaarufu Baba Levo akisalimiana na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Katosho kunapofanyika kampeni za kuomba kura za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wabunge na madiwani wa mkoa huo kupitia CCM.
    Mgombea Ubunge wa Jimbo la Kigoma Mjini kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Clayton Chipando almaarufu Baba Levo akisalimiana na viongozi wa dini mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Katosho kunapofanyika kampeni za kuomba kura za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wabunge na madiwani wa mkoa huo kupitia CCM.
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·136 Views
  • Habari Mbaya kutoka Ligi Kuu ya England

    David Coote, mwamuzi wa zamani wa Ligi Kuu ya England, ameashitakiwa kwa kutengeneza video ya utovu wa nidhamu wa mtoto (Category A) tarehe 2 Januari 2020. Category A ni kiwango cha juu zaidi cha uhalifu huu.

    Coote, mwenye umri wa 43, atafikishwa mahakamani Alhamisi, 11 Septemba 2025, katika Mahakama ya Manispaa ya Nottingham.

    Hii inakuja baada ya historia yake ya changamoto:

    Juni 2024: Alipigwa suspension ya wiki 8 baada ya kutumia maneno ya kudhalilisha kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp.

    Novemba 2024: Alisimamishwa kwa kudumu na PGMOL kumfukuza kazi Desemba 2024.

    UEFA: Amepigwa marufuku kuongoza mechi za Ulaya hadi 30 Juni 2026 kutokana na tukio jingine linalohusisha dawa za kulevya kwenye Euro 2024.

    Coote ameeleza majonzi makubwa kwa matendo yake na changamoto alizokabiliana nazo kama mwamuzi na pia kutokana na uraia wake wa jinsia moja.

    Marefa kama hawa ndyo tunawatakaga Sana wanajifanya vichwa vigumu Alfu kina vichwa vigumu zaidi Yake, Alfu hawa marefarii WA Ueingereza Sijui wanashida gani hawaeleweki hata kidogo

    Usinisahau kunifollow basi familia yangu -----follow Csmahona update
    🚨 Habari Mbaya kutoka Ligi Kuu ya England David Coote, mwamuzi wa zamani wa Ligi Kuu ya England, ameashitakiwa kwa kutengeneza video ya utovu wa nidhamu wa mtoto (Category A) tarehe 2 Januari 2020. Category A ni kiwango cha juu zaidi cha uhalifu huu. Coote, mwenye umri wa 43, atafikishwa mahakamani Alhamisi, 11 Septemba 2025, katika Mahakama ya Manispaa ya Nottingham. Hii inakuja baada ya historia yake ya changamoto: Juni 2024: Alipigwa suspension ya wiki 8 baada ya kutumia maneno ya kudhalilisha kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp. Novemba 2024: Alisimamishwa kwa kudumu na PGMOL kumfukuza kazi Desemba 2024. UEFA: Amepigwa marufuku kuongoza mechi za Ulaya hadi 30 Juni 2026 kutokana na tukio jingine linalohusisha dawa za kulevya kwenye Euro 2024. Coote ameeleza majonzi makubwa kwa matendo yake na changamoto alizokabiliana nazo kama mwamuzi na pia kutokana na uraia wake wa jinsia moja. Marefa kama hawa ndyo tunawatakaga Sana wanajifanya vichwa vigumu Alfu kina vichwa vigumu zaidi Yake, Alfu hawa marefarii WA Ueingereza Sijui wanashida gani hawaeleweki hata kidogo 🤕 Usinisahau kunifollow basi familia yangu 👉-----follow Csmahona update
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·416 Views
  • Tutegemee kumuona Bajcetic akipewa nafasi ya kucheza ndani ya Liverpool msimu huu baada ya Liverpool kugoma kumtoa kwa mkopo/kumuuza moja kwa moja.
    👀Tutegemee kumuona Bajcetic akipewa nafasi ya kucheza ndani ya Liverpool msimu huu baada ya Liverpool kugoma kumtoa kwa mkopo/kumuuza moja kwa moja.👊🔴
    Like
    1
    · 0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·130 Views
  • _||𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: Ligi Kuu ya Ugiriki (Greek Superleague) imesitishwa kwa muda usiojulikana baada ya tukio la kushangaza kutokea...

    Rais wa klabu ya PAOK Salonika, Ivan Savvidis, alivamia uwanja akiwa na bunduki kiunoni wakati wa mchezo dhidi ya AEK Athens.

    Sababu ya hasira zake ni baada ya bao la timu yake kufutwa kwa madai ya offside dakika za mwisho. Savvidis alijaribu kumkabili refa wa mchezo huo!
    🚨_||💣𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄𝐒: Ligi Kuu ya Ugiriki 🇬🇷 (Greek Superleague) imesitishwa kwa muda usiojulikana baada ya tukio la kushangaza kutokea... 👨‍💼Rais wa klabu ya PAOK Salonika, Ivan Savvidis, alivamia uwanja akiwa na bunduki kiunoni wakati wa mchezo dhidi ya AEK Athens. 😮 Sababu ya hasira zake ni baada ya bao la timu yake kufutwa kwa madai ya offside dakika za mwisho. Savvidis alijaribu kumkabili refa wa mchezo huo! 😲
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·196 Views
  • TUJIKUMBUSHE KIDOGO

    Sebastian Coates

    Sebastian Coates alisajiliwa na Liverpool kutoka Nacional mwezi Agosti 2011 baada ya kupigiwa kura kama mchezaji bora chipukizi kwenye Copa America ya mwaka huo.

    Akiwa na urefu wa futi 6 na inchi 6, raia huyo wa Uruguay aliwasili akiwa na sifa ya kuwa na uwezo mkubwa wa kucheza mipira ya juu — pia akiwa hatari katika ulinzi na mashambulizi.

    Alicheza mechi 12 katika msimu wake wa kwanza ndani ya Liverpool, tukio la kukumbukwa likiwa bao la kuvutia alilofunga kwa bicycle kick dhidi ya Queens Park Rangers.

    Katika msimu wa 2012–13, msimu wa kwanza wa Brendan Rodgers kama kocha, Coates alicheza tena mechi 12.

    Hata hivyo, matumaini ya kujikita kikosini chini ya kocha wa kipindi hicho, Rodgers yalizimwa na jeraha lililomharibia msimu uliofuata.

    Baadaye alitolewa kwa mkopo kwenda Sunderland msimu wa 2014–15, na hatimaye akajiunga nao kwa mkataba wa kudumu mwezi Julai 2015.
    👀TUJIKUMBUSHE KIDOGO 👀Sebastian Coates 👉Sebastian Coates alisajiliwa na Liverpool kutoka Nacional mwezi Agosti 2011 baada ya kupigiwa kura kama mchezaji bora chipukizi kwenye Copa America ya mwaka huo. 👉Akiwa na urefu wa futi 6 na inchi 6, raia huyo wa Uruguay aliwasili akiwa na sifa ya kuwa na uwezo mkubwa wa kucheza mipira ya juu — pia akiwa hatari katika ulinzi na mashambulizi. 👉Alicheza mechi 12 katika msimu wake wa kwanza ndani ya Liverpool, tukio la kukumbukwa likiwa bao la kuvutia alilofunga kwa bicycle kick dhidi ya Queens Park Rangers. 👉Katika msimu wa 2012–13, msimu wa kwanza wa Brendan Rodgers kama kocha, Coates alicheza tena mechi 12. 👉Hata hivyo, matumaini ya kujikita kikosini chini ya kocha wa kipindi hicho, Rodgers yalizimwa na jeraha lililomharibia msimu uliofuata. 👉Baadaye alitolewa kwa mkopo kwenda Sunderland msimu wa 2014–15, na hatimaye akajiunga nao kwa mkataba wa kudumu mwezi Julai 2015.
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·261 Views
  • Divock Origi amekwama AC Milan baada ya kukataa kuvunja mkataba huku masuala ya kodi yakimzuia kuondoka nchini Italia

    AC Milan na Origi wameshindwa kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba, na sasa mshambuliaji huyo ataendelea kusalia San Siro licha ya kutokuwa sehemu ya kikosi cha kwanza.

    Mshindi wa Ligi ya Mabingwa, Divock Origi, amekataa kuvunjiwa mkataba wake ndani ya Ac Milan licha ya kucheza msimu mzima na timu ya U23 ya Ac Milan.

    Uamuzi huu unakuja licha ya Mbelgiji huyo kutocheza mechi yoyote ya ushindani na kikosi cha wakubwa cha Milan tangu mwaka 2023.

    Amebakiza mwaka mmoja tu kwenye mkataba wake, na atalazimika kukaa nje msimu mwingine ikiwa hatakubaliana na klabu ya Ac Milan kuvunja mkataba huo.

    Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 alifunga magoli mawili tu msimu wa 2022–23 kabla ya kutolewa kwa mkopo kwenda Nottingham Forest msimu wa 2023–24, ambako alifunga bao moja pekee katika mechi 22 — na bao hilo lilikuja kwenye FA Cup, si Premier League.

    Hajacheza mechi ya kikosi cha kwanza kwa miezi 17.
    👀Divock Origi amekwama AC Milan baada ya kukataa kuvunja mkataba huku masuala ya kodi yakimzuia kuondoka nchini Italia 👉AC Milan na Origi wameshindwa kufikia makubaliano ya kuvunja mkataba, na sasa mshambuliaji huyo ataendelea kusalia San Siro licha ya kutokuwa sehemu ya kikosi cha kwanza. 👉Mshindi wa Ligi ya Mabingwa, Divock Origi, amekataa kuvunjiwa mkataba wake ndani ya Ac Milan licha ya kucheza msimu mzima na timu ya U23 ya Ac Milan. 👉Uamuzi huu unakuja licha ya Mbelgiji huyo kutocheza mechi yoyote ya ushindani na kikosi cha wakubwa cha Milan tangu mwaka 2023. 👉Amebakiza mwaka mmoja tu kwenye mkataba wake, na atalazimika kukaa nje msimu mwingine ikiwa hatakubaliana na klabu ya Ac Milan kuvunja mkataba huo. 👉Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 30 alifunga magoli mawili tu msimu wa 2022–23 kabla ya kutolewa kwa mkopo kwenda Nottingham Forest msimu wa 2023–24, ambako alifunga bao moja pekee katika mechi 22 — na bao hilo lilikuja kwenye FA Cup, si Premier League. 👉Hajacheza mechi ya kikosi cha kwanza kwa miezi 17.
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·214 Views
  • ... 𝗞𝗬𝗟𝗜𝗔𝗡 𝗠𝗕𝗔𝗣𝗣𝗘

    Kwenye mchezo dhidi ya Iceland usiku wa jana, Kylian Mbappé Lottin alifunga bao lake la 52 akiwa na Ufaransa -- na kuwa mfungaji bora wa pili wa muda wote akimpita Thierry Henry .

    57 04 132 - Olivier Giroud
    52 12 092 - Kylian Mbappé
    51 02 123 - Thierry Henry

    Anakuwa mchezaji wa pili wa Europa katika karne ya 21 kuifungia timu yake ya taifa ya wakubwa mabao 52 kabla ya kufikisha umri wa miaka 27, baada ya Romelu Lukaku akiwa na Belgium .

    Kylian Mbappé akiwa na timu ya taifa ya wakubwa ya Ufaransa .

    ◉ 92 - Games.
    ◉ 52 - Goals (second top scorer)
    ◉ 33 - Assists (best assist provider)
    ◉ 85 - Goals/assists.
    ◉ 12 - Penalty.
    ◉ 03 - Hat trick.

    Key .......
    _______________
    - Games
    - Goals
    - Penalty

    Follow us.

    #imansportnews #PlayStation #WorldCupQualifiers2026
    ... 𝗞𝗬𝗟𝗜𝗔𝗡 𝗠𝗕𝗔𝗣𝗣𝗘 🔥 Kwenye mchezo dhidi ya Iceland usiku wa jana, Kylian Mbappé Lottin alifunga bao lake la 52 akiwa na Ufaransa -- na kuwa mfungaji bora wa pili wa muda wote akimpita Thierry Henry . ⚽ 57 🥅 04 🎮 132 - Olivier Giroud ⚽ 52 🥅 12 🎮 092 - Kylian Mbappé ⚽ 51 🥅 02 🎮 123 - Thierry Henry Anakuwa mchezaji wa pili wa Europa katika karne ya 21 kuifungia timu yake ya taifa 🇨🇵 ya wakubwa mabao 52 kabla ya kufikisha umri wa miaka 27, baada ya Romelu Lukaku akiwa na Belgium 🇧🇪 . Kylian Mbappé akiwa na timu ya taifa ya wakubwa ya Ufaransa 🇨🇵 . ◉ 92 - Games. ◉ 52 - Goals (second top scorer) ◉ 33 - Assists (best assist provider) ◉ 85 - Goals/assists. ◉ 12 - Penalty. ◉ 03 - Hat trick. Key ....... 🔑 _______________ 🎮 - Games ⚽ - Goals 🥅 - Penalty Follow us. #imansportnews #PlayStation #WorldCupQualifiers2026
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·329 Views
  • Ofa ya klabu ya £25m ya Real Betis ilikubaliwa na Man United Kuhusu kumsajili Antony na tayari Man United ilimpa ruhusa Antony kusafiri kuelekea Spain

    Lakini saa chache baadae Real Betis imebadilishaa msimamo wake na kujiondoa kwenye mazungumzo wakidai kuwa mshahara wa Antony ni mkubwa hivyo hawataweza vinginevyo Man United wapungize Bei ya Antony au Antony apunguze Mshahara wake. .

    Source Ben Jacobs

    #SportsElite
    🚨 Ofa ya klabu ya £25m ya Real Betis ilikubaliwa na Man United Kuhusu kumsajili Antony na tayari Man United ilimpa ruhusa Antony kusafiri kuelekea Spain Lakini saa chache baadae Real Betis imebadilishaa msimamo wake na kujiondoa kwenye mazungumzo wakidai kuwa mshahara wa Antony ni mkubwa hivyo hawataweza vinginevyo Man United wapungize Bei ya Antony au Antony apunguze Mshahara wake. 🥴🇧🇷. Source Ben Jacobs #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·320 Views
  • Mshambuliaji Viktor Gyökeres anafanya mazoezi ya Ziada kwenye uwanja Arsenal wa Lmdon Colney ili kurudisha Utimamu wake baada ya kukosa sehemu kubwa ya maandalizi ya msimu mpya na Arsenal. .

    Source Football Tweets

    #SportsElite
    🚨 Mshambuliaji Viktor Gyökeres anafanya mazoezi ya Ziada kwenye uwanja Arsenal wa Lmdon Colney ili kurudisha Utimamu wake baada ya kukosa sehemu kubwa ya maandalizi ya msimu mpya na Arsenal. 🔥. Source Football Tweets #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·304 Views
  • Fahamu RB Leipzig wanafanya mazungumzo ya Moja kwa moja na Liverpool ili kumsajili Harvey Elliott kama mbadala wa Xavi Simons aliyejiunga na Spurs.

    Liverpool bado wanasitasita kumuuza Harvey Elliott lakini itategemea baadae kama Leipzig itatoa £50m.

    Ikiwa Alexander Isak atajiunga na Liverpool kwa saa 24 zijazo basi Liverpool itamuachia Harvey Elliott.

    Source Ben Jacobs

    #SportsElite
    🚨 Fahamu RB Leipzig wanafanya mazungumzo ya Moja kwa moja na Liverpool ili kumsajili Harvey Elliott kama mbadala wa Xavi Simons aliyejiunga na Spurs. Liverpool bado wanasitasita kumuuza Harvey Elliott lakini itategemea baadae kama Leipzig itatoa £50m. Ikiwa Alexander Isak atajiunga na Liverpool kwa saa 24 zijazo basi Liverpool itamuachia Harvey Elliott. 💰 Source Ben Jacobs #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·201 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Tottenham Hotspur imefikia makubaliano ya £51.8M kama ada ya uhamisho wa Xavi Simons kutoka RB Leipzig .

    Ofa hiyo imekubaliwa baada ya mchezaji kukubali kwenda Spurs

    (Source: Fabrizio Romano)

    #SportsElite
    🚨 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Tottenham Hotspur imefikia makubaliano ya £51.8M kama ada ya uhamisho wa Xavi Simons kutoka RB Leipzig . Ofa hiyo imekubaliwa baada ya mchezaji kukubali kwenda Spurs (Source: Fabrizio Romano) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·102 Views
  • Beki wa kushoto wa Manchester United Tyrell Malacia anapanga kuondoka klabuni hapo na kujiunga Elche kwa mkopo wa mda mrefu baada ya kuchagua kwenda La Liga akiitupilia ofa ya Lille.

    (Source: Voetbal International)

    #SportsElite
    🚨 Beki wa kushoto wa Manchester United Tyrell Malacia anapanga kuondoka klabuni hapo na kujiunga Elche kwa mkopo wa mda mrefu baada ya kuchagua kwenda La Liga akiitupilia ofa ya Lille. (Source: Voetbal International) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·104 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚! Kuna mambo mengi yamefanyika usiku kuhusu Xavi Simons;

    Spurs wametoa ushindani mkubwa na kuonyesha dalili za kumtaka Simons baada ya kupoteza Wiki kadhaa za kusubiri Chelsea.

    Spurs wako tayari kukamilisha maswali ya stakabadhi leo asubuhi na ikiwezekana 'HERE WE GO' ipatikane!

    (Fabrizio Romano)

    #SportsElite
    𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚!🚨 Kuna mambo mengi yamefanyika usiku kuhusu Xavi Simons; Spurs wametoa ushindani mkubwa na kuonyesha dalili za kumtaka Simons baada ya kupoteza Wiki kadhaa za kusubiri Chelsea. Spurs wako tayari kukamilisha maswali ya stakabadhi leo asubuhi na ikiwezekana 'HERE WE GO' ipatikane! (Fabrizio Romano) #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·230 Views
  • 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Tariq Lamptey amejiunga na Fiorentina hadi 2030, baada ya mkataba wake kutamatika Brighton.
    🚨🇬🇭💣 𝐁𝐑𝐄𝐀𝐊𝐈𝐍𝐆: Tariq Lamptey amejiunga na Fiorentina hadi 2030, baada ya mkataba wake kutamatika Brighton.
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·102 Views
  • 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Dili la Victor Boniface (24) kwenda Milan! rasmi limekufa baada ya straika huyo kufeli vipimo vya afya
    🚨🇳🇬 𝐎𝐅𝐅𝐈𝐂𝐈𝐀𝐋: Dili la Victor Boniface (24) kwenda Milan! rasmi limekufa baada ya straika huyo kufeli vipimo vya afya ❌
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·159 Views
  • Siku Jamie Vardy alipompigia simu N'Golo Kanté baada ya kushinda Champions League

    🎙"Siku moja baada ya fainali ya Champions League, nilijaribu kumpigia Simu ili nimpongeze, lakini hakupokea simu yangu"

    Baada ya saa chache, alinipigia akiniomba msamaha kwa kutopokea, na kusema alikuwa nje akikimbia na hakuwa nyumbani.

    Hii inaonyesha tu kujitolea kwake."

    Humble N'golo


    #SportsElite
    😄📱🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿Siku Jamie Vardy alipompigia simu N'Golo Kanté baada ya kushinda Champions League 🎙"Siku moja baada ya fainali ya Champions League, nilijaribu kumpigia Simu ili nimpongeze, lakini hakupokea simu yangu" Baada ya saa chache, alinipigia akiniomba msamaha kwa kutopokea, na kusema alikuwa nje akikimbia na hakuwa nyumbani. Hii inaonyesha tu kujitolea kwake." Humble N'golo #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·229 Views
  • OFFICIAL : Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa Goti sasa Romelu Lukaku atakuwa njee kwa miezi minne.

    Source Sky Sports

    #SportsElite
    🚨 OFFICIAL : Baada ya Kufanyiwa Upasuaji wa Goti sasa Romelu Lukaku atakuwa njee kwa miezi minne. Source Sky Sports #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·191 Views
  • BREAKING - Eberechi Eze atafanyiwa Vipimo vya Afya kesho Ijumaa baada ya kucheza mchezo wa mwisho leo wa Crystal Palace dhidi ya Fredrikstand..

    Kesho Ijumaa Eze atafanyiwa Vipimo kama mchezaji mpya wa Arsenal kwa ada ya £68m na mkataba 2030.

    Source Fabrizio Romano

    #SportsElite
    🏴󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿🚨 BREAKING - Eberechi Eze atafanyiwa Vipimo vya Afya kesho Ijumaa baada ya kucheza mchezo wa mwisho leo wa Crystal Palace dhidi ya Fredrikstand.. Kesho Ijumaa Eze atafanyiwa Vipimo kama mchezaji mpya wa Arsenal kwa ada ya £68m na mkataba 2030. Source Fabrizio Romano #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·431 Views
  • 𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Baada ya mvutano wa muda mrefu hatimaye klabu ya Man United imerudishwa Sokoni na sasa Glazers wako tayari kuiuza klabu hiyo na hakuna mtu yoyote anaweza kuwazuia akiwepo Jim Ratcliffe.

    Manchester United inauzwa kwa sasa ipo sokoni tena

    Source Mike Keagan

    #SportsElite
    🚨𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Baada ya mvutano wa muda mrefu hatimaye klabu ya Man United imerudishwa Sokoni na sasa Glazers wako tayari kuiuza klabu hiyo na hakuna mtu yoyote anaweza kuwazuia akiwepo Jim Ratcliffe. Manchester United inauzwa kwa sasa ipo sokoni tena Source Mike Keagan #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·194 Views
  • | Girona imeonesha nia ya kumuhitaji golikipa Iñaki Peña,baada ya golikipa wao Gazzaniga kufanya vibaya mechi iliyopita.

    Barça inapanga kumuongeza mkataba golikipa huyo ndipo imtoe kwa mkopo.
    Thamani yake ni €4M, kwa klabu yoyote itakayo muhitaji .

    Pia Barça itamuingiza kwenye mfumo Szczesny

    Via (): @alexlunafut [MD]

    #FCBlive #Transfers

    #SportsElite
    🚨🇪🇸 | Girona imeonesha nia ya kumuhitaji golikipa Iñaki Peña,baada ya golikipa wao Gazzaniga kufanya vibaya mechi iliyopita. 🔵🔴 Barça inapanga kumuongeza mkataba golikipa huyo ndipo imtoe kwa mkopo. 💰 Thamani yake ni €4M, kwa klabu yoyote itakayo muhitaji . 👉 Pia Barça itamuingiza kwenye mfumo Szczesny 📎 Via (🟢): @alexlunafut [MD] #FCBlive #Transfers #SportsElite
    0 Yorumlar ·0 hisse senetleri ·278 Views
Arama Sonuçları