• .*TANGAZO TANGAZO!*

    SHULE YA MSINGI PIYAYA ILIYOPO TARAFA YA SALE KILOMETA 98 KUTOKA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI NGORONGORO INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA KIMEANZISHA KITENGO CHA KUTOA ELIMU KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM NA MASOMO YAMEANZA RASMI JANUARI MWAKA HUU 2024.
    HIVYO WANAFUNZI WANAOHITAJIKA NI KAMA WAFUATAO:-
    1. VIZIWI (me/ke)
    2. BUBU (me/ke)
    3. WASIOONA (me/ke)
    4. ALBINO (me/ke)
    5. WALEMAVU WA VIUNGO (me/ke)
    √ SHULE NI YA SERIKALI
    √ SHULE NI YA BWENI NA KUTWA INA MAZINGIRA NA MIUNDOMBINU RAFIKI KWA WANAFUNZI WENYE CHANGAMOTO MBALIMBALI KUJIFUNZA
    √ WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM LAZIMA AKAE BWENI
    √ HAKUNA ADA YOYOTE
    √ KUNA NAFASI YA KUHAMIA KWA WANAOHITAJI
    √ WATOTO WANAPATA CHAKULA BORA NA YA KUTOSHA SHULENI BILA MALIPO YOYOTE
    √ KWA TARAFA YA SALE NA LOLIONDO MNAKARISHWA KUWAHI NAFASI NI CHACHE
    √ KWA WATAKAO WAHI UTAPATIWA GODORO NA SHUKA BURE KABISA HAPA SHULENI

    MLETE MTOTO MWENYE MAHITAJI MAALUM APATE ELIMU KWANI NI HAKI YAKE YA MSINGI SAWA NA WATOTO.

    Kwa Masiliano zaidi 0622488033
    Namba ya WhatsApp 0786808033 (Mwl Mkuu)
    0787357679 (AEK)
    0767313995 (DPSNEO)

    Ukipata TANGAZO hii sambaza kadri Uwezavyo ili kwa pamoja tuwasaidie watoto wenye mahitaji maalum wapate haki yao ya msingi
    .*TANGAZO TANGAZO!* SHULE YA MSINGI PIYAYA ILIYOPO TARAFA YA SALE KILOMETA 98 KUTOKA MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI NGORONGORO INAWATANGAZIA WANANCHI WOTE KUWA KIMEANZISHA KITENGO CHA KUTOA ELIMU KWA WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUM NA MASOMO YAMEANZA RASMI JANUARI MWAKA HUU 2024. HIVYO WANAFUNZI WANAOHITAJIKA NI KAMA WAFUATAO:- 1. VIZIWI (me/ke) 2. BUBU (me/ke) 3. WASIOONA (me/ke) 4. ALBINO (me/ke) 5. WALEMAVU WA VIUNGO (me/ke) √ SHULE NI YA SERIKALI √ SHULE NI YA BWENI NA KUTWA INA MAZINGIRA NA MIUNDOMBINU RAFIKI KWA WANAFUNZI WENYE CHANGAMOTO MBALIMBALI KUJIFUNZA √ WANAFUNZI WENYE MAHITAJI MAALUM LAZIMA AKAE BWENI √ HAKUNA ADA YOYOTE √ KUNA NAFASI YA KUHAMIA KWA WANAOHITAJI √ WATOTO WANAPATA CHAKULA BORA NA YA KUTOSHA SHULENI BILA MALIPO YOYOTE √ KWA TARAFA YA SALE NA LOLIONDO MNAKARISHWA KUWAHI NAFASI NI CHACHE √ KWA WATAKAO WAHI UTAPATIWA GODORO NA SHUKA BURE KABISA HAPA SHULENI MLETE MTOTO MWENYE MAHITAJI MAALUM APATE ELIMU KWANI NI HAKI YAKE YA MSINGI SAWA NA WATOTO. Kwa Masiliano zaidi 0622488033 Namba ya WhatsApp 0786808033 (Mwl Mkuu) 0787357679 (AEK) 0767313995 (DPSNEO) Ukipata TANGAZO hii sambaza kadri Uwezavyo ili kwa pamoja tuwasaidie watoto wenye mahitaji maalum wapate haki yao ya msingi
    Like
    Love
    8
    · 1 Commentaires ·0 Parts ·409 Vue
  • Wazo la leo.

    Kwakuaa hatutaji majina ya watu basi tuanzishe hata KIBUBU tuwe tunakaa vikao humu humu. Muweka hazina ni mimi.
    Wazo la leo. Kwakuaa hatutaji majina ya watu basi tuanzishe hata KIBUBU tuwe tunakaa vikao humu humu. Muweka hazina ni mimi.
    0 Commentaires ·0 Parts ·413 Vue
  • Kuamini uwezi kama uwezi kuwa mimi..
    Mimi naweza kuwa wewe ila ngumu kuwa mimi..
    Wenda ndio sababu ya mimi kuwa simple..
    Kwakuwa sipo double ndiomaana nipo single..
    Nimeamini ngumu nyani kuliona kundule..
    Ila akijipiga self ataliona kwakule..
    Vyuma vimekaza mpaka kwetu misukule..
    Sikuizi atulishwi pumba ni kisamvu na ndulele..
    Simpigii goti mdau yupo wakumtukuza..
    Nishafanyaga show mochwali maiti wakanitunza..
    Tangu niujue utam wa kurap nilivyo panda ngazi sishuki..
    Naipenda hip hop ndiomaana sirukiruki..
    Jilani akaniambia achana na hip hop njoo tufanye music wa biashala..
    Nikamjibu ata ningeumbwa bubu ningerap kwa ishala..
    Kuamini uwezi kama uwezi kuwa mimi.. Mimi naweza kuwa wewe ila ngumu kuwa mimi.. Wenda ndio sababu ya mimi kuwa simple.. Kwakuwa sipo double ndiomaana nipo single.. Nimeamini ngumu nyani kuliona kundule.. Ila akijipiga self ataliona kwakule.. Vyuma vimekaza mpaka kwetu misukule.. Sikuizi atulishwi pumba ni kisamvu na ndulele.. Simpigii goti mdau yupo wakumtukuza.. Nishafanyaga show mochwali maiti wakanitunza.. Tangu niujue utam wa kurap nilivyo panda ngazi sishuki.. Naipenda hip hop ndiomaana sirukiruki.. Jilani akaniambia achana na hip hop njoo tufanye music wa biashala.. Nikamjibu ata ningeumbwa bubu ningerap kwa ishala..
    Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·363 Vue

    · 0 Commentaires ·0 Parts ·300 Vue

    · 0 Commentaires ·0 Parts ·304 Vue
  • Nje choka tayari isha sizi/
    Ila ukiingia ndani hatari ni gheto halisi/
    dailly neti ju imening'inia/
    ndomana ni vigumu kuugua malelia/
    kama hujajua mishi zangu unaweza kusema napiga kabali/
    mana makororo ya vitu vibovu yameja kila mahari/
    huwa sipendi kuwakalibisha washikaji ndani hadi ndugu/
    kwasababu chini yatanda nawekaga kibubu/
    kila kitu kinacho husu menyu kipo bro sitaki mayoe/
    hawa mademu wa uswazi wakinipa show nawapeleka guest wasisem niwaoe/
    Nje choka tayari isha sizi/ Ila ukiingia ndani hatari ni gheto halisi/ dailly neti ju imening'inia/ ndomana ni vigumu kuugua malelia/ kama hujajua mishi zangu unaweza kusema napiga kabali/ mana makororo ya vitu vibovu yameja kila mahari/ huwa sipendi kuwakalibisha washikaji ndani hadi ndugu/ kwasababu chini yatanda nawekaga kibubu/ kila kitu kinacho husu menyu kipo bro sitaki mayoe/ hawa mademu wa uswazi wakinipa show nawapeleka guest wasisem niwaoe/
    Like
    1
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·377 Vue
  • Nishalewa nayumba naropokaropoka jamaaa ninaezijua siri zake
    all eyes on me
    Macho yamemtoka utafir panya kabanwa na mlango
    Dunia rukumba mwendo wa ngisi mwendo wa nyoka
    Mi mwenyewe shabiki wa movie za Rango
    Chombeza uchombezwe
    Ni fair-play
    Chomeka uchomekwe
    Utastuka hatakama ulikua njozini hey
    Hakuna umaskini kama umaskini wakukosa mawazo
    Nawe mchiz wangu naona unao
    Ila hujachelewa badilika mapema kabra hujamrithisha mwanao
    Ukaanza kumraum mama Yao
    Watu wamezid gubu
    Hela utafute wewe matumiz upangiwe
    Usifanye unyama mbele ya mtoto wala mbele ya bubu Mana anaweza akaongea kila kitu ikimshukia miujiza ya MUNGU
    FANYA maombi kua sehemu ya maisha yako
    All day
    Kila siku
    Ukiamka asubuh shukur
    Na jion jiweke mikononi mwake kwa Sala ya usiku
    Have a great day ma best
    Pia siku njema
    Nishalewa nayumba naropokaropoka jamaaa ninaezijua siri zake all eyes 👀 on me Macho yamemtoka utafir panya kabanwa na mlango Dunia rukumba mwendo wa ngisi mwendo wa nyoka Mi mwenyewe shabiki wa movie za Rango Chombeza uchombezwe Ni fair-play Chomeka uchomekwe Utastuka hatakama ulikua njozini hey Hakuna umaskini kama umaskini wakukosa mawazo Nawe mchiz wangu naona unao Ila hujachelewa badilika mapema kabra hujamrithisha mwanao Ukaanza kumraum mama Yao Watu wamezid gubu Hela utafute wewe matumiz upangiwe Usifanye unyama mbele ya mtoto wala mbele ya bubu Mana anaweza akaongea kila kitu ikimshukia miujiza ya MUNGU 🙏 FANYA maombi kua sehemu ya maisha yako All day Kila siku Ukiamka asubuh shukur Na jion jiweke mikononi mwake kwa Sala ya usiku Have a great day ma best Pia siku njema
    Like
    2
    · 0 Commentaires ·0 Parts ·638 Vue
  • Nilishampendaga binti mmoja Nikataka Kumwambia Nampenda Nikakumbuka Kumbe mm Bubu... Ajabu Kumbe Nae Alinipenda Na Akanisemesha Skuskia Akagundua Kumbe MM Kiziwi....

    Akasepa zake Nikakaa chin nikalia Nikaona Nimkimbilie yesu Nikakumbuka kumbe Ata Miguu Sina.... Nikasema Haina Haja Sintapiga Zangu Nyeto... Nikakumbuka Tena Kumbe Mikono Sina.....

    Nikawaza Nimwangalie Ata Kwa Mbali kama na yeye Ataniona Nikajikuta Kumbe Ata Macho Sina... Ghafla Nikaskia Saut ya Kuku kumbe nilikuwa Naota Apo Ndo Nikajigundua Kumbe AKILI SINA..
    Nilishampendaga binti mmoja Nikataka Kumwambia Nampenda Nikakumbuka Kumbe mm Bubu... Ajabu Kumbe Nae Alinipenda Na Akanisemesha Skuskia Akagundua Kumbe MM Kiziwi.... Akasepa zake Nikakaa chin nikalia Nikaona Nimkimbilie yesu Nikakumbuka kumbe Ata Miguu Sina.... Nikasema Haina Haja Sintapiga Zangu Nyeto... Nikakumbuka Tena Kumbe Mikono Sina..... Nikawaza Nimwangalie Ata Kwa Mbali kama na yeye Ataniona Nikajikuta Kumbe Ata Macho Sina... Ghafla Nikaskia Saut ya Kuku kumbe nilikuwa Naota Apo Ndo Nikajigundua Kumbe AKILI SINA..
    0 Commentaires ·0 Parts ·535 Vue
  • Nikicheki muda Ni saa 4 usiku Napiga Dua namshukuru mungu
    Kwa kunilinda Hii Siku na Wenye #Bifu
    Naomba Tena Atulinde huu usiku #Mrefu
    Mungu Mimi kwako si #Mkamilifu
    Najua nakosea Nina mengi #Madhaifu
    Kwa wema wako nioshe niwe #Nadhifu
    Nakusifu kwa mdomo maana hujaniumba #BuBu
    Wape Tumaini wenye matatizo yanayo #Wasibu
    Wagonjwa mahospitali wema wako #Ukawatibu
    Wategemee Dua na sio sangoma Wala #Chifu
    Waombewe na watumishi mashekh wakina #Sharifu
    Wasirogane kwa kuvunjiana Nazi na #Madafu
    Nashukuru kwa hii pumzi inayoingia kwenye #Mapafu
    Nitimize sakramenti takwa Mimi nilie #Mkristu
    Niepushe Na zinaa niogope kufungua #Zipu
    Niepushe Na tamaa nisipende Sana #Chipu
    Niwe mwema ndugu zangu nisiwachezee #Rafu
    Niiheshimu ndoa nilale chumbani niogee #Bafu
    Kesho nijalie riziki yangu niingojee kwa #Safu
    Nisishawishike na ulevi nikaja lala #Club
    Ee mungu tulinde Huu usiku na kila #Tabu
    Dua zetu zipokee kwako ndo liliko #Jawabu
    Nikicheki muda Ni saa 4 usiku Napiga Dua namshukuru mungu🎤 Kwa kunilinda Hii Siku na Wenye #Bifu Naomba Tena Atulinde huu usiku #Mrefu Mungu Mimi kwako si #Mkamilifu Najua nakosea Nina mengi #Madhaifu Kwa wema wako nioshe niwe #Nadhifu Nakusifu kwa mdomo maana hujaniumba #BuBu Wape Tumaini wenye matatizo yanayo #Wasibu Wagonjwa mahospitali wema wako #Ukawatibu Wategemee Dua na sio sangoma Wala #Chifu Waombewe na watumishi mashekh wakina #Sharifu Wasirogane kwa kuvunjiana Nazi na #Madafu Nashukuru kwa hii pumzi inayoingia kwenye #Mapafu Nitimize sakramenti takwa Mimi nilie #Mkristu Niepushe Na zinaa niogope kufungua #Zipu Niepushe Na tamaa nisipende Sana #Chipu Niwe mwema ndugu zangu nisiwachezee #Rafu Niiheshimu ndoa nilale chumbani niogee #Bafu Kesho nijalie riziki yangu niingojee kwa #Safu Nisishawishike na ulevi nikaja lala #Club Ee mungu tulinde Huu usiku na kila #Tabu Dua zetu zipokee kwako ndo liliko #Jawabu
    0 Commentaires ·0 Parts ·2KB Vue
  • Huwa nacheza na akili.. Kama mchezo wa kubeti..
    Kwenye dundo nanesa hivi.. Kama mlevi wa kuberi..
    Nipe kipaza.. Unae taka midondoko..
    Ili, niwape somo vilaza.. Wanao taka miondoko..
    Nipe dili.. Ukitaka kuni wish..
    Usiwe muuza siri.. Kama unataka kuni snich..
    Hiphop chakula ya mtaa.. Namie ndo mpishi..
    Fundi najenga nyumba kishujaa.. Nanyie ndo msingi..
    Vitendo dhidi ya maneno.. Nawatongoza mpaka mabubu..
    Mc nasambaza mapendo.. Masnich wana tubu..
    Huwa nacheza na akili.. Kama mchezo wa kubeti.. Kwenye dundo nanesa hivi.. Kama mlevi wa kuberi.. Nipe kipaza.. Unae taka midondoko.. Ili, niwape somo vilaza.. Wanao taka miondoko.. Nipe dili.. Ukitaka kuni wish.. Usiwe muuza siri.. Kama unataka kuni snich.. Hiphop chakula ya mtaa.. Namie ndo mpishi.. Fundi najenga nyumba kishujaa.. Nanyie ndo msingi.. Vitendo dhidi ya maneno.. Nawatongoza mpaka mabubu.. Mc nasambaza mapendo.. Masnich wana tubu..
    Like
    1
    · 1 Commentaires ·0 Parts ·804 Vue

    · 1 Commentaires ·0 Parts ·777 Vue
  • Mi navunja kibubu cha mistari, we unavunjika moyo!!
    Wanasema ben kimichano singati, wananiitA kibogoyo!!
    I believe kwenye hip hop, naamini one day yes!!
    Eti sisomeki KWA map, lakini kwangu sio kesi!!
    Mi ni tajiri wa mistari, lakini sio pundamilia!!
    Naunguza ka sigara kali, kama vipodozi na kemikali!!
    Niite nyuki kwenye rap, tungo zangu ndo asali!!
    Mi navunja kibubu cha mistari, we unavunjika moyo!! Wanasema ben kimichano singati, wananiitA kibogoyo!! I believe kwenye hip hop, naamini one day yes!! Eti sisomeki KWA map, lakini kwangu sio kesi!! Mi ni tajiri wa mistari, lakini sio pundamilia!! Naunguza ka sigara kali, kama vipodozi na kemikali!! Niite nyuki kwenye rap, tungo zangu ndo asali!!
    0 Commentaires ·0 Parts ·188 Vue
  • Nacheza na maneno mdomo unafikra za ajabu!!
    Kwa ujuzi namwaga wino maana nnafikra za kitabu!!
    Chunga hizi kauli mana kuna waongo na wambea!!
    Mi ndo bubu mwenye kauli ya vitendo bila kuongea!!
    Mi ndo mwanaume mwenye vichwa viwili!!
    kimoja kina ubongo na kinatenda kwa kufikiri!!
    Cha pili akina ubongo wala wazo ila hutenda kwa hisia za mwili!!
    Nacheza na maneno mdomo unafikra za ajabu!! Kwa ujuzi namwaga wino maana nnafikra za kitabu!! Chunga hizi kauli mana kuna waongo na wambea!! Mi ndo bubu mwenye kauli ya vitendo bila kuongea!! Mi ndo mwanaume mwenye vichwa viwili!! kimoja kina ubongo na kinatenda kwa kufikiri!! Cha pili akina ubongo wala wazo ila hutenda kwa hisia za mwili!!
    0 Commentaires ·0 Parts ·234 Vue